Mwili wa commando Lt. Mlima kuwasili leo

Mwili wa commando Lt. Mlima kuwasili leo

katika maelezo yako " yooooooooooooooote " hapo ulipomtaja tu mwanamume wa east africa na africa kama si dunia " kagame " umenikosha na hayo maelezo yako mengine yote naona ni " pointless " tupu!

Heshima yako mkuu! Sikutegemea comments za sampuli hii toka kwa ID hii..unaua bendi!
 
Heshima yako mkuu! Sikutegemea comments za sampuli hii toka kwa ID hii..unaua bendi!

kwani id hii unaijua mkuu? halafu wewe usiku wote huu saa 9 yote hii unachoacha kulala ni nini? " wazee wa kazi " utawajua tu. hebu lala bhana! au leo umekesha hapo baa mpya " hipro " ?
 
kwangu mimi huyo " sniper " ndiyo anastahili kuitwa " commando ". nijuavyo mimi commando ni zaidi hata ya sniper kwa mbinu zote au medani zote za kivita na kimapigano je inakuwaje wewe " unadunguliwa " tu kihasara hasara? na ndiyo maana hata fidel castro huko cuba alikuwa mkiwa ktk " pass out " ya kimafunzo ya kijeshi akikuona umekaa kizembe zembe na kihasara hasara anakupiga tu risasi ya kweli " ufe " kwani alikuwa anajua kuwa utaenda kuwatia aibu " wacuba " ambao kwa kiasi kikubwa ndiyo mama au watu mahiri duniani kwa mafunzo ya " kikomandoo " hapa duniani na hili halina na nahisi hata huyo " mlima kilimanjaro " wenu hakupitia cuba kimafunzo labda alifanyia mafunzo yake " shelisheli ".

Msaada tafadhali:

Tofauti Kati ya sniper na commandoo
 
Komandoo wanadai anapotea kama zeruzeru au na yeye wameanza kuzikwa??
 
japo imeniuma kwa yeye kufa lakini komando kuuawa na sniper napata mashaka. ila kwa nchi yetu kama tuna ma Dr. na Prof. feki si ajabu kuwa na Commando wa kuchonga kama komando kipensi wa deadly prey.

akili ndogo ndio maana umegraduate chuo kikuu huna kazi
 
Wakuu mbona mnakuwa wachoyo hivi?

Wekeni hata passport yake nimpigie kijana wetu salute basi.

Return If Possible (R I P)
 
"Kifo ni Zawadi ya mwanadamu " kama huajawahi hata kushika gobole utaandika kwa dharau zote. Front line bullets wkat mwngne zaja kama mvua, ushawahi kukwepa matone ya mvua? Unapozongumzia trained snippers hizo ni level nyingine. Tunapiga risasi ikiwa imepimwa in mm, missing the target is crime. One short one kill, I like the principle. Mbaya zaid ukute snipper nae was the Commando ,no miss hapo. Risasi ya trained snipper haichagui commando na normal soldier, any will be at risk when targeted . Those M 23 were the mix katika ya highly trained and ranked Rwandan solders and normal ones. Winning that war wasn't easy but we did and will do at any cost. R.I.P our comred.
 
"Missing the target is crime "
Imekaa njema ila mbaya kwa adui kama walivyotufanyia

P
I
P
Kamanda
 
Kwani sisi huko Kongo tuna masilahi gani mpaka tunapoteza commando katika ardhi ambayo masilahi yake hayako bayana. Nadhani ifike mahali mambo ya ngoswe tumuachie ngoswe mwenyewe.

Ase kichwa cheupe mkuu tafakari taratibu tu utaelewa mkuu wangu
 
kwangu mimi huyo " sniper " ndiyo anastahili kuitwa " commando ". nijuavyo mimi commando ni zaidi hata ya sniper kwa mbinu zote au medani zote za kivita na kimapigano je inakuwaje wewe " unadunguliwa " tu kihasara hasara? na ndiyo maana hata fidel castro huko cuba alikuwa mkiwa ktk " pass out " ya kimafunzo ya kijeshi akikuona umekaa kizembe zembe na kihasara hasara anakupiga tu risasi ya kweli " ufe " kwani alikuwa anajua kuwa utaenda kuwatia aibu " wacuba " ambao kwa kiasi kikubwa ndiyo mama au watu mahiri duniani kwa mafunzo ya " kikomandoo " hapa duniani na hili halina na nahisi hata huyo " mlima kilimanjaro " wenu hakupitia cuba kimafunzo labda alifanyia mafunzo yake " shelisheli ".
Hujui hata unachoongea
 
usifananishe kufa kwa yurin netanyahu ( muisrael ) na huyu mlima kilimanjaro wenu. utamfananishaje myahudi na mnyamwezi? yurin kafa kishujaa baada ya kuwaokoa wale hostages pale uwanjani je huyu mlima kilimanjaro wenu kama baada ya kutaka kufanya nini? usikute alikuwa anataka tu kuiba dhahabu au almasi za " wakongo " watu wakamaliza shughuli. commando anauwawa kizembe namna hii? sijapata kuona. halafu mwambie na huyo " poyoyo " mwenzio kuwa kikosi cha commando siyo 92kj bali ni 94kj hicho cha 92kj labda ndiyo hicho cha wakongo kilichomdungua mlima kilimanjaro wenu. nadhani huyo " sniper " ndiyo angefaa sasa awe " commando ".

Sio Yurin hata jina humjui?? Ni Yonathan Netanyahu au "Yoni"...sio yurin kiazi wewe!!
 
Sio Yurin hata jina humjui?? Ni Yonathan Netanyahu au "Yoni"...sio yurin kiazi wewe!!

ndiyo maana nakudharau kwani hata kiyahudi hujui na unajifanya mjuaji. nazungumza kiyahudi kiufasaha na nimepita huko na nakuhakikishia tu kuwa jina linavyotamkwa ni yurin na hata uandishi wake pia kiebrania ni " yurin " sasa endeleza ubishi nikuumbue zaidi " poyoyo " wewe. unatafuta sifa jamii forum kujifanya unajua masuala ya kijeshi na kiusalama wakati watu tunakusanifu tu na kukuona " mshamba " na usiyejua lolote. mlioingia humu majeshini kwa " mbeleko " na kuja tu kutafuta " vyeo " na " sifa za kuwatishia " watu mitaani mnajulikana tu. namalizia kwa kukuambia ya kuwa huna unachokijua na hayo mafunzo yako uliyopewa nadhani ni " batili " kwani una uwezo finyu sana wa kufikiri kama " kamasi " za mtoto mchanga!
 
Mmmmh! Jamaa unapenda Sifa ww... "MUCH KNOW" sanaaa
 
Back
Top Bottom