wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
tatizo huu mengi mshamba mfanyabiashara huwa hajioneshi kwenye siasa
Pole sana rafiki yangu....ila mimi nina tabia ya kusema ukweli tu
ENDAPO UKAWA WASINGE IBIWA KURA ZAO NA KUSHINDA,STARTV UNGELIWAITA WANAFIKI?
KWELI WEWE NI #jingalao
Pole sana rafiki yangu....ila mimi nina tabia ya kusema ukweli tu
At least nilijua Magufuli atakuwa Rais!!
Mengi hana njaa kama wewe. Kwa hela yake anaweza kuishi sehemu yoyote duniani na akajulikana ni tajiri. Kama unafikiri kila mtu anaishi maisha ya kujikomba kama wewe, unapoteza muda.
tatisho la mengi ni ushamba unamsumbua mfanyabiashara yeyote huwa hajiingizi kwenye siasa
Njaa anayo...na anapoharibu hupenda kutumia wahariri au wabunge au watoto yatima kama ngao...mwaka huu kaharibu kwa jembe lisilopenda unafiki...#hapakazituMengi hana njaa kama wewe. Kwa hela yake anaweza kuishi sehemu yoyote duniani na akajulikana ni tajiri. Kama unafikiri kila mtu anaishi maisha ya kujikomba kama wewe, unapoteza muda.
Kwanza uelewe kuwa UKAWA wameshindwa na hawajaibiwa kura...!!
Star tv ni Tv ya mwenyekiti wa ccm na ilikuwa kwenye kampeni bila kificho.
Mengi alijiweka kwenye neutral side wakati akitangaza kimahaba kwa advantage ya lowassa.
Mengi badala ya kuonesha watu wanavyosheherekea ushindi anatuonesha watu wanafarakana.
Wachambuzi kwenye kipindi ni wachaga watupu...halafu Mungu alivyo mkubwa aliwaabisha kwa kuonesha clip ya mchambuzi na Mwandishi wakipongezana kwa kazi nzuri...
Wanafiki aina ya Mengi watakiona kuanzia leo
tatisho la mengi ni ushamba unamsumbua mfanyabiashara yeyote huwa hajiingizi kwenye siasa
Acha fikra mgando wewe unafiki wa Mengi upo wapi sasa? Ujinga tu unautengeneza bila sababu
Ccm imeweka mamluki hadi huku mitandaoni. Usipoisifu unaonekana unatangaza machafuko!!