Mwili wa Ismail Omar hautafika NMC?

Status
Not open for further replies.
samahani braza sikuwa namaana hiyo ila najua kwa vyovyote msg sent,delivered and accepted;;au sio mkuu????

siwezi kkckliza wewe, huwez kuona signature yngu ss hv coz napost via mobile, kesho nikiwa cafe-unayo tu!
Labda WADAU wengine mnisaidie,kna shda gan na signature yngu, maana huyu mtu ananifuatilia km kivuli.
 
Hata kama hautaletwa picha ya marehemu iwekwe pale uanjani na kapu la rambirambi pembeni yake ili kumuaga shujaa wa wapenda haki.
 
WASHINDWE WASHINDWE WASHINDWE na mbinu zao za kishetani za hata ku corrupt hata wafu, hakika wakifanikiwa nitakibadilisha jina chama hiki na kukiita CHAMA CHA MIZIMU. what i belive CHADEMA kesho watasonga na program yao na kuhakikisha wanawaaga mashujaa wao wote bila zengwe lolote. ALUTA CONTINUAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Nangoja kushuhudia maajabu ya dunia yaani watu walio kuulia ndugu yako wakununue kwa fedha na kuupa kisogo utu wako.Kazi kwelikweli
 
kweli mkuu nakuunga mkono,nimefurahi sana kwa kuondoa signature yako kwa kweli umenisikiliza hongera kwa busara japo kidogo.

dah...mkuu....vipi.... kuna kitu unamdai PJ nini?....mbona umeamua kuwa sambamba sana na PJ leo.....kuna misignature kibao humu huioni......au umetumwa nini jomba?....sema usikike
 
Achana nae huyo hana jipya. Ni sawa inzi anayejaribu treni kupita!!
siwezi kkckliza wewe, huwez kuona signature yngu ss hv coz napost via mobile, kesho nikiwa cafe-unayo tu!
Labda WADAU wengine mnisaidie,kna shda gan na signature yngu, maana huyu mtu ananifuatilia km kivuli.
 
CCM want to play the game of if the facts don't fit the theory, change the facts.

...and not the theory!!.ha ha haa!
Umenifurahisha san mkuu na hiyo falsafa.
Actually hiyo ndo wameitumia ktk chaguzi nyingi za october, na ndiyo sera kuu ya chama.Wakitamka neno leo wakaona linapwaya, kesho watasema "Yalikuwa Maoni Binafsi".
 
Muislam anatakiwa kuzikwa kwa taratibu a kiislam. Marufuku kuuaga mwili wa muislamu. Kinyume na hapo ndugu zake watawajibika mbele ya mungu.
 
na hisi kama ni mwili wa Ismail kuto fika NMC itakua kwa sababu ya kua waislamu hawalazi maiti... Ukifa asubuhi unazikwa mchana...
 
Tuliaga mwili wa Kawawa na Dr Ally Juma! AMA hao walokuwa wameslim?
Thats true mkuu, ila hatafunuliwa kuonyeshwa itakuwa ni kupita tu kwenye jeneza lake.Hata kwa marehemu Kawawa na DR. Ali JUma ilikuwa hivyo.
 
Kwa mlioangalia tv news saa 2 usiku, Waziri wa Mambo ya Nje, amewaeleza mabalozi jinsi serikali ilivyo sosoneshwa na vifo vya Arusha na akaahidiserikali kutoa tamkona kupeleka rambirambi ikiwemo kugharimia mazishi.

RPC Arusha karuhusu kuogwa ila kakataza msiba huo usigeuzwe mkutano wa siasa wala kusifanyike maandamano.
 
Muislam anatakiwa kuzikwa kwa taratibu a kiislam. Marufuku kuuaga mwili wa muislamu. Kinyume na hapo ndugu zake watawajibika mbele ya mungu.
Mbona tulishamuaga Mzee Kawawa,Dr Makamu wa Raisi Mkapa ee bwana we vipi mbona unaongopa
 
Polisi na ccm upande mmoja na Chadema upande wa pili. Baadhi ya ndugu wa marehemu wanaoneka kufanya dili. Waliahidiwa na Chadema gharama za mazishi. Leo UWT na polisi wako bize kuwashawishi (kwa fedha) wasikubali kushirikiana na Chadema. Bado mazungumzo yanaendelea, chochote kinawezekana

Katika waliokufa hakuna anayeitwa ismail. Ni danganya toto tuu ya chadema kuwaingiza kingi waumini wa dini fulani. Ninayo majina ya wafu/rioters yote wa arusha na hakuna anayeitwa ismail.
 
na hisi kama ni mwili wa Ismail kuto fika NMC itakua kwa sababu ya kua waislamu hawalazi maiti... Ukifa asubuhi unazikwa mchana...

Walikuwa wazike j2 lakini baada ya mipango na Chadema wakaridhia kuahirisha hadi j5. Walishavuta mkwanja toka Chadema sasa wanavuta toka upande wa pili. Sijui kama mjane na watoto wa marehemu wana sauti. Watu wa gender mpo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom