Mwisho wa unafiki wa Mengi!

Mwisho wa unafiki wa Mengi!

Mzee huyu kwa miaka mingi aliweza kuchanga karata zake vizuri kwa kuuma na kupuliza lakini mwaka huu baada ya kuuma amebanwa pumzi na hivyo basi anashindwa kupuliza.

Hili ni funzo kubwa sana kwa wote wanaoishi kwa unafiki.

Pole sana kwa Mengi kwani mwisho wa unafiki ni mwaka huu...uliyemkataa kuwa rais wa JMT ndio anaapishwa leo.

HATA KAMA NI VIPOFU NITAWAONESHA TU!
Umeteuliwa nafasi gani na jk! Hebu fanya kazi syo kupigadomo tu
 
Mzee huyu kwa miaka mingi aliweza kuchanga karata zake vizuri kwa kuuma na kupuliza lakini mwaka huu baada ya kuuma amebanwa pumzi na hivyo basi anashindwa kupuliza.

Hili ni funzo kubwa sana kwa wote wanaoishi kwa unafiki.

Pole sana kwa Mengi kwani mwisho wa unafiki ni mwaka huu...uliyemkataa kuwa rais wa JMT ndio anaapishwa leo.

HATA KAMA NI VIPOFU NITAWAONESHA TU!

Wewe mtoa mada Ni mjinga Sana, hivi Kama huna cha kuandika Ni lazima uandike Ujinga wowote?
 
Mzee huyu kwa miaka mingi aliweza kuchanga karata zake vizuri kwa kuuma na kupuliza lakini mwaka huu baada ya kuuma amebanwa pumzi na hivyo basi anashindwa kupuliza.

Hili ni funzo kubwa sana kwa wote wanaoishi kwa unafiki.

Pole sana kwa Mengi kwani mwisho wa unafiki ni mwaka huu...uliyemkataa kuwa rais wa JMT ndio anaapishwa leo.

HATA KAMA NI VIPOFU NITAWAONESHA TU!

We lazma utakuwa mtu wa idodomya
 
kweli kabisa vyombo vya habari vya IPP vinaelemea upande mmoja tu wanatakiwa wajifunze uadilifu wa kutobagua kama wenzao TBC na STAR TV wanavyofanya

Kuelemea upande flani sio kosa kosa ni kuwa mnafiki
 
Magufuli pimbi tu, kamwe hawezi shindana na mengi akashinda. Hawezi shindana na kabila namba moja tanzania akashinda. Magufuli ni Rais, bado atabakia kuwa mchunga ngombe tu.
kwamtoro, wakati mwingine ni vema kurudia ulichoandika kabla kukipost. "Kabila namba moja Tanzania?" acheni kujikweza coz hampati faida yoyote, that's total bull.shit dude!
 
Last edited by a moderator:
Mzee huyu kwa miaka mingi aliweza kuchanga karata zake vizuri kwa kuuma na kupuliza lakini mwaka huu baada ya kuuma amebanwa pumzi na hivyo basi anashindwa kupuliza.

Hili ni funzo kubwa sana kwa wote wanaoishi kwa unafiki.

Pole sana kwa Mengi kwani mwisho wa unafiki ni mwaka huu...uliyemkataa kuwa rais wa JMT ndio anaapishwa leo.

HATA KAMA NI VIPOFU NITAWAONESHA TU!

Hivi ni lini tutafuta huu ujinga? Mtu mwenye akili hawez ropoka hata cku moja kuwa IPP media wana upendeleo. Ungekua una akili ungeilalamikia TBC1 kwa kuonesha upendeleo kwa 80% kwa chama tawala CCM
 
Mengi alikuwa fair, lakini kumbuka yeye ni mfanyabiashara, hawezi kurusha live coverage bila kulipwa, kitu ambacho inawezekana star tv walikifanya. Kumbuka star tv mmiiliki wake ni kada wa ccm, anaweza kuwafanyia bure. Mengi alikuwa anafanya biashara, usilinganishe wawili hao.
 
Akiba ya maneno ipo...lakini ukweli mchungu lazima usemwe.

Vyombo vya habari vya Mengi baada ya kuona lowassa kashindwa vikataka kuonesha nchi ina machafuko...
Mkuu kuwa makini na huu uchochezi...eti vilionesha nchi ina machafuko?,,,,,acha utoto
 
Kuelemea upande flani sio kosa kosa ni kuwa mnafiki

jingalao unajua kuna kitu muhimu sana umekikosa kwenye maisha yako, na kwa bahati mbaya kwa kutojua umuhimu wake umekikataa
unajua ni nini???

