Mwili wa commando Lt. Mlima kuwasili leo

Mwili wa commando Lt. Mlima kuwasili leo

large_blah_smiley_mousepad-r09ece82d958749469b5089e2e6ae51c4_x74vi_8byvr_324.jpg

smiley_finger_have_a_nice_day_wall_clock.jpg

Ndo dawa yao hawa teh teh teh. Ukibishana na mjinga atakushusha kwenye level yake na kuku beat kwa experience ya level yake
 
kati ya hao uliowataja yupi anaendelea kuishi na yupi kafa? unadhani kagame anakufa kizembe zembe hivyo kama kuku? halafu usiendelee kupotosha umma humu kagame hajasomea millitary academy monduli na monduli haina hadhi ya kumfundisha kagame ila monduli nijuavyo ina hadhi tu ya kuwafundisha maaskari wa " comoro ", " Seychelles " na " madagascar " na hao wanajeshi wa rwanda mnaowaona huko monduli wako kwa kazi maalum na wanawasanifu tu kwani mafunzo waliyonayo kamanda wenu mwakibolwa anayajua fika hadi " mkapunyuliwa " drc huku huyo " mountain " wenu " akadunguliwa ".

Aisee! Nadhani iko haja ya jf kuanzisha jukwaa maalum ambapo sharti member anapaswa kuwa verified tujuane masuala ya umri etc.

Dogo janja hebu ingia hata wikipedia basi japo usome habari za akina Museveni, Rwigyema, Kagame na NRA yao miaka ya 80's labda utaelewa kidogo nilichokuwa nazungumza!Sijui unafahamu PK utaalamu wake mkubwa uliomfanya awe na strategies nzuri kijeshi ni nini na aliupata wapi?!Sijui unaelewa hao akina Rwigyema na Museveni, baba zake Kagame kijeshi, walitengenezwa wapi?!kalagabaho!
 
Kazi sn! Watu hawawajua ma Sniper! Wakamuulize JF Kennedy!
 
Gentamycine sio mtanzania na ana ID nyingi sana humu. Huyu jamaa ni agent wa huyo rais anaemsifia. Tunawajua vizuri wengi wapo maeneo ya Tegeta, boko na bunju. Sitaki kuongea sana ila huyu jamaa msibishane nae yupo kazini watu tunamjua nje ndani

mkuu ondoa shaka,
round hii hilo "popo-ma" limeingia kimasaburi masabari choo cha kiumeni,kakutana na trolling master,si mwingine ni mimi kadoda.japo linajitutumua kwa kurusha ngumi nyingi hewani kwa kupwayuka hovyo hovyo,hapa hata linijie na ID 10,lazima nilitoe manundu.najua sasa hivi "limelala",ila kesho likiamka tu,lazima "litanijia" na comment zake za "kipopo-ma".nami nimejizatiti kisawa sawa kuli-popoma.
pamoja mkuu.😛oa
 
Hapo ulipotaja 94 kj badala ya 92 kj ndipo uliposhindwa kuficha ujinga wako! GENTAMYCINE
 
Last edited by a moderator:
Gentamycine sio mtanzania na ana ID nyingi sana humu. Huyu jamaa ni agent wa huyo rais anaemsifia. Tunawajua vizuri wengi wapo maeneo ya Tegeta, boko na bunju. Sitaki kuongea sana ila huyu jamaa msibishane nae yupo kazini watu tunamjua nje ndani

