MWINYI Was A Visionary Leader | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MWINYI Was A Visionary Leader

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shamu, Oct 14, 2010.

 1. S

  Shamu JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2010
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thanks MR. Pres. Ally Hassan Mwinyi

  Aliikuta nchi katika hali ngumu ya kimaisha, akaibadilisha nchi kwa kutufumbua macho, thanks Mzee wetu. Mzee Ruksa ni kiongozi wa kuigwa duniani kote. Tanzania ilikuwa haina demokrasia, lakini akatupa RUKSA tufanye tunavyotaka kwa misingi ya haki, na ukweli.

  Leo Tanzania kuna uhuru wa vyombo vya habari, education, demokrasia ya vyama vingi, yote kwa sababu ya Mzee wetu MR. PRES. Ally Hassan Mwinyi. Mzee Mwinyi You are TRUE PRESIDENT. Tumshukuru Muumba wetu kwa kutupa A TRUE PRESIDENT.
   
 2. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Akafungua madirisha ili tupate hewa safi lakini nzi nao wakepenya pia!
   
 3. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hao nzi una maanisha mama Sitti alipokaribisha waarabu wakanunua zile mbuga na kulamba TAUSI kibao....Mwinyi aliongoza nchi akiwa kitandani.....
   
 4. fige

  fige JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2010
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Namkumbuka sana kwa msemo huu:
  Tulumbane kwa kushinanisha hoja wala si nguvu kwa kutumia nguvu ya hoja na si hoja ya nguvu
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,476
  Likes Received: 5,858
  Trophy Points: 280
  Vision leader or visionary leader?...either way he wasn't....he brought this Kwere problem onto us
   
 6. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Exactly! He was a visionary Leader the nation had never experienced before. Nyerere alileta ukatoliki wake na kumrithisha mwanae mpendwa Mkapa. JK anajaribu kufuata nyayo za Mwinyi ingawa bado hajafanikiwa kuvivaa viatu vya Mwinyi vema. Marais bora nchini kwetu ni MWINYI, JK, Mkapa na wa mwisho ni Nyerere
   
 7. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mwili unao lakini unakonda kwa roho mbaya yako. Wema huna huna hata ihsani pia!!!! Usiwe mchoyo wa kukumbuka fadhira. Waulize walokuzidi umri mzee mwinyi alipewa nchi kutoka kwa mchonga ikiwa katika hali gani.
   
 8. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Pole sana, inaoneka nawe ni muathilika wa arabufobia (ugonjwa wa kuogopa waarabu). Wee umeona tausi tu ndio wanaolambwa!!!!! Vipi zile dhahabu kule geita ambazo zimekuwa zikilambwa na kiongozi aliyekuwa akiongoza nchi akiwa amesimama ambaye alikuja baada ya mwinyi; ua ni kwa vile zinalambwa na wasiokuwa waarabu?????
   
 9. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Inategemea na uwezo wako wa uelewa. Mwinyi naweza kusema alikuwa rais mwenye matatizo kuliko rais yeyote hapa Tanzania. Lakini matatizo hayo hayakutokana na dini yake, Mkapa alikuwa rais mzuri kuliko Mwinyi lakini uzuri wake haukutokana na dini yake, JK tunafahamu urais wake ulivyo dini yale pia si tatizo. Tatizo ni kuwa aliingia ulingoni akiwa amefungwa kamba, mafisadi (wengi wao ni wakristo) wanadhibiti nchi kwa hiyo ameshindwa kuonesha uwezo wake wa utawala, ndio maana katika kipindi cha miaka mitano hajafanya kazi yoyote.
   
 10. M

  MtuKwao Senior Member

  #10
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 7, 2006
  Messages: 190
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  No, Not me ...

  Nichangie kidogo kabla huu mjadala haujaelekea kwenye udini, kwa sababu naona unaelekea huko haraka ...

  Naweza kusema matatizo tuliyo nayo sasa hivvio ya kutokujua tuko wapi, tunaelkea wapi yalianza hasa na Utawala wa Mwinyi. Aliyakuta matatizo ni kweli, kama ambavyo viongozi woye wanaoingia madarakani wa wanakuta matatizo. Ndiyo maana wanagombea na kuchaguliwa kutatua matatizo.

  Mwinyi alitakiwa kuichukua nchi na kueindeleza bila kuvuruga yale mazuri aliyoyakuta. Kwa maana ya kutumia nguvu ya soko KWA MASLAHI YA NCHI HII, bila kuvuruga mihimili ya uchumi aliyoikuta. Kulikuwepo na viwanda kede kede, sasa hivi viko wapi? Huwezi kusema viwanda vya kutengeza nguo kwa kutumia pamba yetu vilikuwa havifai. Vivyo hivyo vile vya viatu, karatasi n.k. n.k.... Kama Nyerere alifanya alichoweza, basi ilitakiwa Mwinyi arekebishe makosa twende mbele. Alichofanya ni kutupa yote alojenga Nyerere, mazuri na mabaya kwa jumla ... hakuweza kuchekecha na kujenga contunuity fulani ya ujenzi wa nchi yetu. Mwinyi alikuwa na chance nzuri sana ya kufanya hivyo. HAKUFANYA.

  Wengi wanaweza kumsifu Mwinyi kwa kujaza bidhaa madukani toka nchi za nje. Cha kujiuliza ni kama vitu hivyo vingeweza kujazwa toka kwenye viwanda vyetu, hata kama siyo vyote.

  Wachina walire-form na kutumia nguvu ya soko kuboresha uchumi wao... sote tunajua walipo sasa.

  Kwa kifupi, utawala wa Mwinyi ulikuwa mwanzo wa nchi yetu kurudi nyuma. We are yet to recover! Kwa sababu dira mimi bado siioni!

  Visionary leader? Where is the vision?
   
 11. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Ni kawaida marais walio madarakani kupigwa madongo wakati watarajiwa na wastaafu hata wale ambao hawakupendwa, hupandishwa chati kwa nostalgia.

  Hata George W. Bush kuna popularity poll imetoka majuzi inamuonyesha anapanda popularity anakuwa karibu sawa na Obama, wakati Obama anashuka. Ex-presidents do not have to govern, and soon people forget theiir weaknesses and misgovernment, and excuse them for the ones they remember, while praising them for their strong points.

  Nani alifikiri George W. Bush angeweza kupanda popularity tena? Same thing with Mwinyi. Optical illusion.
   
 12. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  I absolutely agree with you for ur points,
  kweli Mwinyi ameifanya nchi yetu kuwa kama jinsi ilivyoleo kutegemea kila kitu kutoka nje ya nchi,hata wembe,n.k. aliua viwanda karibu vyote wala hakutaka kuviendeleza il tanzania ijivunie na Made in tanzania ila akaweka ruksa ya kila kitu hata katika maswala nyeti ya uchumi,China wako mbali sana kwa sababu yaviwanda vyao wala si kitu chochote, je sisi tuko wapi leo? ni miaka 5o sasa lakini hata viwanda vilivyokuwepo vya kutengeneza nguo,viatu n.k leo vyote havipo....ooh eti tunasema tunaendelea,,,je ni kweli tanzania inaendelea?
  Hivi maendeleo tuinayaangalia katika vigezo vipi? kuwa na traffik jam? building good house while depending on imoprtation for everything?
  I dont know even what am I writing here maana sijui hii nchi inakwenda wapi na inatoka wapi?
  ooh let me have dinner.
   
 13. T

  Tz Asilia Member

  #13
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna kitu, Mwinyi hana tofauti na JK wa sasa, Inamaana Gb yako ni ndogo na haina Antivirus kwani umeshindwa kukumbuka yanayo tokea huko Loliondo kwa sasa?
   
 14. H

  Haki JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2010
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani hukubali kusema ukweli. Tanzania ya leo ni bora mara trillions compare ya wakati wa Nyerere. Umesahau unga wa Yanga? Umesahau Foleni ya kununua mafuta? Sema ukweli Mr.
   
 15. H

  Haki JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2010
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mr.You don't have fact on what you said. Mwinyi alikuwa anasema "Utaweza wapi kumkamua MaziwaNg'ombe ambaye hana lishe bora? Mkapa aliweza kukusanya kodi kwa sababu Mwinyi aliweza kuwanufaisha Watanzania kimaslahi, kielimu, kiuchumi nk. Mwinyi aliikuta nchi TAABANI. Zungumza ukweli. Kuwa na Critical Thinking it doesnt mean you have to disagree on every issues, Mr. Use your knowledge to help others, Mr.
   
 16. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  wengine kila kitu wanaangalia kiudini

  ila wajiulize ni bara bara ngapi alizikuta taaban na ngapi alizitengeneza alipoondoka ?

  tanzania kabla ya wakati wake hata tv ya taifa hakuna na binafsi ndo kabisa

  foleni kwa kila kitu

  hali ilikua sio nzuri wanaokumbuka wanajua watu walilia alipokua anatuaga haijawahi kutokea na hadi leo ni kipenzi cha watu
   
 17. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Unajua isingekuwa wake zao Mwinyi na Mkapa could have been praised forever
   
 18. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kwa ukweli tumshukuru mungu Tanzania tumejaaliwa na hazina ya viongozi bora na wenye wisdom ila tuongeze juhudi kwenye uchumi ili tuwe na maisha bora
   
 19. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  kwanza usiwe mshabiki kipofu

  mwinyi aliachiwa nchi ikiwa tayari viwanda vingi vishakufa na amavyo vilikua vinaoperate viko ICU huo ndio ukweli wa mambo

  na bidhaa ambazo zilikua zikizalishwa hazikuweza kukidhi mahitaji maana vitu vilikua kidogo japo pia ni low quality kwa mfano hivyo viwanda vya vitambaa ukivaa ukifua kinanyumbuka utapenda

  mwinyi na wenziwe ndio wakaja na azimio la zanzibar kuinusuru nchi tuwe wa kweli
   
 20. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Na mende pia wakapenya!
   
Loading...