Mwingira atangaza mwisho wa CCM 2015

Mwingira atangaza mwisho wa CCM 2015

Huyu Mwingira ameshaonesha kwa matendo yake kuwa ni NABII WA UONGO. Mtu mwenye kiburi, roho mbaya na tamaa ya mali hawezi kuwa Nabii wa kweli.

labda ni siku za mwisho maana maandiko yanena kuwa siku za mwisho zikikaribia watainuka manabii wa uwongo watakuwa na uwezo mkubwa hata wa kushusha moto toka juu labda ni aina hii ya Mwingira!take care!
 
Huyu jamaa, huyu mwingira huyu, bado mnamwamini na kashfa yake ile na mke wa wakili mmoja maarufu Dar? Labda kama ni Mwingira mwingine.

Kipindi Live TRENET: Mtume na Nabii Josephat Mwingira katika mahubiri yake ameeleza kuwa yeye kama mtumishi wa Mungu anatangaza kuwa walioko madarakani mafisadi na wapiga mabomu mwisho wao ni 2015 kama alivyoitabiria KANU ya Kenya...!! ametoa mifano kadhaa ya Biblia kuhusu Shedrack, Meshack na Abednego waliotupiwa kwenye moto lakini hawakuungua. ameeleza kwa ujasiri sana kuwa watawala wa Tanzania wataharibikiwa mambo yao kutokana na maovu wanayowafanyia waTz..!

my take:
naona hz ni hasira za kupigwa mabomu pale kanisani kwake...!
 
Huyu aliichangia CCM milioni 10 kwenye ile fundrising yao 2010!.

Huyu kwa upande mmoja ni mtume na nabii wa ukweli kabisa kwa uwezo wa kutoa mapepo kwa jina la Bwana na mahubiri yenye mashiko!.

Ila pia kwa upande mwingine nae ni binadamu tuu kama sisi binadamu wengine na anaweza kuanguka kwenye dhambi, akatubu na kusimama tena kama kile kisa cha kumbariki yule mke wa advocate, baraka zikakolea mpaka mke akamshauri mmewe wamkatie pande la kiwanja chao pale Mbezi Beach, na mume akakubali, kama shukrani za mibaraka kwa mkewe, kiwanja akamegewa na kuporomosha mjengo wa bilioni 2!. Baada ya mjengo kukamilika, siri ya baraka za mke zilikuwa zikifanyika vipi ikavuja, mke akakiri na kutubu, mtume na nabii akakiri na kutubu kwa mkewe na Mungu, wote wakasameheana, ila mwenye kiwanja sasa ameghairi kuendelea kummegea kiwanja chake mtume na nabii ili hali kina mjengo wa bilioni 2!, mume amemtaka nabii kuuondoa mjengo wake, sasa kesi ipo mahakamani!.

Duh!....

mkuu Pasco,
Ama kweli mjini kuna mambo....
 
Last edited by a moderator:
Huyu Mwingira ameshaonesha kwa matendo yake kuwa ni NABII WA UONGO. Mtu mwenye kiburi, roho mbaya na tamaa ya mali hawezi kuwa Nabii wa kweli.
malizia na UZINZI hasa wake za watu bora angejukua vibinti viumini vyake, Kakobe mara ngapi alishasema MREMA atashinda uchaguzi leo yuko wapi? na waumini nao wanashangilia maana hawaruhusiwi kubisha
wenzao ni hapo hapo kiongozi anashushwa kwa mijeledi km unaleta longolongo au kelebu hata km ulishawahi kuwa mkuu wa nchi
 
Kipindi Live TRENET: Mtume na Nabii Josephat Mwingira katika mahubiri yake ameeleza kuwa yeye kama mtumishi wa Mungu anatangaza kuwa walioko madarakani mafisadi na wapiga mabomu mwisho wao ni 2015 kama alivyoitabiria KANU ya Kenya...!! ametoa mifano kadhaa ya Biblia kuhusu Shedrack, Meshack na Abednego waliotupiwa kwenye moto lakini hawakuungua. ameeleza kwa ujasiri sana kuwa watawala wa Tanzania wataharibikiwa mambo yao kutokana na maovu wanayowafanyia waTz..!

my take:
naona hz ni hasira za kupigwa mabomu pale kanisani kwake...!
Mungu ni wa si wa Mwingira pekee.
 
au ni coincidence tu?
 
Mwingira amechanganyikiwa kanisa lake limemshinda watu hawaponi tena na waumini wanamkimbia baada ya kugundua utaPELI wake!
 
Hakuna unabii hapo. Ameona hali ilivyo na ku-take advantage.
 
Huyu aliichangia CCM milioni 10 kwenye ile fundrising yao 2010!.

Huyu kwa upande mmoja ni mtume na nabii wa ukweli kabisa kwa uwezo wa kutoa mapepo kwa jina la Bwana na mahubiri yenye mashiko!.

