Mwili wa Ismail Omar hautafika NMC?

Mwili wa Ismail Omar hautafika NMC?

Status
Not open for further replies.
Katika waliokufa hakuna anayeitwa ismail. Ni danganya toto tuu ya chadema kuwaingiza kingi waumini wa dini fulani. Ninayo majina ya wafu/rioters yote wa arusha na hakuna anayeitwa ismail.

Shwaaaaaaaini!!!!!!!!!!!
 
Katika waliokufa hakuna anayeitwa ismail. Ni danganya toto tuu ya chadema kuwaingiza kingi waumini wa dini fulani. Ninayo majina ya wafu/rioters yote wa arusha na hakuna anayeitwa ismail.
So what is your problem write your own name and bury it.
 
Katika waliokufa hakuna anayeitwa ismail. Ni danganya toto tuu ya chadema kuwaingiza kingi waumini wa dini fulani. Ninayo majina ya wafu/rioters yote wa arusha na hakuna anayeitwa ismail.
Kwa hiyo sasa hivi hata Polisi wanasaidia kutengeneta PR ya CHADEMA sio? maana hayo majina yalitolewa na Polisi ina maana unakana hata utambuzi wa ndugu zake marehemu sio? Huu udini...Mungu atuepushe! BTW akili zako ziko kinyeoni!
 
Watakaokubali hongo au kutaka kuhonga kwa ajili tu ya matumizi ya kisiasa walaaniwe!
 
Nangoja kushuhudia maajabu ya dunia yaani watu walio kuulia ndugu yako wakununue kwa fedha na kuupa kisogo utu wako.Kazi kwelikweli
Haya yalishafanywa na serikali kuwahonga wanandugu wa marehemu, kumbuka kisa cha bro. Dito na dereva wa daladala aliye uliwa kwa kupigwa risasi.
 
Waziri husika keshakiri kuwa Polisi walikurupuka....Sidhani kama Polisi wanaweza Kung'arisha sharubu zao kwa Wafiwa...watakuwa wanawachukia mbaya.......Its never a great move....
 
Katika waliokufa hakuna anayeitwa ismail. Ni danganya toto tuu ya chadema kuwaingiza kingi waumini wa dini fulani. Ninayo majina ya wafu/rioters yote wa arusha na hakuna anayeitwa ismail.

Nancy, sikuelewi mwaya. Mganga Mkuu wa mkoa wa Arusha akitangaza walikkufa ni Ismail Omar, George Waitara na Denis Michael. Mkuu wa polisi wa mkoa naye aliwataja hao. Vyombo vya habari navyo vimewataja hao. Ndugu wa marehemu nao wanasema ndugu yao marehemu anaitwa Ismail Omar.

Hebu tupe orodha yako ya marehemu waliouawa na polisi, na chanzo chake. Pengine tulidanganywa na vyanzo hivyo nilivyotaja hapo juu.
 
Muislam anatakiwa kuzikwa kwa taratibu a kiislam. Marufuku kuuaga mwili wa muislamu. Kinyume na hapo ndugu zake watawajibika mbele ya mungu.

muislamu ana haki ya kuagwa,ninachofahamu hatoonyeshwa mwili wake.
 
It is confirmed, Chadema hawataki kushiriki ufisadi katika mazishi ya Ismail Omar!

Wanandugu bado walitaka kutwanga kotekote! Inavyoonekana waliahidiwa donge nono zaidi na ccm wakishirikiana na polisi. Hivyo jana usiku wakawaarifu Chadema kwamba marehemu Ismail Omar hatashiriki mazishi ya heshima ya kitaifa NMC.

Asubuhi hii ndugu hao wa Ismail wakawafuata Chadema mbio wakiwa wamepanic, eti sasa wamekubali kushiriki! Chadema wamekataa na watatoa tamko baadaye.

Hisia ni kwamba;

1. Ama ccm walikuwa na nia ya kuwatapeli kuvuta muda hadi tukio la NMC lipite kisha wawatelekeze,

2. Au ccm wamejitoa usiku baada ya hii thread kutinga JF wakagundua kwamba hakuna siri,

3. Au aliyetumwa kukabidhi mzigo alipiga panga la nguvu wanafamilia wakaona hazitoshi kuwapooza hasira ya wananchi kutokana na kuasi kwao,

4. Au wanafamilia wamegawanyika
 
Machalii bado hawajaju kwamba mwili utakaokwenda NMC ni mmoja tu. Ngoja msafara uanze wagundue, naomba iwe salama
 
Hapo namba 3 ningependa kuuliza hivi "wananchi tuna hasira juu ya mtu kufanya atakacho na maiti yake?"
 
siasa za wakati huu zimevamiwa sana na udini kuliko wakati wowote.
 
