GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,027
- 126,468
Mmmmh! Jamaa unapenda Sifa ww... "MUCH KNOW" sanaaa
na wewe itafute sasa hiyo sifa mbona unabaki tu kunisifia mwanaume mwenzio? kuna nini labda unakihitaji kwangu nikupe? kale kamchezo au?
Mmmmh! Jamaa unapenda Sifa ww... "MUCH KNOW" sanaaa
ndiyo maana nakudharau kwani hata kiyahudi hujui na unajifanya mjuaji. nazungumza kiyahudi kiufasaha na nimepita huko na nakuhakikishia tu kuwa jina linavyotamkwa ni yurin na hata uandishi wake pia kiebrania ni " yurin " sasa endeleza ubishi nikuumbue zaidi " poyoyo " wewe. unatafuta sifa jamii forum kujifanya unajua masuala ya kijeshi na kiusalama wakati watu tunakusanifu tu na kukuona " mshamba " na usiyejua lolote. mlioingia humu majeshini kwa " mbeleko " na kuja tu kutafuta " vyeo " na " sifa za kuwatishia " watu mitaani mnajulikana tu. namalizia kwa kukuambia ya kuwa huna unachokijua na hayo mafunzo yako uliyopewa nadhani ni " batili " kwani una uwezo finyu sana wa kufikiri kama " kamasi " za mtoto mchanga!
mnoko au mkali tena akiwa balozi wetu nchini uganda wanafunzi waliokuwa kule walikuwa wanakoma kama wakihitaji msaada pale ubalozini.
huyu alikuwa " commando " au takataka tu? hivi kweli commando anaweza akafa kizembe namna hii tena kwa kudunguliwa? hamna kitu hapo.
Mbona unazidisha ukiazi wewe??? Yoni aka Yonathan aka Jonathan, toka lini akawa Yurin?? Hata kwenye vitabu vyao wamemwita Yoni.. Halafu usiingie kabisa kwenye fani yangu mie commando na sniper mbaya sana sana.. Hapo bongo tulikua wanne tu enzi hizo.. Unakujua Lumumba university wewe?? Unamjua Mohamed Bouhdia wewe?? Usiache tukaanza kumwaga mtama kwenye kuku.... Nani hajui kiyahudi??kwa taarifa yako tu naongea lugha 7 kiufasaha kabisa..Kiazi wewe!!
Mbona unadharau hivo mkuu!? Hivi unadhani ni kitu rahisi sana kuwa askari, then afisa, na kozi ya ukomando afu unamchukulia mdebwedo kama wewe!?
Maneno kama haya ndio yananipa ugumu kukubali kwamba JF ni jukwaa la great thinkers. Nadhani siku hizi kila mtu anaona ajiunge aje alete ubishi wa vijiweni bila hata kushughulisha ubongo wake!
Unaonekana huelewi kabisa mambo ya kijeshi na kivita au kama unaelewa basi umebobea kwenye majungu.
Sniper huwa haonekani kirahisi na saa nyingine hushtukiza na mara nyingi mtu wa kwanza kulengwa na sniper hupatwa na risasi kabla ya wenzake kujibu mashambulizi.
Sihitaji kukuelimisha zaidi ila kajisomee uweze kujua hata the USA hupoteza makomando wangapi kwa mwaka.
kawatishe " wajinga wajinga " wenzio ila mimi ulipoamkia leo mwenzako nimelala juzi. huna lolote na huu mkwara wako " mbuzi " watishie members wengine humu ili wakuogope lakini siyo kwa " kombania a " mimi. unaleta stori za mtaani humu jf! kwahiyo ukitutajia wewe " commando " ndiyo tufanyeje? wewe si " poyoyo " tu hapa mjini? au unadhani kutuwekea avatar ya " mossad " ndiyo utaogopwa kwa hilo? kumbe sasa nimegundua ndiyo maana " mnadunguliwa " hovyo kwani mna " sifa " na hamna " maadili ". kama wewe commando kweli pasua basi hiyo " pc " au " simu " yako hiyo kwa kichwa kama kawaida yenu. mimi sipajui lumumba university bali napajua " havard university na cape town university " je unasemaje " boya " wewe? tena bora hata angeachwa marehemu mlima na " ungedunguliwa " wewe kwani kwa " upuuzi " wako huu naona marehemu was better than you kiueledi na hata kikazi.