na kwa kuongezea tu ni kwamba huyu jamaa amekuwa akitumika sana na museveni kwa kazi hizi hizi za kijasusi na alifanya kazi kubwa sana wakati wa vile vita vya akina kabila kule nchini congo na ni mnyarwanda japo yeye anajifanya ni raia wa tanzania kutoka mkoa wa mara na sifa yake kubwa ni kujua kucheza na akili za watu kwa kuwahadaa na kuwahamisheni kutoka eneo fulani na kuwapelekeni anapotaka yeye. ni mmoja wa wale wanyarwanda waitwao kadogoo waliopiganishwa na akina kagame na museveni kumsaidia hayati laurent desire kabila na kutokana na kukaa sana na museveni sasa kagame kamchukua na yupo tanzania kwa kazi maalum japo mara kadhaa huwa pia nchini rwanda na kuna watu amewapenyeza huko ktk taasisi nyeti huku akitumia ushawishi wake na uwezo wake mkubwa wa kupata taarifa zao na kumpelekea bosi wake kagame. mkuu Edobeny upo sahihi huyu jamaa GENTAMYCINE ni jasusi mkuu wa kagame hapa east africa ila kuna watu pia sasa wako kazini kupambana nae japo tukiri kuwa na yeye si mwepesi kama mnavyodhani kwani yupo vizuri sana.
 
Last edited by a moderator:
M23 tutaendelea kuwachapa tu huku PK akipiga kelele km Chura dhidi ya ng'ombe!
 
Mbona unazidisha ukiazi wewe??? Yoni aka Yonathan aka Jonathan, toka lini akawa Yurin?? Hata kwenye vitabu vyao wamemwita Yoni.. Halafu usiingie kabisa kwenye fani yangu mie commando na sniper mbaya sana sana.. Hapo bongo tulikua wanne tu enzi hizo.. Unakujua Lumumba university wewe?? Unamjua Mohamed Bouhdia wewe?? Usiache tukaanza kumwaga mtama kwenye kuku.... Nani hajui kiyahudi??kwa taarifa yako tu naongea lugha 7 kiufasaha kabisa..Kiazi wewe!!
duh!mohamed boudia, wadi hadad, abu nidal.....
 
na kwa kuongezea tu ni kwamba huyu jamaa amekuwa akitumika sana na museveni kwa kazi hizi hizi za kijasusi na alifanya kazi kubwa sana wakati wa vile vita vya akina kabila kule nchini congo na ni mnyarwanda japo yeye anajifanya ni raia wa tanzania kutoka mkoa wa mara na sifa yake kubwa ni kujua kucheza na akili za watu kwa kuwahadaa na kuwahamisheni kutoka eneo fulani na kuwapelekeni anapotaka yeye. ni mmoja wa wale wanyarwanda waitwao kadogoo waliopiganishwa na akina kagame na museveni kumsaidia hayati laurent desire kabila na kutokana na kukaa sana na museveni sasa kagame kamchukua na yupo tanzania kwa kazi maalum japo mara kadhaa huwa pia nchini rwanda na kuna watu amewapenyeza huko ktk taasisi nyeti huku akitumia ushawishi wake na uwezo wake mkubwa wa kupata taarifa zao na kumpelekea bosi wake kagame. mkuu Edobeny upo sahihi huyu jamaa GENTAMYCINE ni jasusi mkuu wa kagame hapa east africa ila kuna watu pia sasa wako kazini kupambana nae japo tukiri kuwa na yeye si mwepesi kama mnavyodhani kwani yupo vizuri sana.

Huyu Ni kitengo cha propaganda tu wala si jasusi! Jasusi atafanya mambo ya hovyo namna hii ktk mitandao? Anatafuta nini mpk afanye mambo ya hovyo? Huyu kz Yake ni kueneza propaganda mbovu kusiliba tu! Majasusi hufanya kz zao kimya na kwa ufasaha Zaidi. Na huyu hayuko Tz yuko huko kwao ndiko anakoposti huu uchafu! Mnampa masifa eti jasusi wakati huyu Ni mganga njaa tu kitengo cha propaganda? Wakenya pia wanao watu wao humu, huyu yeye anatumika na Rwada tu! Uganda sio sn!
 
Last edited by a moderator:
usifananishe kufa kwa yurin netanyahu ( muisrael ) na huyu mlima kilimanjaro wenu. utamfananishaje myahudi na mnyamwezi? yurin kafa kishujaa baada ya kuwaokoa wale hostages pale uwanjani je huyu mlima kilimanjaro wenu kama baada ya kutaka kufanya nini? usikute alikuwa anataka tu kuiba dhahabu au almasi za " wakongo " watu wakamaliza shughuli. commando anauwawa kizembe namna hii? sijapata kuona. halafu mwambie na huyo " poyoyo " mwenzio kuwa kikosi cha commando siyo 92kj bali ni 94kj hicho cha 92kj labda ndiyo hicho cha wakongo kilichomdungua mlima kilimanjaro wenu. nadhani huyo " sniper " ndiyo angefaa sasa awe " commando ".

Yaani hapa ulivyomkosoa mwenzako utadhani unajua kumbe mbulula
 
Huyu Ni kitengo cha propaganda tu wala si jasusi! Jasusi atafanya mambo ya hovyo namna hii ktk mitandao? Anatafuta nini mpk afanye mambo ya hovyo? Huyu kz Yake ni kueneza propaganda mbovu kusiliba tu! Majasusi hufanya kz zao kimya na kwa ufasaha Zaidi. Na huyu hayuko Tz yuko huko kwao ndiko anakoposti huu uchafu! Mnampa masifa eti jasusi wakati huyu Ni mganga njaa tu kitengo cha propaganda? Wakenya pia wanao watu wao humu, huyu yeye anatumika na Rwada tu! Uganda sio sn!

hapana mkuu kwa taarifa zetu tulizonazo huyu jamaa kwa sasa yupo hapa tanzania na yupo dodoma kwa sasa akifanya ujasusi wake kwa kushirikiana na mwandishi mmoja wa habari wa hapa tanzania ambaye yupo shirika kubwa tu la habari nchini uingereza mwenye asili ya kwao nchini rwanda. kikubwa anachokifanya sasa ni kutaka tu kujua ccm inampitisha nani kisha afanye ushawishi kwa huyo kiongozi kwa maslahi ya rwanda. na kibaya zaidi jamaa ana access karibia na vyombo vyote vya habari nchini tanzania na bahati mbaya hata wao hawajamshtukia na sisi anayetusaidia kuzidi kupambana nae ni dada mmoja mtanzania ambaye anamjua kwani inasemekana kumbe amezaliwa na kukulia hapa hapa kwetu tanzania na kusome shule kuanzia ya chekechekea, msingi, upili kabla ya kupotea nchini kwa zaidi ya miaka kama 5 hivi ambapo inasemekana alikwenda kozi tofauti tofauti na aliporudi pia akasomea chuo kikuu kimoja hapa tanzania mwanza ambapo napo pia na kwa sasa kwa mujibu wa huyu dada ni kwamba anasoma masters yake hapa hapa jijini dar ktk chuo kikuu ambacho bado huyu dada hajatutajia bado na huwa ana mtindo wa kusoma vyuo kisha akikaribia tu kumaliza anafanya kosa au kujifelisha kwa makusudi ili aendelee kuwepo na kuna uwezekano mkubwa hata hata ktk hicho chuo kikuu asimalize mwaka huu ili apime upepo kwa kiongozi mpya wa tanzania ili wanyarwanda waweze kupandikiza watu wao hapa tanzania kwani inasemekana ameweza hata kuwapandikiza wanyarwanda hapa kwa miaka kadhaa ili awashirikishe ktk harakati za siasa na wengi wawe madiwani na wabunge ili dhamira yao ile ya tutsi empire ambayo inaratibiwa na rais museveni itimie. na huyu dada anayetuambia sasa yupo idarani ambapo aliwahi kukaa nae ikulu ya nakasero nchini uganda kwa miaka 4 pamoja na huyu rais wa sasa wa drc joseph kabila na dada zake akina cecilia na jane na kabila mtoto rais anamjua huyu jamaa vilivyo. bado tunaendelea kumfuatilia kupitia huyu dada japo na yeye anasema anahofia mno kwani jamaa ni zaidi ya mafia ktk missions zake.
 
Back
Top Bottom