1.Elimu
2.Elimu
3.Elimu
 
Last edited by a moderator:
Kuelemea upande flani sio kosa kosa ni kuwa mnafiki

HIVI,
UKWELI NI UNAFIKI?
poor,poor,poor !
UPUUZI,USIRI SIRI KAMA WACHAWI NI KIKWAZO KWA MEDIA ZETU KUFIKIA VIWANGO VYA KIMATAIFA!,ONA CNN,SKYNEWS
SIRI NI KIFO.
 
kuna ma mtu sijui yalizaliwa kwa bahati mbaya hivi wewe mleta mada unamatatizo ya akili ni nani asiye wajua ccm?
ccm haijawahi kuwa na urafiki na mtu anaesema ukweli hata siku moja hivyo sina shaka na wewe mleta mada akili zako ni hizo hizo na ndo maana mlimzomea siku ile mkidhani mnamkomoa.

media zote za mengi hazireport unafiki kama za kada lenu dialo ukweli siku zote ni mchungu yote yaliyokuwa yanareportwa na ITV ndivyo yalivyokuwa yanatokea huko field sasa ulitaka wasireport kisa ccm ndo wako nyuma ya pazia acha unafiki wewe iache haki ijidhihirishe yenyewe na sio kulazimishwa kwa kuminya demokrasia kama ambavyo mtakavyo nyinyi

ITV itabaki kuwa super brand milele na sio hizo tv zenu za vichochoroni zinazofuata matakwa ya watu wa lumumba

Alaf ushauri tu wewe unaishi kwa kupiga kelele hapa jukwaani ili upate pesa ya kura maisha yako huwezi yafananisha na ya mzee mengi hata kidogo hivyo usikae hapa unaleta propaganda za kipuuzi ili kumchafua mtu ambae maisha yake bora maradufu ya yako wakati wewe unapiga proganda hapa mwenzako anawaza ni jinsi gani anaweza liteka soko zaidi.
 
Mzee huyu kwa miaka mingi aliweza kuchanga karata zake vizuri kwa kuuma na kupuliza lakini mwaka huu baada ya kuuma amebanwa pumzi na hivyo basi anashindwa kupuliza.

Hili ni funzo kubwa sana kwa wote wanaoishi kwa unafiki.

Pole sana kwa Mengi kwani mwisho wa unafiki ni mwaka huu...uliyemkataa kuwa rais wa JMT ndio anaapishwa leo.

HATA KAMA NI VIPOFU NITAWAONESHA TU!

Katika watu pungua ni wewe. Kosa la Mengi ni lipi? Huyu mzee ali balance habari zake zote wakati wa kampeni.
Munasahau nchi hii ni ya mfumo wa vyama vingi. Ccm mulitaka wapinzani wasipate airtime popote. Mulitaka kuhodhi kila chombo cha habari na lengo ilikua kudhofisha upinzani.
Hamuangalii alivyo fanya Dialo na star tv, tbc, channel ten na polepole wao, na channel za radio karibia zote, ccm alizitekam. Hilo kwa vile lilikua kwa manufaa ya ccm, sio kosa.
Hata hivyo licha ya kufanya yote hayo na kuhonga na kutoa rushwa, kwa raia na wanamuziki, hata ushindi wenu ni wamashaka.

Kwakweli, mzee mengi alifanya kazi nzuri sana. Acheni kuongoea kishabiki.
 
siasa za kitanzania pumba sana.sasa kuna tatizo gan kwa mengi kumshabikia lowasa?? hata kama alikuwa anamshabikia mpinzani na kutoonesha habar za ccm tatizo likowap?? sasa mumeweka vyama vya upinzani ili iweje?? visishabikiwe?? au wanaoshabikia waitwe wanafiki....mimi sioni tatizo hata mwanaasha kikwete akimshabikia lowasa achikia mbali huyo mengi...aisee naanza kuamini sisi ni miongoni mwa watu wenye iq ndogo mnoo..binafsi ni mwana ccm na kila mwaka nalipa ada na nafanya kazi serikalini lakin kamwe sipendezwi na yanayoendelea ndan ya ccm.kwa hyo kura zangu zoote niliwapa ukawa..haya niite mnafiki basi na uje unifukuze kazi....acheni mipasho bana kila mtu ana uhuru wa kushabikia anachokipenda.
 
Mengi hakuwa fair alikuwa ni purely Team lowassa ...mbaya zaidi hadi leo anaonesha kutoridhishwa na matokeo na anatumia media kuonesha Tanzania kuna vurugu.

Nimeangalia EATV jana kati ya habari zaje muhimu kitaifa eti kuapishwa rais haikuwepo!!

Mzee mnafiki sana na kama alizoea kukwepa kodi mwisho wa hilo ni leo.
Mkuu bila shaka una yako na Mengi hivi unafikiri hizo tv zake unaangalia peke yako... Nimeangalia hizo tv zake jana na leo ikiwemo itv wameonesha habari nyingi kuhusu Mh Magufuli na kuapishwa leo na tena zilikuwa za kwanza na haitoshi waliweka kipindi maalum kuhusu Magufuli...hebu acha uongo na uchochezi alafu watu waseme ni mwana CCM...!
 
Mengi alikuwa fair, lakini kumbuka yeye ni mfanyabiashara, hawezi kurusha live coverage bila kulipwa, kitu ambacho inawezekana star tv walikifanya. Kumbuka star tv mmiiliki wake ni kada wa ccm, anaweza kuwafanyia bure. Mengi alikuwa anafanya biashara, usilinganishe wawili hao.

Fact mkuu
 
Akiba ya maneno ipo...lakini ukweli mchungu lazima usemwe.

Vyombo vya habari vya Mengi baada ya kuona lowassa kashindwa vikataka kuonesha nchi ina machafuko...

Akiba ya maneno ni haya Mengi vs manji' mengi vs rostom, mengi vs masha, na mengi vs muhongo
Katika hoa wengine wamekua swahiba wake kama rostom
 
Back
Top Bottom