Mzee Mwinyi was and is still a joker. Atanisamehe kwa umri wake lakini lazima ukweli usemwe tu. Bila kumung'unya mdomo.Ndio.
IMO opinion, last time alipopigwa kibao wenye baraza la Eid, I felt sorry for the old man lakini kwa kiasi fulani ni kumkumbusha kilicho mbele yake. Huyu mzee tbh namueka kwenye kundi la viongozi maslahi ambao TZ tunapaswa kuwasahau haraka sana. Baada ya JK Nyerere, Tz imepatwa na maswahibu makubwa ya viongozi wakuu wanaosukumwa na maslahi na si vision. Kumuita huyu mzee ati ni visionary is a big joke. Hata hivi sasa yupo active huko CCM, anajua mambo hayaendi vizuri lakini sijawahi kumsikia walau akipaza sauti yake kukemea uozo unaoendelea ktk nchi hii. Thats just classic..same goes to Big Ben.
Majuzikati nimebahatika (actaully bado naendelea) kusoma kitabu kipya cha Mzee Mandela ambapo Huseni Onyango ameandika 'maneno mwanzo'. Anasema alikuwa inspired sana na Mandela tangia akiwa high school huko, na even now at Mandela's twilight years na ubize wa majukumu yake, bado he finds sometime to call the old man. Kupata mawili matatu. People like Mandela are true deals. Visionary and persistence kwa wanachoamini..thats why multitude of people all over the world respect him, big time..sasa jiulize who gives a rat kwamba kuna mzee anaitwa Mwinyi? x-prez? I bet noone gives a monkey, even in EA region. Sababu tunazijua.
He was neither a visionary, nor a thinker..., hizo 'ruksa' was not his original ideas, ni matokeo ya mbinyo wa mashirika ya fedha ya kimataifa wa wakati ule, walipokuja na SEAPs. then aka-accept blindly, only kwa nchi kuwa ktk hali mbaya zaidi kiuchumi, maana nchi iligeuzwa officially 100% soko la vitu vya kigeni na kuizika manufacturing na production ya product za 'made in tz'..nina eza kusema kama yule mzee angeendelea kuepo madarakani, hivi sasa tungekuwa tuna-compete na Zimbabwe kwene mfumuko wa bei na sarafu isiyo na thamani.