mkuu msamehe bure,
huyu "popo-ma" ni mr. know it all,sisi wengine tushamzoea na kumpuuza siku hizi.porojo,fitina na majungu ya simba na yanga anajua yeye,habari za usalama wa taifa pamoja na za maafisa wake,anajua yeye.habari za paul kagame anajua yeye(kuna wakati humshabikia kagame na hujitambulisha kama mnyarwanda),habari za waandishi wa habari hasa wa magazeti ya IPP na mwananchi,anajua yeye.mgombea atakaye teuliwa kuiwakilisha CCM ktk mbio za uraisi mwaka huu,anamjua yeye(alisha wahi kuja na topic ya huyo mteuliwa wake).
yaani kila jambo anajua yeye almradi tu aonekane anajua.lakini mbaya zaidi ana dharau na hutumia lugha isiyo na staha anapo jadiliana wachangiaji wengine.alivyo "popo-ma",ameamua mpaka kujasili ID zaidi ya moja ili kuendeleza hulka yake ya u-mr. know it all.
aibu ni kwamba round hii kaingia "kimakalio makalio kwa kujifanya" anajua sana habari za JWTZ hasa unit ya commando.uzuri ni kwamba unamuabisha kama ulivyo muaibisha hapo juu kuhusu 92KJ na hiyo 94KJ yake.
CC
ANTIBIOTIQUE GENTAMYCINE Mussolin5.[/QUOTE
@Kadoda11 Bahati Mbaya
Sana Kale Kamchezo ulikokua unanifanyia Na Ambako ninakapenda Hadi Kila Mara ninakutumia PM unirudie kunifanyia Kwani Muwasho Umenizidi sijakaacha Na Sasa sijaamua Kumrudia Mwenyezi Mungu Na Kutubu
Ila Si Vibaya Sana Kama nikamtafuta Mussolin5 Aniendeleza Pale ulipoishia Kwani Hata Yeye Hapo Mwanzo Ndiye Aliyekutangulia Na Hadi naona nanogewa Mno Na Mimi Huku Kila Mara
Akinitajataja Na Simtoki Akilini Mwake. Nimemisi Na Jinsi ulivyo Hodari .