nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,862
- 5,797
AMANI NA UMOJA NDIO BORA KULIKO MAPESA, UBINAFSI NDIO MWANZO WA UFISADI
Naona ni bora kujibu swali la mtu aliyepinga JKT; Kwangu Mimi na nadhani ya ilani ya kuleta usawa kwa kutobaguana, kutodhalilishana na kuishi kimatabak... wazazi wangu walisoma waliishi nji za nje, nilifanikiwa nilipomaliza kidato cha sita ningekwepa lanini Marehemu mama yangu aliniambia ni bora kwenda nitakuwa mkakamavu, nitakutana na watu mbalimbali walioenda shule wakiwa na maisha tofauti na mimi kiujamii hivyo kujenga umoja na kuishi kiujamaa... na ni kweli ninamarafiki wengi na sioni tofauti kati yangu na wao hata kuwa kwa wakati huo tulikuwa ni wa tabaka tofauti na wenzangu lakini JKT iliondoa hiyo fikra. Ni Umoja na Amani ndio kitu kikubwa kuliko kuwa na TV utajiri wa magari ndio kusema Uchumi bora, NYERERE ALITUPA KITU AMBACHO HAKIKUHITAJI PESA alitupa AMANI UPENDO na USHIRIKIANO, MWINYI AMETUPA URAHA NA UBINAFSI NA UFISADI.