Machalii bado hawajaju kwamba mwili utakaokwenda NMC ni mmoja tu. Ngoja msafara uanze wagundue, naomba iwe salama

Tufike pahala tuwe na kiasi na tuheshimu privacy na matakwa ya waliofiwa.

Sio wapoteze mtu wao kisha tuanze kuwamanga ni wasaliti.
 
Polisi na ccm upande mmoja na Chadema upande wa pili. Baadhi ya ndugu wa marehemu wanaoneka kufanya dili. Waliahidiwa na Chadema gharama za mazishi. Leo UWT na polisi wako bize kuwashawishi (kwa fedha) wasikubali kushirikiana na Chadema. Bado mazungumzo yanaendelea, chochote kinawezekana
1) wamewatoa kafara innocent people kwa kuwalazimisha kuandamana ili kutimiza matakwa yao ya kisiasa

2) wanapoliticize mazishi to create the shaheeds (Martys) out of their dubious political movement.

3) tamko la mtandao wa maaskofu ambao ulijengwa months before uchaguzi mkuu.

Mkiambiwa Mbowe Mafia mnabisha. This whole thing was a Chadema set up to polarize the country for their own political reason. Nice try, wabongo sio mafwala kiiiivyo. Naona ndugu zake marehemu Ismail wamegoma mwanawe kutumiwa Kama kafara ya chadema. Safi sana.
 
Tufike pahala tuwe na kiasi na tuheshimu privacy na matakwa ya waliofiwa.

Sio wapoteze mtu wao kisha tuanze kuwamanga ni wasaliti.

Uko sahihi mkuu, lakini sababu yao siyo privacy, kama umenisoma vizuri kwenye post zangu zingine katika thread hii
 
Tufike pahala tuwe na kiasi na tuheshimu privacy na matakwa ya waliofiwa.

Sio wapoteze mtu wao kisha tuanze kuwamanga ni wasaliti.
sababu ni Mlungula hamna nyingine na religious polarization inayotumika na CCM kama tiketi ya kutugawa!
 
muislamu ana haki ya kuagwa,ninachofahamu hatoonyeshwa mwili wake.
Tafadhali jamani, Kama hamfahamu taratibu za mazishi ya muislamu bora mkae kimya.
Muislamu akifa sharti afanyiwe mambo manne na sivinginevyo.
1.Kuoshwa
2.kuvikwa sanda
3.kuswaliwa
4.kuzikwa
 
1) wamewatoa kafara innocent people kwa kuwalazimisha kuandamana ili kutimiza matakwa yao ya kisiasa

2) wanapoliticize mazishi to create the shaheeds (Martys) out of their dubious political movement.

3) tamko la mtandao wa maaskofu ambao ulijengwa months before uchaguzi mkuu.

Mkiambiwa Mbowe Mafia mnabisha. This whole thing was a Chadema set up to polarize the country for their own political reason. Nice try, wabongo sio mafwala kiiiivyo. Naona ndugu zake marehemu Ismail wamegoma mwanawe kutumiwa Kama kafara ya chadema. Safi sana.

hukatazwi kuamini hivyo nakuendelea kutaka kutudumaza kwa propaganda ,ni hiari yako nadhani unaushahidi nchi nzima inajua tone la damu la wananchi wa Arusha imekuwa chachu ya kuelekea kwenye njia nyeupe ya kuzika udharimu,unyonyaji,ukandamizaji,ufujaji wa mali za umma na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na kwenye siasa za kweli za utawala bora ,uadilifu na utimilifu katika kuijenga nchi yetu,Mungu aweke pema peponi roho za marehemu hawa
 
Katika waliokufa hakuna anayeitwa ismail. Ni danganya toto tuu ya chadema kuwaingiza kingi waumini wa dini fulani. Ninayo majina ya wafu/rioters yote wa arusha na hakuna anayeitwa ismail.

Nimekuongeza katika ignore list yangu! Malaria Sugu. Unaropoka tu unapingana na Dr na RPC hadi na wazazi waliofiwa? Dah, UPUMBAVU MWINGINE BANA, FICHA UPUMBAVU WAKO!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom