Ulitaka wapige wa MATHA MLATA au wa VICKY KAMATA ? zila za HONGERA KIKWETE?
Unazijua hizo nyimbo?
Sorry Kuingilia Issue ambazo hazinihusu......
lakini tukumbuke marehemu (RIP) hakupoteza maisha akiwa anapigana vita vya dini......(wala hatujui alikuwa ni mfata dini kiasi gani)..., tunachojua alifariki akiwa kwenye maandamano na wenzake...., na WENZAKE HAO leo ndio wamejitolea kumuaga..... am I mistaken kusema kwamba I dont see any problem with that???
hatuko hapa kutafsiri Qur'an tukufu ila kwa upeo wangu wa wastani nampinga GaijinGeza ulole umeandika " Uislamu hausemi hivyo ndg!"
Geza ulole jee unaweza kutufafanulia kwa ushahidi wa aya/ hadithi uislam unasemaje kuhusiana na mazishi ya muislam ?
Hahaha hizo nyimbo sizijui mkuu 🙂
Nilifikiri kwa Waislam Swafi mziki haramu.......
sasa DUFU na KASWIDA sio MUZIKI?
MUZIKI ni nini?
Aliyewaita wasaliti amekosea sana, obvious Uamuzi ni wa familia, na anything they decide, should be accepted... hapa wahusika ni:-Did anybody say there is a problem?
Point yangu kubwa ni kuwa uamuzi Wa mwisho ni wa familia yake, na wangetaka kufanya ni suala linalohusu dini zaidi kuliko "matakwa ya wenzake", ingelikuwa sahihi vilevile na si haki kwetu kuwaita wasaliti
Aliyewaita wasaliti amekosea sana, obvious Uamuzi ni wa familia, na anything they decide, should be accepted... hapa wahusika ni:-
Wengine wote tunajumuika nao kama ndugu na watanzania wenzao katika hii hali ngumu iiyowapata....
- Ndugu
- Muhusika Mwenyewe... (maisha yake ya kila siku yatadetermine mwenendo wake....na since yaliyomkuta yalimkuta kwenye mapambano majumuiko fulani I think hata ndugu wamelipa na hili uzito)
Watu hatuko makini na uchaguzi Wa maneno yetu
Baada ya kuwaita 'wasaliti' akaja na 'bob marley anatumbuiza'
kwa faida ipi udini au?
Mkuu kitu kikifanywa kwa Fulani hakumaanishi kuwa ni sahihi
Muislam kumuombea dua mtu haoni tabu hata Kama haamini Mungu wake na ni the same kwa Mkiristo, haoni tabu kumuombea asiyemuamini Mungu anaemuamini yeye
Tatizo linakuja muislam Wa kawaida (asielazimika kiwadhifa) au mkiristo anapenda au anataka aombewe dua rasmi kupitia Mungu asiyemuamini?
Btw usichanganye tamaduni za kibedui na uislam
Btw kwa viwango vya nani Mujahidina ndio waislam bora? Some will tell you ni Waislam waliopotoka kwa kufanya uharibifu na kuuwa watu bure
hii post ilitumwa jana Mwili wa Ismail Omar ulikuwepo na umezikwa kwa heshima zoteCCM pick this person sababu ni Muislamu??? Kwahiyo watasema Maandamano yalikuwa ya Wakristo tuu?
CCM kweli wanampango wa kulifedhehesha taifa hili... Lakini Rais Mtukufu anapenda kwenda USA kuliko SAUD ARABIA
1) wamewatoa kafara innocent people kwa kuwalazimisha kuandamana ili kutimiza matakwa yao ya kisiasa
2) wanapoliticize mazishi to create the shaheeds (Martys) out of their dubious political movement.
3) tamko la mtandao wa maaskofu ambao ulijengwa months before uchaguzi mkuu.
Mkiambiwa Mbowe Mafia mnabisha. This whole thing was a Chadema set up to polarize the country for their own political reason. Nice try, wabongo sio mafwala kiiiivyo. Naona ndugu zake marehemu Ismail wamegoma mwanawe kutumiwa Kama kafara ya chadema. Safi sana.