MWINYI Was A Visionary Leader

MWINYI Was A Visionary Leader

Gamba la Nyoka,
To you Mwinyi was the man, and in that case this debate may never end. But to others, especially those who worked closely with him Mwinyi was easily swayed by his friends. There is a time the late Mzee Bomani told me of a decision that had been reached at a cabinet level, but after meeting with his friend Kitwana Kondo, the decision announced that evening on Radio Tanzania was totally the opposite of what the cabinet had approved. You don't call that kind of leadership visionary.
 
Jasusi.
The President has the final say on all matters that are debated and decided by the cabinet, The cabinet may help him to make decisions, but it is his decision that finally matters, this is because the buck finally stop with him.

secondly, you dont know exactly what did he discuss with Kitwana kondo, and surely you dont know whether Kitwana kondo successfully conviced him, or he made a decision after a thoroughly thought on the issues at hand.

These kind of hearsays are what I reject strongly, they are not backed by any evidence whatsoever, they are not detailed on the specifics, moreover they even fail to show exactly where did Mwinyi go wrong anyway!!

I dont say Mwinyi was swayed by friends, instead he was the man who could listern to other people's views and advice, and then at the end he would come to make his own decision based on the facts he had after incorporating many ideas, thats what good presidents do.
 
Thanks MR. Pres. Ally Hassan Mwinyi

Aliikuta nchi katika hali ngumu ya kimaisha, akaibadilisha nchi kwa kutufumbua macho, thanks Mzee wetu. Mzee Ruksa ni kiongozi wa kuigwa duniani kote. Tanzania ilikuwa haina demokrasia, lakini akatupa RUKSA tufanye tunavyotaka kwa misingi ya haki, na ukweli.

Leo Tanzania kuna uhuru wa vyombo vya habari, education, demokrasia ya vyama vingi, yote kwa sababu ya Mzee wetu MR. PRES. Ally Hassan Mwinyi. Mzee Mwinyi You are TRUE PRESIDENT. Tumshukuru Muumba wetu kwa kutupa A TRUE PRESIDENT.

Kwenye red, kwa nini hakuandaa katiba inayolandana na mfumo wa vyama vingi? Huo haukuwa msukumo kutoka nje ya nchi kweli? Kwani mageuzi haya yalikuwa kwa Tanzania tu?
 
It doesn't matter Msukumo ulikuwa unatoka wapi, iwe ni nje au ndani,au haijalishi wazo la vyama vingi lilitolewa na nani, vyovyote vile, kitendo cha kukubali mfumo huo wa vyama vingi ni kitendo cha kishujaa na kusifiwa, angeamua kwa mamlaka ya raisi angeweza kukataa na hivyo hakuna muswada wowote wa vyama vingi ambao ungepelekwa bungeni kujadiliwa, au hata ungepitishwa bungeni angeamua kutousaini. Au angetaka kuvipinga angeinforce mawazo ya watanzania wale asilimia 80 waliokataa mfumo wa vyama vingi, je kama angefanya hivyo huoni kwamba hiyo ingekuwa ni hasara kubwa kwa nchi yetu?, Museveni alikataa mambo ya vyama, jiulize hizo nchi zenye msukumo zimemfanya nini?, mbona anapeta tu
 
Jasusi.
The President has the final say on all matters that are debated and decided by the cabinet, The cabinet may help him to make decisions, but it is his decision that finally matters, this is because the buck finally stop with him.

secondly, you dont know exactly what did he discuss with Kitwana kondo, and surely you dont know whether Kitwana kondo successfully conviced him, or he made a decision after a thoroughly thought on the issues at hand.

These kind of hearsays are what I reject strongly, they are not backed by any evidence whatsoever, they are not detailed on the specifics, moreover they even fail to show exactly where did Mwinyi go wrong anyway!!

I dont say Mwinyi was swayed by friends, instead he was the man who could listern to other people's views and advice, and then at the end he would come to make his own decision based on the facts he had after incorporating many ideas, thats what good presidents do.
Ndio maana nimesema hii debate haitaisha. Wewe unaamini Mwinyi alikuwa kiongozi makini, sisi tunajua the contrary.
 
Yours is just a perception. kind of "what I know, surely must be it that way", and that is wrong.
Infact you have not given any form of evidence that Mwinyi didn't know a jack about how Multi-partism works, and infact consulting those who are more knowledgeable is not a kind of weakness, It is strength.

Mwinyi was not a leader?, you must be kidding, these are kind of Generalization that infact blind the self appointed pundits of Tanzania politics. Statistics shows the Tanzanian economy was much better during his administration more than the whole last eight years of Nyerere administration, isn't the management of the economy an indication of Leadership?

I will tell you this, Mwinyi was the man, silent but with own decisions, humble who would not hesitate to incorporate good ideas from those who present them, and that is one of the ingredient of the Wise Leader.

Go and ask the common man, about the immense sufferings in the last eight years of Nyerere aministration, and the ease that came to their normal lives during the Mwinyi administration.

We are not competing Mwinyi and Nyerere here. we are just trying to give credit and appreciation to the man who allowed to change his self views on multipartism for a more comprehensive needs of the citzens. and by a stroke of his pen alas! now we can have a new president from the opposition party.

You are talking about meeting ordinary people and solve inheritance as if it useless and hence a sign of disqualification from being credited as a good leader, but what you dont say is whether he used the State Seal or any presidential powers to settle those conflicts. your views are merely an elite mentality that somehow want presidents not to intermingle with the commons. Mwinyi is a father, a husband, an elder, and for any cultural connection that he had with the society he could be consulted to give some advice on social issues such as inheritance, marriages or any sort of advice that could help, if he could do that during the spare time after perfoming his presidential duties, what is wrong with that?

And this is what made Mwinyi a man of the people, for the people, the president who will never fade from the memory of the "Kabwelas"

He has a record, setting a precedence for a minister to resign due to the underperformance of his ministry, strangely some of those who love Nyerere so much even dare to say IT IS MWALIMU WHO FORCED HIM TO RESIGN. come on guys YOU CAN NOT DEFEND NYERERE'S LEGACY BY NOT GIVING CREDITS WHERE IT IS DUE AND INSTEAD GIVE IT TO NYERERE.

Acha longo longo za kumsifia mkulima eti kwa sababu kalima mwaka uliokuwa na mvua nzuri.

Swali dogo tu umeshindwa kujibu, this great visionary Mwinyi, is he even published? Mawazo yake yameandikwa wapi this great visionary ?
 
Gamba la Nyoka,

Mkuu wangu sijui tunabishana kitu gani hapa. Yaani kusema kweli tunachekesha ikiwa kweli tunataka kuzungumzia Uchumi. Tanzania ni nchi maskini na hakuna wakati wowote tumeondoka wala kuwa na dalili ya kuondokana na umaskini. Unaposifia GDP per capita ambayo inatuweka sisi chini ya nchi zote duniani kwamba Mwinyi aliweza kuongeza GDP hali toka mwaka 1977 hadi 1982 nchi zote duniani uchumi wake ulikuwa unaanguka kisha unasema hatupo hapa kulinganisha Nyerere na Mwinyi sijui ni analysis zipi unazotumia hata kusifia Utawala wa Mwinyi hali ukijua wazi kwamba hapakuwepo na unafuu wowote ktk Uchumi wa nchi isipokuwa wananchi walikula mavuno, mtaji na mbegu kujaza mifuko yao wakiacha nchi haina kitu. Na ndio maana tuliita wakati wa neema...

Mkuu wangu these are facts:- Tanzania GDP is among the highest duniani nadhani tuko ranked 85 with over 57/billion Usd annual GDP, lakini GDP per capita is one of the lowest in the world (173 by CIA), below even Haiti toka tumefanya mabadiliko, kisha tunaimbiwa kuwa ndio sustainable economic growth..Sasa hapa mkuu wangu huwezi kuona kama tunajidanganya kusifia vitu hali miaka yote tumekuwa tukifanya biashara ya Buzwagi na Balyanhulu!

Kweli Mwinyi aliijaza mifuko yetu na RUKSA tukalanguana sisi wenyewe wakati viwanda, reli na mashirika yote yanakufa tukiiba zana na akiba zao - Imports zikawa double the exports since then..Tofauti na Mkapa wakati wa Mwinyi kila mtu alikuwa fisadi kwa nafasi yake, leo kweli tunafikia kuita ndio utawala bora kwa sababu tu Nyerere alihakikisha mali hiyo haiibiwi ila inakwenda sokoni ambako walishuka kabisa bei ya mazao yetu ili mradi kutuangusha nchi maskini..

Hakika kaa kuna sifa basi hizo sifa apewe mwalimu kwani ndiye yeye aliyemchagua Mwinyi kuchukua lawama za Ubepari, ndiye aliyekubali kung'atuka akimwachia Mwinyi na utawala wa vyama vingi hali akiendelea ku control chama kuhakikisha CCM inaendelea kutawala..Psipo Nyerere, Mwinyi asingekuwa rais wala Mkapa na pengine naweza sema hata Kikwete. Nyerere is responsible for the all mess ya utawala na viongozi alotuachia na hasa mfumo huu wa vyama vingi ambapo CCM imerithi mali zote za Umma ikiwa kama mali yao...
 
Ukiwa na higher GDP maana yake uchumi wa nchi unakuwa vizuri. GDP per capita inafuatia baada ya GDP. Uchumi wa China ni mkubwa sana sasa hivi, (2nd in the World) lakini GDP yao per capita bado ni ndogo sana ukilinganisha na nchi zinazoendelea. Higher GDP ni nzuri kwa nchi kwa sababu inaonesha uchumi wa nchi unakuwa vizuri.
 
Mkuu wangu hakuna mtu asiyeyajua hayo...Kuna tofauti kubwa sana baina ya China na Tanzania kwa kila hali ya makuzi ya uchumi na hata GDP per capita wao wakiwa na mtaji mkubwa zaidi na population inayozidi billioni moja mara nne ya population ya Marekani.

Kwa hiyo, lengo langu hasa kuhusu ni matumizi ya GDP na GDP per capita anavyojaribu Gamba la Nyoka kuyatumia kuonyesha kazi nzuri aloifanya Mwinyi hata kumpa sifa ya Visionary wakati umaskini ndio unazidi kwa Taifa zima. China mbali na kuzungumzia GDP, maendeleo yanaonekana kwani wenzetu wanamiliki karibu uchumi wao wote. Wana export zaidi ya imports pasipo kuetegemea wageni na ukweli tunaweza kusema dunia nzima tunawategemea China zaidi ya wao kututegemea sisi..Sasa kufikia hali hiyo ndio unaweza sema mwanzilishi wa mfumo husika ndiye visionary na sii kutumia GDP inayopanda hali ukweli ni kwamba tunafanya biashara ya Machinga tukiuza mali sii yetu, ingawa ni yetu. Hii MIKUKUTA na kadhalika haijatusaidi lolote zaidi ya kuonyesha jinsi tulivyokuwa malimbukeni wenye akili ya kushikiwa!

Ndio maana siku za nyuma nimewahi kusema GDP haiwezi kuwa na maana ikiwa uchumi huo umeshikwa na mataifa ama wawekezaji toka nje kina Barrikcs ambao mauzo ya dhahabu yanawekwa ktk GDP yetu hali sisi tunachopata ni asilimia 1.1 ya mauzo hayo, kisha ukalinganisha na na nchi yenye the same GDP lakini wao wanamkasi mkubwa zaidi say asilimia 50 ya ownership kishawana population ndogo zaidi..
Kwa hiyo hawa wanaofanya mahesabu ya kukua kwa uchumi hawatazami sisi tunapata kiasi gani bali jumla ya mauzo na kugawa kwa population iliyopo ili kupata GDP per capita hata kama hizo sii mali yetu.

Leo hii utasikia wakisema GDP yetu per capita ni Usd 1400 na uchumi umekuwa zaidi kwa asilimia 5 au 6 toka wakati wa Mkapa hivyo unaweza kabisa kumpongeza Kikwete kuwa mbora zaidi ya viongozi wote na mwenye vision kwa sababu tu ya GDP which means nothing ikiwa uchumi huo unamilikiwa na wageni na hakuna tofauti kubwa na wakati wa Mkoloni chini ya Malkia uchumi wetu ulikuwa vile vile lakini kwa faida ya nani?.. Hizi sifa tunazisikia are well calculated kwa faida na maslahi yao kama wanavyosifiwa mapupet wengine wa nchi za magharibi hata kama makuzi hayo hayana faida kwa wananchi wake.

Kwa hiyo mkuu wangu, hawa wachumi wanaoandika mambo mengi mabaya kuhusu Nyerere lakini wakiacha ukweli kwamba toka mwaka 1977 hadi 1982 Uchumi wetu ulishuka kwa sababu na hasa inatokana na wao kuhakikisha Ujamaa wetu unakufa kifo cha nyani..Mazao yetu yalishuka bei na tukawekewa vikwazo kwa sababu ya ushiriki wetu ktk Uhuru wa nchi za kusini kiasi kwamba tulibakia na marafiki wachache sana. Na hakuna mahala popote unapoweza kusoma ubaya wa masharti alopewa Nyerere zaidi ya kumsikia Nyerere mwenyewe akijibu kwa hasira..

Na kibaya zaidi ni kwamba hata baada ya Mwinyi kukubali masharti yao, akaingia Mkapa na leo JK bado mkulima wa korosho huko Mtwara bado hawezi kufaidika na ukulima wake kwa sababu IMF wanataka tuliberalize uchumi wetu regardless..Kutaifishwa kwa mashirika ya Umma hakukuongeza uzalishaji zaidi ya viwanda hivyo kufungwa na ajira kupotea, leo hii kuna wazururaji zaidi ya miaka ya nyuma hata wenye elimu zao. Nothing has trickle down, ila U mimi ndio umekuwa neno la leo ktk Utaifa wetu.

Watanzania wenyewe kushindwa kusimama nyuma ya mwalimu kwa maamuzi magumu alofanya hata kama alijaribu kuitetea haki yetu ambayo leo hii tunaona kabisa mbele ya macho yetu ikichukuliwa na tunashindwa kujitetea..Ni miaka zaidi ya 25 leo hii tunazungumzia ndani ya Ubepari na hakuna lolote jema lililotokea lakini tunakumbuka sana miaka 25 iliyopita hali China na nchi nyingine za Kikomunist wameweza badilisha uchumi wao ktk miaka 25 iliyopita na sii kwa GDP tu bali maisha bora zaidi kwa wananchi wake.
 
Mkuu wangu hakuna mtu asiyeyajua hayo...Kuna tofauti kubwa sana baina ya China na Tanzania kwa kila hali ya makuzi ya uchumi na hata GDP per capita wao wakiwa na mtaji mkubwa zaidi na population inayozidi billioni moja mara nne ya population ya Marekani.

Kwa hiyo, lengo langu hasa kuhusu ni matumizi ya GDP na GDP per capita anavyojaribu Gamba la Nyoka kuyatumia kuonyesha kazi nzuri aloifanya Mwinyi hata kumpa sifa ya Visionary wakati umaskini ndio unazidi kwa Taifa zima. China mbali na kuzungumzia GDP, maendeleo yanaonekana kwani wenzetu wanamiliki karibu uchumi wao wote. Wana export zaidi ya imports pasipo kuetegemea wageni na ukweli tunaweza kusema dunia nzima tunawategemea China zaidi ya wao kututegemea sisi..Sasa kufikia hali hiyo ndio unaweza sema mwanzilishi wa mfumo husika ndiye visionary na sii kutumia GDP inayopanda hali ukweli ni kwamba tunafanya biashara ya Machinga tukiuza mali sii yetu, ingawa ni yetu. Hii MIKUKUTA na kadhalika haijatusaidi lolote zaidi ya kuonyesha jinsi tulivyokuwa malimbukeni wenye akili ya kushikiwa!

Ndio maana siku za nyuma nimewahi kusema GDP haiwezi kuwa na maana ikiwa uchumi huo umeshikwa na mataifa ama wawekezaji toka nje kina Barrikcs ambao mauzo ya dhahabu yanawekwa ktk GDP yetu hali sisi tunachopata ni asilimia 1.1 ya mauzo hayo, kisha ukalinganisha na na nchi yenye the same GDP lakini wao wanamkasi mkubwa zaidi say asilimia 50 ya ownership kishawana population ndogo zaidi..
Kwa hiyo hawa wanaofanya mahesabu ya kukua kwa uchumi hawatazami sisi tunapata kiasi gani bali jumla ya mauzo na kugawa kwa population iliyopo ili kupata GDP per capita hata kama hizo sii mali yetu.

Leo hii utasikia wakisema GDP yetu per capita ni Usd 1400 na uchumi umekuwa zaidi kwa asilimia 5 au 6 toka wakati wa Mkapa hivyo unaweza kabisa kumpongeza Kikwete kuwa mbora zaidi ya viongozi wote na mwenye vision kwa sababu tu ya GDP which means nothing ikiwa uchumi huo unamilikiwa na wageni na hakuna tofauti kubwa na wakati wa Mkoloni chini ya Malkia uchumi wetu ulikuwa vile vile lakini kwa faida ya nani?.. Hizi sifa tunazisikia na are well calculated kwa faida na maslahi yao kama wanavyosifiwa mapupet wengine wa nchi za magharibi hata kama hazina faida kwa wananchi wake.

Kwa hiyo mkuu wangu, hawa wachumi wanaoandika mambo mengi mabaya kuhusu Nyerere lakini wakiacha ukweli kwamba toka mwaka 1977 hadi 1982 Uchumi wetu ulishuka kwa sababu na hasa inatokana na wao kuhakikisha Ujamaa wetu unakufa kifo cha nyani..Mazao yetu yalishuka bei na tukawekewa vikwazo kwa sababu ya ushiriki wetu ktk Uhuru wa nchi za kusini kiasi kwamba tulibakia na marafiki wachache sana. Na hakuna mahala popote unapoweza kusoma ubaya wa masharti alopewa Nyerere zaidi ya kumsikia Nyerere mwenyewe akijibu kwa hasira..

Na kibaya zaidi ni kwamba hata baada ya Mwinyi kukubali masharti yao, akaingia Mkapa na leo JK bado mkulima wa korosho huko Mtwara bado hawezi kufaidika na ukulima wake kwa sababu IMF wanataka tuliberalize uchumi wetu regardless..Kutaifishwa kwa mashirika ya Umma hakukuongeza uzalishaji zaidi ya viwanda hivyo kufungwa na ajira kupotea, leo hii kuna wazururaji zaidi ya miaka ya nyuma hata wenye elimu zao. Nothing has trickle down, ila U mimi ndio umekuwa neno la leo ktk Utaifa wetu.

Watanzania wenyewe kushindwa kusimama nyuma ya mwalimu kwa maamuzi magumu alofanya hata kama alijaribu kuitetea haki yetu ambayo leo hii tunaona kabisa mbele ya macho yetu ikichukuliwa na tunashindwa kujitetea..Ni miaka zaidi ya 25 leo hii tunazungumzia ndani ya Ubepari na hakuna lolote jema lililotokea lakini tunakumbuka sana miaka 25 iliyopita hali China na nchi nyingine za Kikomunist wameweza badilisha uchumi wao ktk miaka 25 iliyopita na sii kwa GDP tu bali maisha bora zaidi kwa wananchi wake.

Tatizo si ubapari, tatizo ni Watanzania wenyewe hatuna vyenzo vya kufanikisha ubapari, kama elimu, na capital. Nyerere hakujenga shule za elimu ya juu. Watanzania wote walikuwa wanasoma kitu kimoja Uchumi, uchumi, uchumi uchumi. Tulikuwa hatuna shule za maana, yote ni kwa sababu ya Nyerere.

Capitalism inataka innovations, hatuna Maingeneer, yote ni kwa sababu ya Nyerere.
Nyerere aliwanyima Watanzania wasipate elimu ya juu, matokeo yake ndiyo haya. Mwinyi kafungua mlango kwa watu wote. Sasa hivi hatutakiwi tusubiri Serikali itujengee hospitali, au shule.
 
Mkuu wangu tatizo ni UBEPARI..Na nitakwambia kwa lugha nyepesi zaidi pasipo kufikiria sana it's just Logic.

Tanzania ni taifa changa kama mtoto anayeanza maisha tofauti na Marekani au nchi zilizokwisha endelea. Wao wana kila sababu ya kuwa Mabepari kwa sababu tayari wameshakua kiumri kuvaa suti, wana mtaji na wamepitia maisha ya utoto na ujana as a nation kufika kuchukua Ubepari kama ndio mfumo wa maisha yao. KIla hatua ya Ubepari inalenga umri na maisha yao sio sisi wachanga kiumri tunataka kuishi kama wao wakati hatuna Afya wala elimu ya kutuwezesha.

Sisi akina Yakhe tuliposikia Ubepari tumeuvamia pasipo kuwa na umri wa kuvaa suti, hatuna mtaji, elimu wala ujuzi wa biashara hizo, ndio maana kweli tuna Hospital nyingi, shule na kadhalika lakini hizi zote haziwezi ruhusiwa ktk nchi nyingine yeyote kwa sababu they are below the standard! - Madawa feki na vifo vimezidi kuliko wakati wowote ule, hawana facilities zakutosha hata usafiri tu hawana. Huko mashuleni tumefikia kupeleka secondary hata walio fail na huko vyuo vikuu ndio usiseme, wanajengwa kina kujua huku hawajui kama hawajui kwa kujua wanajua wao zaidi - copy and paste materials - samahani lakini.

Haya ndio maendeleo ya kuwapa watu elimu na huduma ya Afya kweli ili mradi leo tuna vingi kuliko wakati wa Nyerere hali watu hao wanatoka mashuleni kabuntas na wagonjwa wakifa kwa maradhi madogo sana yanayotibika.

Leo hii NGOs wana Hospital na shule nzuri kuliko za serikali kwa watoto wetu hivi kweli tunategemea nini kama sii kujaribu kuvaa suti hali sisi bado tunatambaa.. Na hakika mkuu wangu kati ya watu 10 wanaoishi Ulaya leo ukiwaambia kuhamia Bongo kitu cha kwanza wao kufikiria ni ELIMU na AFYA zao hivyo 7 hurudi Ulaya, na wawili huondoka kwa sababu ya Usalama..That is a fact, na huyo mmoja anayebakia TZ leo hii hana hila isipokuwa mvuto wa Ufisadi kulipwa mshahara wa juu zaidi ya ujuzi na elimu yake..Tunajenga Taifa la Wagagagigikoko!
 
Mkandara:

Pamoja na sisi kuwa masikini lakini umasikini wetu usiwe ndio sababu ya kujenga welfare state wakati hatuna uwezo wa kumudu huduma hizo. Unajua wakati mwingine sisi waAfrika tunaiga sana. Ukiona wazungu wameendelea na kusoma sana, basi una-attribute maendeleo ya wazungu kutokana kisomo chao.

Leo Marekani watu wanaandamana kuwa deni limezidi. Na wanakata matumizi ya elimu hili kupunguza deni. Kwanini sisi tujaribu kuendeleza elimu wakati deni linakuwa kubwa?

Katika kipindi cha Mwinyi na Mkapa, service ya madeni ya nchi ilikuwa karibu 25% ya mapato ya Tanzania. Wakati elimu ilikuwa 4%.
 
Mkandara, Tatizo si UBEPARI, tatizo ni ubinafsi, Rushwa, Kulindana, kutokufuata kanuni na sheria za kazi, kutokuwa na elimu bora ya Uraia kwa wananchi nakadhalika.
Haijalishi kama nchi ni ya KIJAMAA au KIBEPARI kama kuna matatizo ya kupita kiasi ya hayo ninayoyaelezea hapo juu kamwe haiwezi kupiga hatua. chukulia mfano huu, Kuleta makampuni binafsi ya uchimbaji wa madini ni kitendo cha kibepari, lakini kuandaa sheria mbovu na mikataba mibovu si kitendo cha kibepari, bali ni cha kijinga.
au tazama mfano huu, Serikali kumiliki mashamba makubwa kilikuwa ni kitendo cha ujamaa wetu, lakini kuiacha ardhi tupu isiyozalishwa wakati kuna watu wenye uwezo wa kuizalisha halikuwa jambo zuri.

Sasa mambo kama hayo, ukichunguza kwa makini ndo maana utaona, yule mwanzilishi wa kimageuzi ya China, Mzee Deng Xiaoping akasema, "Haijalishi panya ni wa rangi gani, yule anayekamata panya ndiyo paka mzuri". akaenda mbele mpaka kuzi"dilute" sera za mzee Mao.

Zipo nchi ambazo mwanzoni mwa miaka ya sitini hali zetu zilikuwa hazitofautiani sana, mfano South korea, hawa waliamua kufuata njia ya Kibepari lakini ona sasa pale walipo, Kufanikiwa kwao si kwa sababu walifuata Ubepari kama ideology, wamefika hapa kwa sababu misingi ya ubepari wameifuata vizuri, na pia utawala wa sheria, wananchi wanajituma wanachapa kazi kisawasawa, sasa wewe jiulize katika nchi yetu leo tunajipa masiku mengi ya kutokufanya kazi, mfano Nyerere day, Karume day, maduka mijini saa kumi na mbili jioni yeshafungwa, wakati wenzetu wanaendelea kufanya biashara mpaka saa nne usiku na wengine zaidi, katika hali ya namna hii hata kama Serikali itamiliki Njia kuu za Uchumi kama hapo zamani hatuwezi kufika, kwa sababu vitakufa tena.

Mimi ninadhani badala ya serikali kumiliki vitu kwa niaba ya wananchi, wananchi wavimiliki wao moja kwa moja, kupitia mtindo wa hisa, hii ina tija zaidi, kwa sababu watu wanaiona faida ya juhudi yao moja kwa moja, watu wanakuwa responsible na hivyo vitu, watavilinda vizuri.

Ila cha msingi cha serikali kufanya, ni kutunga sheria nzuri za kuwalinda wananchi wao dhidi ya wawekezaji wa kigeni, na hivi ndivyo China walivyofanya hapo awali, huwekezi mpaka utafute mbia mzalendo mwekeze wote.
Serikali iendelee kuboresha miundo mbinu, elimu bora na si bora elimu.
 
Mkandara:

Pamoja na sisi kuwa masikini lakini umasikini wetu usiwe ndio sababu ya kujenga welfare state wakati hatuna uwezo wa kumudu huduma hizo. Unajua wakati mwingine sisi waAfrika tunaiga sana. Ukiona wazungu wameendelea na kusoma sana, basi una-attribute maendeleo ya wazungu kutokana kisomo chao.

Leo Marekani watu wanaandamana kuwa deni limezidi. Na wanakata matumizi ya elimu hili kupunguza deni. Kwanini sisi tujaribu kuendeleza elimu wakati deni linakuwa kubwa?

Katika kipindi cha Mwinyi na Mkapa, service ya madeni ya nchi ilikuwa karibu 25% ya mapato ya Tanzania. Wakati elimu ilikuwa 4%.
Mkuu wangu rudia kutazama zile takwimu nilizoweka badala ya kuzungumza tu ili mradi kwani Nyerere alikukopa kidogo kuliko hawa jamaa wote na bila shaka wali service madeni ambayo Nyerere ali invest ktk vitu vilivyoonekana. Leo hawa wote wamekopa kuliko Nyerere na wameacha madeni kuliko Nyerere na hakuna walichojenga zaidi ya kuuza vitu alivyojenga Nyerere kuonyesha mafanikio yao. Apart from hilo daraja la huko Kusini na Uwanja wa Taifa Toka Mwinyi hadi JK unaweza nambia ni kitu gani wamefanya cha kuonyesha...Hata ku renovate uwanja wa ndege JKN na kilimanjaro wameshindwa acha mbali reli, meli, ndege, bandari, Tanesco yaani ni vurugu tupu hata kuwezesha nguvu za umeme itoe 50% ya uwezo wake wameshindwa for the last 25 yrs kazi kununua generators na kuchimba visima vya maji.. Ndio Ubepari huu kweli?

Jamani, Ubepari ni uwezo wa kufanya biashara, nchi yetu toka tunapata Uhuru tunajua fika ni nchi ya WAKULIMA na WAFANYAKAZI, abruptly mnataka kuwa wafanyabiashara nje ya uwezo na vitu mnavyozalisha kweli hii akili. Mkuu wangu hao Mabepari wenyewe walianza taratibu na hadi leo hii baada ya miaka 200 ya uhuru bado wana vitu vinahodhiwa na serikali zao After 100 or 200 yrs bado wanabinafsisha kwa hatua kulingana na uwezo wao na ukubwa wa uchumi wao. Sisis tunachotafuta ni kuvaa suti kama wao hali mwili na uwezo huo hatuna.

Najua fika wewe umeishi Ulaya au unaishi Ulaya, nambie kuna kitu gani kinakwenda huko pasipo mzunguko wa kupitia benki zao?. Hakuna mtu anatumia cash yake kununua hata gari acha kuwekeza ktk biashara. Sisi ndio kwanza tulibinafsisha Banks na kuruhusu za kigeni wakati wananchi wote hawana creditline wala record ya kuwawezesha isipokuwa kualika wageni..

Sasa unategemea mtu ataweza vipi kujenga kiwanda au hata nyumba yake mwenyewe pasipo kuiba maanake mshahara hauwezi kutosha, sii benk wala financial institute zote hazitoi mikopo bila collateral kuwafilisi wananchi haki na mali ya urithi wao - huo Ubepari utaanzia vipi pasipo kuwezeshwa wananchi mtaji!.

Mkuu wangu tusiwe tunasifia vitu pasipo kufikiria kabisa kwani kunambia ati yule maskini aliyeko pale msikitini kitumbini anaweza kutoka pale akipewa nafasi fulani ni kujidanganya..Kwanza ukombozi wa binadamu yeyote huanza na fikra, elimu ya kumwezesha kufanya mabadiliko hayo na akaona nuru mbele lakini kuvamia tu Ubepari hali watu wakidhani Ubepari ni kuagiza vitu vya nje, kuwa na TV na magari mazuri ktk barabara za vumbi ni umaskini wa akili ikiwa nchi nzima hakuna duka la ku service magari hayo.

Nachowaomba mtazame ni elimu kabla ya Nyerere yaani Azimio la Arusha 1967 ni wananfunzi wangapi walikuwa wakiingia sekondari na hata vyuo vikuu. Naowajua mimi wasomi wote kabla ya Azimio la Arusha walisomeshwa na wahindi, au matajiri walikuwa karibu sana na wazazi wao. Na wala sintashangaa ikiwa Nyerere mwenyewe alisomeshwa na mhindi, mwarabu au msamalia mmoja mzungu aliyejitolea.

Sasa sijui ni wangapi walokuwa na bahati hiyo na kama tungeendelea na Ubepari sijui ni wangapi kati yetu wangefika hata darasa la tano. Na hospital sisi wenmgine tulizaliwa nyumbani namkunga familia zetu hazikuwa na uwezo hata wa kutuzaa hospital, haya nambie kama leo na technologia yote hii vifo vya kina mama wajawazito vinaongoza ktk magonjwa ya kike ingekuwa vipi miaka ya 60s hadi 70s...Acheni uchuro wakuu zangu acheni!

Gamba la Nyoka nitakurudia baadaye ingawa nakubaliana nawe sana tu isipokuwa unashindwa kuelewa kwamba maskini hana call ktk Ubepari na hasa ukipitia IMF..
 
Tatizo si ubapari, tatizo ni Watanzania wenyewe hatuna vyenzo vya kufanikisha ubapari, kama elimu, na capital. Nyerere hakujenga shule za elimu ya juu. Watanzania wote walikuwa wanasoma kitu kimoja Uchumi, uchumi, uchumi uchumi. Tulikuwa hatuna shule za maana, yote ni kwa sababu ya Nyerere.

Capitalism inataka innovations, hatuna Maingeneer, yote ni kwa sababu ya Nyerere.
Nyerere aliwanyima Watanzania wasipate elimu ya juu, matokeo yake ndiyo haya. Mwinyi kafungua mlango kwa watu wote. Sasa hivi hatutakiwi tusubiri Serikali itujengee hospitali, au shule.

Tatizo la sisi WaTZ ni hilo, tunafikiri kuna malaika atashuka na magic bullet kurekebisha mambo yetu na hivyo tuendelee kuishi, kama wanavyosema....happily ever after. Inatakiwa tuweze ku-perceive umuhimu wa kuwa na Uchumi ya Kitaifa nakufanya kila tuwezalo kuujenga uchumi huo. Painstakingly.

Nyerere started that, from nothing, we need someone to takeover or to restart.
 
Mkuu wangu rudia kutazama zile takwimu nilizoweka badala ya kuzungumza tu ili mradi kwani Nyerere alikukopa kidogo kuliko hawa jamaa wote na bila shaka wali service madeni ambayo Nyerere ali invest ktk vitu vilivyoonekana. Leo hawa wote wamekopa kuliko Nyerere na wameacha madeni kuliko Nyerere na hakuna walichojenga zaidi ya kuuza vitu alivyojenga Nyerere kuonyesha mafanikio yao. Apart from hilo daraja la huko Kusini na Uwanja wa Taifa Toka Mwinyi hadi JK unaweza nambia ni kitu gani wamefanya cha kuonyesha...Hata ku renovate uwanja wa ndege JKN na kilimanjaro wameshindwa acha mbali reli, meli, ndege, bandari, Tanesco yaani ni vurugu tupu hata kuwezesha nguvu za umeme itoe 50% ya uwezo wake wameshindwa for the last 25 yrs kazi kununua generators na kuchimba visima vya maji.. Ndio Ubepari huu kweli?

Jamani, Ubepari ni uwezo wa kufanya biashara, nchi yetu toka tunapata Uhuru tunajua fika ni nchi ya WAKULIMA na WAFANYAKAZI, abruptly mnataka kuwa wafanyabiashara nje ya uwezo na vitu mnavyozalisha kweli hii akili. Mkuu wangu hao Mabepari wenyewe walianza taratibu na hadi leo hii baada ya miaka 200 ya uhuru bado wana vitu vinahodhiwa na serikali zao After 100 or 200 yrs bado wanabinafsisha kwa hatua kulingana na uwezo wao na ukubwa wa uchumi wao. Sisis tunachotafuta ni kuvaa suti kama wao hali mwili na uwezo huo hatuna.

Najua fika wewe umeishi Ulaya au unaishi Ulaya, nambie kuna kitu gani kinakwenda huko pasipo mzunguko wa kupitia benki zao?. Hakuna mtu anatumia cash yake kununua hata gari acha kuwekeza ktk biashara. Sisi ndio kwanza tulibinafsisha Banks na kuruhusu za kigeni wakati wananchi wote hawana creditline wala record ya kuwawezesha isipokuwa kualika wageni..

Sasa unategemea mtu ataweza vipi kujenga kiwanda au hata nyumba yake mwenyewe pasipo kuiba maanake mshahara hauwezi kutosha, sii benk wala financial institute zote hazitoi mikopo bila collateral kuwafilisi wananchi haki na mali ya urithi wao - huo Ubepari utaanzia vipi pasipo kuwezeshwa wananchi mtaji!.

Mkuu wangu tusiwe tunasifia vitu pasipo kufikiria kabisa kwani kunambia ati yule maskini aliyeko pale msikitini kitumbini anaweza kutoka pale akipewa nafasi fulani ni kujidanganya..Kwanza ukombozi wa binadamu yeyote huanza na fikra, elimu ya kumwezesha kufanya mabadiliko hayo na akaona nuru mbele lakini kuvamia tu Ubepari hali watu wakidhani Ubepari ni kuagiza vitu vya nje, kuwa na TV na magari mazuri ktk barabara za vumbi ni umaskini wa akili ikiwa nchi nzima hakuna duka la ku service magari hayo.

Nachowaomba mtazame ni elimu kabla ya Nyerere yaani Azimio la Arusha 1967 ni wananfunzi wangapi walikuwa wakiingia sekondari na hata vyuo vikuu. Naowajua mimi wasomi wote kabla ya Azimio la Arusha walisomeshwa na wahindi, au matajiri walikuwa karibu sana na wazazi wao. Na wala sintashangaa ikiwa Nyerere mwenyewe alisomeshwa na mhindi, mwarabu au msamalia mmoja mzungu aliyejitolea.

Sasa sijui ni wangapi walokuwa na bahati hiyo na kama tungeendelea na Ubepari sijui ni wangapi kati yetu wangefika hata darasa la tano. Na hospital sisi wenmgine tulizaliwa nyumbani namkunga familia zetu hazikuwa na uwezo hata wa kutuzaa hospital, haya nambie kama leo na technologia yote hii vifo vya kina mama wajawazito vinaongoza ktk magonjwa ya kike ingekuwa vipi miaka ya 60s hadi 70s...Acheni uchuro wakuu zangu acheni!

Gamba la Nyoka nitakurudia baadaye ingawa nakubaliana nawe sana tu isipokuwa unashindwa kuelewa kwamba maskini hana call ktk Ubepari na hasa ukipitia IMF..

Mkandara:

Ni nani anakwambia Nyerere alijenga hivyo vitu? Alijenga kutokana na mapato gani? Vitu vingi vilivyojengwa wakati wa Nyerere ni misaada ya kutoka nje.

Mashirika ya misaada kama SIDA, yanaandika vitabu vyao vya utafiti. Na moja ya matatizo yaliogunduliwa kuhusiana na miradi ya Nyerere ni UNSUSTAINABILITY. Utamlaumu Mwinyi au Mkapa kuwa hawakujenga vitu. Je wangefanya hivyo kwa kutumia resources gani?

Angalia hivi vipande anavyopewa
Global Politician - Tanzania: Example Of What The Third World Should Not Do
Kama Nyerere alikuwa bingwa wa kujenga nchi, je katika kipindi cha 1979-1985 alijenga kitu gani. Nchi inajengwa pale financial resources zinapokuwepo. Mwinyi na Mkapa hawakuwa na financial resources.
 
Naunga mkono sana kwa hili.. Mzee Mwinyi alitutoa mbali sana.. kama mnakumbuka katutoa kwenye siasa ya ujamaa na kujitegemea na kutuonjesha kidogo siasa ya kipebebu..

Na liyekuja kuharibu nchi ni Mzee Mkapa..
 
Dr. Slaa anampango wa kuleta UJAMAA. Anataka kila kitu kiwe kinatolewa na serikali kama elimu, hospitali, nk. Nashaka Slaa ataturudisha tulikotoka (UJAMAA).
 
Mkandara:

Ni nani anakwambia Nyerere alijenga hivyo vitu? Alijenga kutokana na mapato gani? Vitu vingi vilivyojengwa wakati wa Nyerere ni misaada ya kutoka nje.

Mashirika ya misaada kama SIDA, yanaandika vitabu vyao vya utafiti. Na moja ya matatizo yaliogunduliwa kuhusiana na miradi ya Nyerere ni UNSUSTAINABILITY. Utamlaumu Mwinyi au Mkapa kuwa hawakujenga vitu. Je wangefanya hivyo kwa kutumia resources gani?

Angalia hivi vipande anavyopewa
Global Politician - Tanzania: Example Of What The Third World Should Not Do
Kama Nyerere alikuwa bingwa wa kujenga nchi, je katika kipindi cha 1979-1985 alijenga kitu gani. Nchi inajengwa pale financial resources zinapokuwepo. Mwinyi na Mkapa hawakuwa na financial resources.
Mkuu wangu tafadhali!
Hivi kweli unaishi dunia hii ama unasema tu ili mradi..
Kuna nchi gani maskini ilojenga miradi ya maendeleo pasipo misaada? hivi kweli wewe unataka kunambia tunaweza toka ktk umaskini pasipo kuwekeza katika miradi kama aloiweka Nyerere ndani ya Ujamaa hali tumeshindwa leo kuifanya ndani ya Ubepari na msijue sababu gani tumeshindwa!..Huyo Mwinyinna Mkapa wangeweza kuleta maendeleo kwa kutumia hiyo hiyto mikopo waliochukua mara dufu ya Nyerere lakini hatuoni hata moja walolifanya pamoja na kwamba serikali zao zimeondoa kabisa matumizi alokuwa nayo Nyerere.

Ikiwa leo hii wizara haitoi huduma kwa wnanchi wala kuendesha kiwanda au shirika hizo fedha wanazokusanykwa kodi na mikopo inafanya kazi gani?.. maanake sioni walojenga. Ku renovate reli ya kati wameshindwa, kuirudisha ATC ilokuwa ikiruka hadi London na Dubai miaka ya Nyerere wameshindwa, Kuongeza nguvu za Umeme wameshindwa, acha hilo kuyawezesha tu mabwawa yetu kutoa umeme hata iwe asilimia 50 wameshindwa..

Leo hii mvua zinanyesha inakuwa bado umeme ni shida na unapatikana kwa watu asilimia 7 sijui 10 nchi nzima hali uwezo uliopo wa vyanzo vyetu kaama vilivyo unaweza sambaza umeme almost kila sehemu nchini na tukauza nje! Lakini visingizio vyao ni nvua hazinyeshi vya kutosha! mbona zinaponyesha bado hatuja Umeme. Haya nenda maji! ndio usiseme leo hii karne ya 21 biashara ya visima vya maji MJI MKUU wa nchi ndio deal..Comeon bro!

Kisha ati waniuliza ni vitu gani Nyerere alijenga between 1975 hadi 1985, mkuu hata sikuelewi unachouliza hapa unless wewe una maana ambayo mimi siifahamu..Katika Usafiri toka uwanja wa ndege Dar, Kilimanjaro, ATC, TAZARA, Bank zetu NBC, CRDB, Usafiri wa meli za Sinota, ziwa Nyanza, mabasi ya UDA kwa Dar na yale ya maendeleo mikoani na wilaya..Dams za kuzalisha Umeme, viwanda vya Ufi, Mwatex, Urafiki, Chai na Kahawa na vinginevyo vyote kibao vyote hivi umeviona unsustanable kivipi? Ebu labda nambie wewe waloyafanya hao kina Mwinyi tuache mbali mchezo wa kulaumu kama hata mkononi yanajaa!

Mkuu wangu, kama utazungumzia policy na Ujamaa kuwa sababu nitakuelewa sana tu lakini kusiomama hapoa na kujaribu kuhoji ati Nyerere aliweza kujenga vitu gani hali unajua fika kwamba Mikopo yote alokuwa nayo Nyerere ilikwenda ktk kujenga msingi Infrastructure tukokuwa nayo leo na hakika kati ya mashirika ya Umma 3000 yaliyo binafsishwa 2/3 yamejengwa na Nyerere leo mkuu wangu unakuja kumbeza kwa dharau kwa sababu tu wewe una imani tofauti.

Mkuu wangu nimekuuliza vizuri sana kwa maana nzuri kwamba Ikiwa Urusi na China waliokuwa na kila kitu bora kuliko sisi wali fail ktk Ujamaa wao ulitegemea Nyerere angeweza kufanya maajabu gani? Lakini wewe mwepesi sana kuwatetea kina Mwinyi na Mkapa tunapozungumzia mafanikio ya nchi hizo waliokuwa Wajamaa kutushinda kwa kutumia vigezo vya elimu zao ili mradi tu kuonyesha sisi hatukuwa na uwezo..Wenye uwezo waliposhindwa lawama zenu hazitazami nje ya Nyerere hata kama Ujamaa ulipigwa vita kote, lakini tunapozungumzia mafanikio ya wenzetu bado lawama ni za Nyerere alokuwa Mjamaa...gimme a break!

Na kwa mawazo kama haya sintashangaa Kikwete kupita tena uchaguzi huu!.. nimeshaanza kuondoa HOPE kwa sababu nimedungua kwamba Tatizo sio viongozi wetu bali ni sisi wenyewe wananchi....
 
Anza thread ya misaada na negative impacts zake kwa nchi za kiAfrika na nitakuja nichangie. Nikiendelea kuchangia katika mada hii itaonekana na-support waliomfuatia Nyerere.

Wako,

Z10.
 
Back
Top Bottom