Ila pia kwa upande mwingine nae ni binadamu tuu kama sisi binadamu wengine na anaweza kuanguka kwenye dhambi, akatubu na kusimama tena kama kile kisa cha kumbariki yule mke wa advocate, baraka zikakolea mpaka mke akamshauri mmewe wamkatie pande la kiwanja chao pale Mbezi Beach, na mume akakubali, kama shukrani za mibaraka kwa mkewe, kiwanja akamegewa na kuporomosha mjengo wa bilioni 2!. Baada ya mjengo kukamilika, siri ya baraka za mke zilikuwa zikifanyika vipi ikavuja, mke akakiri na kutubu, mtume na nabii akakiri na kutubu kwa mkewe na Mungu, wote wakasameheana, ila mwenye kiwanja sasa ameghairi kuendelea kummegea kiwanja chake mtume na nabii ili hali kina mjengo wa bilioni 2!, mume amemtaka nabii kuuondoa mjengo wake, sasa kesi ipo mahakamani!.

ama kweli ukishangaa ya Musa utayaona ya firauni....inaonekana Nabii aliutamani uwanja wa jamaa,jinsi ya kuupata akaona isiwe tabu bora kudili na mkewe kwa njia ya mibaraka... Inatia hasira sana huyu nabii a.k.a tapeli alaaniwe.!!
 
Huyu Mwingira ameshaonesha kwa matendo yake kuwa ni NABII WA UONGO. Mtu mwenye kiburi, roho mbaya na tamaa ya mali hawezi kuwa Nabii wa kweli.
Ni kweli Mkuu, mbaya zaidi jambo hili haliitaji UNABII maana ni hali ya mabadiliko inayokuja kutokana na uhalisia wa mambo. Kitu ambacho kinaonyesha dalili zote kutokea hakiihitaji unabii wala utabiri, ni kujipanga tu na kuamua.
 
Kwahiyo kuna maana gani kusema ameokoka kama anaweza kuanguka kwenye dhambi?
Huyu aliichangia CCM milioni 10 kwenye ile fundrising yao 2010!.

Huyu kwa upande mmoja ni mtume na nabii wa ukweli kabisa kwa uwezo wa kutoa mapepo kwa jina la Bwana na mahubiri yenye mashiko!.

Ila pia kwa upande mwingine nae ni binadamu tuu kama sisi binadamu wengine na anaweza kuanguka kwenye dhambi, akatubu na kusimama tena kama kile kisa cha kumbariki yule mke wa advocate, baraka zikakolea mpaka mke akamshauri mmewe wamkatie pande la kiwanja chao pale Mbezi Beach, na mume akakubali, kama shukrani za mibaraka kwa mkewe, kiwanja akamegewa na kuporomosha mjengo wa bilioni 2!. Baada ya mjengo kukamilika, siri ya baraka za mke zilikuwa zikifanyika vipi ikavuja, mke akakiri na kutubu, mtume na nabii akakiri na kutubu kwa mkewe na Mungu, wote wakasameheana, ila mwenye kiwanja sasa ameghairi kuendelea kummegea kiwanja chake mtume na nabii ili hali kina mjengo wa bilioni 2!, mume amemtaka nabii kuuondoa mjengo wake, sasa kesi ipo mahakamani!.
 
huyu nabii si ana kesi kuhusu kurusha kiwanja na kuwa na uhusiano usiofaa na mke wa muumini wa kanisa lake? kwa kweli nchi yetu tumejaliwa kuwa na vipaji kutoka kwa wahuni na kuweza kushawishi watanzania kwa kupitia neno la mungu, ni muda muafaka sasa serikali kuwadhibiti hawa wahuni
 
Mwingira amechanganyikiwa kanisa lake limemshinda watu hawaponi tena na waumini wanamkimbia baada ya kugundua utaPELI wake!

Mkuu mwisho wa usanii wake unakaribia ndio maana anataka kutumia siasa kama mtaji wa kuvutia waumini hasa baada ya kugundua kuwa kanisa lake limejaa wazee
 
Kipindi Live TRENET: Mtume na Nabii Josephat Mwingira katika mahubiri yake ameeleza kuwa yeye kama mtumishi wa Mungu anatangaza kuwa walioko madarakani mafisadi na wapiga mabomu mwisho wao ni 2015 kama alivyoitabiria KANU ya Kenya...!! ametoa mifano kadhaa ya Biblia kuhusu Shedrack, Meshack na Abednego waliotupiwa kwenye moto lakini hawakuungua. ameeleza kwa ujasiri sana kuwa watawala wa Tanzania wataharibikiwa mambo yao kutokana na maovu wanayowafanyia waTz..!

my take:
naona hz ni hasira za kupigwa mabomu pale kanisani kwake...!

Kwanini utabiri huu aukuanza mapema kabla ya kuingia kwenye migogoro na serikali ya magamba! Utabiri huu ni kama kumtabiria mgonjwa aliyeko kwenye koma kifo wakati all the signs zimeshaonyesha haponi
 
LAkini katika hilo uongo uko wapi?
CCM wameanza zamani tu kujiandaa kuwa chama cha upinzani.
Mkuu inawezekana amesema ukweli lakini tatizo amesemea kanisani, wengi watazani anawapigia kampeni chama fulani.
 
Back
Top Bottom