Yuo are discussing unnecessary issues (event) miili yote imeshafika uwanjani mnabaki na aibu kwa kujifanya wajuvi wa mambo ya dini.Sidhani kama tatizo liko kwenye kuaga mwili wa marehemu.
Tatizo liko kwenye namna ya kuaga miili hiyo.
If muislam haamini kuwa Jesus ni mungu (na dini yake inachukulia kuwa hiyo ni kumshirikisha Mungu) na kuagwa kwake kutahusisha kuombewa kwa Yesu ampokee mbinguni, sidhani kama ni sahihi kwake.