RICH OIL SHEIKH
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 883
- 169
Ili mradi hamlazimishi mtu kwenda kanisani kwake sioni tatizo, watu dhaifu hujipeleka na kuliwa, usikute hata huyo alomegewa wife bado ni mwana kondoo wake. Jamaa liko kisanii/kibiashara zaidi. Wajinga ndio waliwao