Mwingira atangaza mwisho wa CCM 2015

Siwezi kushangaa Mwingira kuwa Chadema si anamfuata swaiba wake Dr Slaa.
 
Amesema pia kuwa ,CDM itashika dola na Zitto kuwa rais, makamu ni Slaa na pm ni Shibuda, Tanzania itakua developed country na itatoa misaada kwa nchi zote africa, cement itakua bure na sukari itakua sh 100 kwa kilo, kila mtanzania atakuwa na kipato cha milion 7. Sugu atatoa album na 50 cent na nassari atamuoa jenifer lopez.
 
Kwahiyo kuna maana gani kusema ameokoka kama anaweza kuanguka kwenye dhambi?
"jambo usilolijua ni kama usiku wakiza"
WANA JF,Nimekua nikisoma mara nyingi maoni ya wanajf hasa linapokuja suala linalohusu viongozi wa dini,mara nyingi watu huacha kujadili ujumbe na kuanza kumjadili mtu binafsi.Kwa mtizamo wango viongozi wa dini hata wawe vipi nao huwa wanajaribiwa na kuanguka katika dhambi kama binadamu mwingine yeyote yule.Dhambi iliingia duniani baada ya wazazi wetu wa kwanza kutenda dhambi.Na ikumbukwe hawa walikua na uwezo wa kuongea na Mungu lakini still walitenda dhambi.Mfano mwingine ni mfalme Daudi ambaye alikua akipata maelekezo toka kwa Mungu kupitia manabii,na mwisho wa siku aliamuru kamanda wake awekwe mstari wa bele ,na iamriwe jeshi lirudi nyuma ,ili kamanda auawe,na yeye mfalme kuchukua mke wake.sasa kama hao viongozi wa kale ambao atleast waliweza kuongea na Mungu wakatenda dhambi sembuse hawa wa leo?
Hoja hapa ni chama cha mabwepande kung'oka madarakani,hayo ya Mwingira ni udhaifu wa kawaida wa mwanadamu.Hebu tujadili pale unapomfumania baba au mama yako ,akichieat,huwa mnakuja humu kuponda kama mnavyowaponda viongozi wa dini?
Let's be "Great thinkers"
 
Amesema pia kuwa ,CDM itashika dola na Zitto kuwa rais, makamu ni Slaa na pm ni Shibuda, Tanzania itakua developed country na itatoa misaada kwa nchi zote africa, cement itakua bure na sukari itakua sh 100 kwa kilo, kila mtanzania atakuwa na kipato cha milion 7. Sugu atatoa album na 50 cent na nassari atamuoa jenifer lopez.

Huo ni Utabiri wako binafsi na wala siyo wa Mwingira na umeshamirishwa na Jazba,husda,wivu,jungu na umbea.Yenu kamba tu mnyororo utawachubua
 
lakin ukweli ndo huo hata kama amepigwa mabomu pia ana nafasi yake kutabiri haya, kwan kuna mtu ambaye ajui kuwa ccm mwisho wake ni 2015 kila kitu kiko wazo ndugu
 
"jambo usilolijua ni kama usiku wakiza"
WANA JF,Nimekua nikisoma mara nyingi maoni ya wanajf hasa linapokuja suala linalohusu viongozi wa dini,mara nyingi watu huacha kujadili ujumbe na kuanza kumjadili mtu binafsi.Kwa mtizamo wango viongozi wa dini hata wawe vipi nao huwa wanajaribiwa na kuanguka katika dhambi kama binadamu mwingine yeyote yule.Dhambi iliingia duniani baada ya wazazi wetu wa kwanza kutenda dhambi.Na ikumbukwe hawa walikua na uwezo wa kuongea na Mungu lakini still walitenda dhambi.Mfano mwingine ni mfalme Daudi ambaye alikua akipata maelekezo toka kwa Mungu kupitia manabii,na mwisho wa siku aliamuru kamanda wake awekwe mstari wa bele ,na iamriwe jeshi lirudi nyuma ,ili kamanda auawe,na yeye mfalme kuchukua mke wake.sasa kama hao viongozi wa kale ambao atleast waliweza kuongea na Mungu wakatenda dhambi sembuse hawa wa leo?
Hoja hapa ni chama cha mabwepande kung'oka madarakani,hayo ya Mwingira ni udhaifu wa kawaida wa mwanadamu.Hebu tujadili pale unapomfumania baba au mama yako ,akichieat,huwa mnakuja humu kuponda kama mnavyowaponda viongozi wa dini?
Let's be "Great thinkers"

Huyu Mwingira amezidi sana.
 
Kipindi Live TRENET: Mtume na Nabii Josephat Mwingira katika mahubiri yake ameeleza kuwa yeye kama mtumishi wa Mungu anatangaza kuwa walioko madarakani mafisadi na wapiga mabomu mwisho wao ni 2015 kama alivyoitabiria KANU ya Kenya...!! ametoa mifano kadhaa ya Biblia kuhusu Shedrack, Meshack na Abednego waliotupiwa kwenye moto lakini hawakuungua. ameeleza kwa ujasiri sana kuwa watawala wa Tanzania wataharibikiwa mambo yao kutokana na maovu wanayowafanyia waTz..!

my take:
naona hz ni hasira za kupigwa mabomu pale kanisani kwake...!
Huhitaji unabii au kupigwa mabomu kulifahamu hili. Ni kitu iliyo wazi. Nimehudhuria mikutano mitatu ya uchaguzi CCM majuzi. Kote nimesikia wakisema wanachagua timu kwa uchaguzi wa 2014 na 2015. Wamejawa hofu, na hakuna anayemuamini mwenzake.
 
Jamani hivi kunahitajika Nabii hama mnajimu kujuwa kwamba CCM tunaiondowa madarakani 2015? hebu tuanze kujihesabu sisi wenyewe kwanza kwenye hii thread ni nani atakayeipigia kura CCM?
 
Watatokea huku na huko wakisema yupo huku.............ni kazi ngumu sana kuitetea serikali ya ccm kwani nayo inalalamika inaonewa........... Kwa heri ccm karibu cdm
 
tuwe macho na viongozi wa makanisa wanaweza kutupotosha katika kuwapata viongoz bora.kumbuken miaka ile ya 2005 walitambili rais wa awamu ya nne anaupako wa mungu!
 
Kipindi Live TRENET: Mtume na Nabii Josephat Mwingira katika mahubiri yake ameeleza kuwa yeye kama mtumishi wa Mungu anatangaza kuwa walioko madarakani mafisadi na wapiga mabomu mwisho wao ni 2015 kama alivyoitabiria KANU ya Kenya...!! ametoa mifano kadhaa ya Biblia kuhusu Shedrack, Meshack na Abednego waliotupiwa kwenye moto lakini hawakuungua. ameeleza kwa ujasiri sana kuwa watawala wa Tanzania wataharibikiwa mambo yao kutokana na maovu wanayowafanyia waTz..!

my take:
naona hz ni hasira za kupigwa mabomu pale kanisani kwake...!

Huyu naye ni wa kuzungumza? Hakuna aliye na akili timamu aneweza kuacha kumpuuza huyu mtu asiye na heshima ambaye ni kielelzo cha mwisho wa dunia kutoka na unabii wake wa uongo. Yaliyoitokea Kanu yalifahamika muda mrefu na kwa wenye kumbukumbu watajua kwamba Kanu ilikuwa ife toka 1992 isingekuwa tamaa na ubinafsi wa viongozi wa upinzani wakati ule. Yeye ni nani hadi aitabirie Kanu, kwa uwezo upi? Atabiri basi mshindi wa uchaguzi wa Marekani kama yeye ni hodari wa kubashiri.

Hivi Mwingira huyu ni huyu huyu anayewaibia watu wake zao na kugeuza hiyo nyumba yake ya ibada kuwa chumba cha ngono? Hivi ni huyu huyu ambaye analalamikiwa kwa kufanya utapeli na kuiibia Azania Bank kwa kukopa na hatimaye kurubuni wafanyakazi wa benki hiyo na kuiba hati alizoweka dhamana? Ni huyu ambaye waukini wake wamekuwa wakimkibia kila siku kutokana na utapeli? Ni huyu mwingira ambaye benki yake inakabiliwa na matatizo mengi ya ukwasi kutokana na kujichotea na kuwaibia wana hisa wenzie? Ana mr
Moral authority gani huyu mwizi?
 
tusubiri kama anayosema yanatoka kwa Mungu basi yatatokea ila kama anaongea tu kutokana na utashi wa kibidamu basi hakitatokea chochote
 
Hata kakobe aliwahi kutab iri mzee kiraracha atakuwa raisi lakioni wappi?

Ndio nakumbuka katika kumjibu walimfananisha Mch. Kakobe na yule Mch. Kibwetere wa Uganda aliyewachoma waumini wake akiwadanganya kuwa watakwenda mbinguni.
 
Amesema pia kuwa ,CDM itashika dola na Zitto kuwa rais, makamu ni Slaa na pm ni Shibuda, Tanzania itakua developed country na itatoa misaada kwa nchi zote africa, cement itakua bure na sukari itakua sh 100 kwa kilo, kila mtanzania atakuwa na kipato cha milion 7. Sugu atatoa album na 50 cent na nassari atamuoa jenifer lopez.

duh...! huyo atakuwa Mwingira mwingine, Mtume na Nabii Josephat Mwingira hajatamka hayo uliyoandika wewe....!!
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom