Ing'ang'a
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,866
- 1,284
Shida Yako Ni Nini ?Alafu ningependekeza wanaopelekwa Ngerengere sijui sengerema kupata red baret na bawa, wawe wanachukuliwa wenye sura ngumu za kazi. Huyu jamaa kumwita komando ngumu kidogo.
Shida Yako Ni Nini ?Alafu ningependekeza wanaopelekwa Ngerengere sijui sengerema kupata red baret na bawa, wawe wanachukuliwa wenye sura ngumu za kazi. Huyu jamaa kumwita komando ngumu kidogo.
No easy task in the battle fieldWangetumia maji ya Kinjeketile Ngwale.
Sio red beret, red beret is for military police, commando huvaa beret ya damu ya mzeeAlafu ningependekeza wanaopelekwa Ngerengere sijui sengerema kupata red baret na bawa, wawe wanachukuliwa wenye sura ngumu za kazi. Huyu jamaa kumwita komando ngumu kidogo.
Kwan umeandika na ukapendekeza nn Mkuu?Wewe shida yako nini??
Sasa si nimeshapendekeza, mbona unaniuliza shida yangu tena hapo juu?? Sina shida, na nafahamu kuwa dont judge a book by its cover, jamaa kimuonekano anaonekana tozi ila nina uhakika kuwa ukomando hakupewa mezani!! Lengo langu lilikuwa ni kuweka humour kidogo kwenye majonzi, RIP Commando Lt. Mlima.Kwan umeandika na ukapendekeza nn Mkuu?
Shida ilikua comment yako kujudge muonekano wa mtu na utendaji kazi wake , mpaka nilikua nshaanza kuchukia kwa kasi bado kidogo ....Sasa si nimeshapendekeza, mbona unaniuliza shida yangu tena hapo juu?? Sina shida, na nafahamu kuwa dont judge a book by its cover, jamaa kimuonekano anaonekana tozi ila nina uhakika kuwa ukomando hakupewa mezani!! Lengo langu lilikuwa ni kuweka humour kidogo kwenye majonzi, RIP Commando Lt. Mlima.
Mtanzania mwenzangu and a brother from another mother.Huyu jamaa alikiwa nani yako??
Sio red beret, red beret is for military police, commando huvaa beret ya damu ya mzee
Komando kufa vitani ni kitu cha kawaida ni kwa sababu highly trained soldiers ndo wanaolengwa sana na adui mfano wenye nyota(maafisa)Kama commando Mlima kumbuka ana nyota mbili plus kofia yake(maroon berret) ilimtambulisha yeye ni commando ndo mana yy alipigwa na wenzake wakaachwa
Ni vizuri ukajifunza ku appreciate effort za mtu kama huyu na sio kurukia kwnye mashaka yako ambyo pia siyo ya kweli kwa sababu ni mashaka
RIP LT COMMANDO MLIMA,....your country is proud of you..
Unajua ambush ni nadra kutoka alive. There is only one man I know in history who came out Alive from ambush. Hii kitu usikie
Rip comando bt please take t crias peopleMbona komando John hakufa?