commando wa kubenda " nondo " na kuvunja " vitofa " na " mbao " taifa? ukomandoo unaofanyika tanzania sasa wenzetu waliachana nao karne ya 18 sisi bado " tunatiririka " nao tu. kama wao commando kweli mbona hawatii maguu " somalia " kwenda kulinda amani? sasa huko somalia ndiyo kuna " makomandoo " wa kweli kudadadeki.
nasikia " aibu " sana kukudharau mtu mzima kama wewe kwa huu " utumbo " wako wa kihoja ulioutoa hapa. kamwe usijifananishe wewe na wamarekani na hiyo comparison yako inaonyesha ni jinsi gani tulivyo na baadhi ya " wanajeshi popompo " kama wewe. hivi mpaka leo kumbe bado jeshi letu lina " recruit " watu " lumpen " wa dizaini yako? usinifafanishie tanzania na jeshi la marekani bali nataka unipe mfanano wa labda jeshi la tanzania na rwanda au uganda au kenya achilia mbali la south africa ambalo hatulifikii kwa lolote! tulia jipange upya kihoja au zungumza na " wajeda " wenzako hapo mjadiliane halafu uje / mje mjibizane na hiki " kichwa " kwani peke yako naona " nitakuonea " tu.
usifananishe kufa kwa yurin netanyahu ( muisrael ) na huyu mlima kilimanjaro wenu. utamfananishaje myahudi na mnyamwezi? yurin kafa kishujaa baada ya kuwaokoa wale hostages pale uwanjani je huyu mlima kilimanjaro wenu kama baada ya kutaka kufanya nini? usikute alikuwa anataka tu kuiba dhahabu au almasi za " wakongo " watu wakamaliza shughuli. commando anauwawa kizembe namna hii? sijapata kuona. halafu mwambie na huyo " poyoyo " mwenzio kuwa kikosi cha commando siyo 92kj bali ni 94kj hicho cha 92kj labda ndiyo hicho cha wakongo kilichomdungua mlima kilimanjaro wenu. nadhani huyo " sniper " ndiyo angefaa sasa awe " commando ".
mkuu msamehe bure,94 KJ itakua unit ipo kwa babaako
U hav no respect for the deceased, no remorse to family members and total disrespect to other JF members,,seems like you know everythng,
U must be mentally retarded
afu for the record, marehemu alikua mkufunzi 92KJ
kuna komando chizi pale mwanza anaitwa malima mbona anatoa siri za jeshi na sioni hatua zozote kuchukuliwa
kawatishe " wajinga wajinga " wenzio ila mimi ulipoamkia leo mwenzako nimelala juzi. huna lolote na huu mkwara wako " mbuzi " watishie members wengine humu ili wakuogope lakini siyo kwa " kombania a " mimi. unaleta stori za mtaani humu jf! kwahiyo ukitutajia wewe " commando " ndiyo tufanyeje? wewe si " poyoyo " tu hapa mjini? au unadhani kutuwekea avatar ya " mossad " ndiyo utaogopwa kwa hilo? kumbe sasa nimegundua ndiyo maana " mnadunguliwa " hovyo kwani mna " sifa " na hamna " maadili ". kama wewe commando kweli pasua basi hiyo " pc " au " simu " yako hiyo kwa kichwa kama kawaida yenu. mimi sipajui lumumba university bali napajua " havard university na cape town university " je unasemaje " boya " wewe? tena bora hata angeachwa marehemu mlima na " ungedunguliwa " wewe kwani kwa " upuuzi " wako huu naona marehemu was better than you kiueledi na hata kikazi.
kinachosikitisha zaidi, kwa umri wake na taaluma ya kijeshi aliyokua nayo nchi ingemtumia kwa muda mrefu sana na kwa manufaa makubwa ya nchi kwenye ulinzi na usalama, lakini ndo hivyo, kwenye vita vifo haviepukiki