Mwili wa commando Lt. Mlima kuwasili leo

Mwili wa commando Lt. Mlima kuwasili leo

Leo niliuona msafara pale Bamaga, gar lililoubeba mwili lilizima wakasubiri gar jingine..
RIP Komando.
 
Mwili wa marehemu LT.RA MLIMA utawasili Uwanja wa ndege wa kimataifa wa DAR leo jioni 1925hrs kwa ndege ya KQ 486.Mwili wa kijana wetu shujaa utapokewa kwa heshima zote kijeshi.Ikumbukwe marehemu alifariki akiwa mission ya UN alias MONUSCO tarehe 27 oct.Shujaa Mlima alikua commando aliyesomeshwa u-commando nje ya nchi na vile vile alikua mkufunzi wa makomandoo pale 92KJ.

Nchi imepoteza rasilimali muhimu na ya gharama sana katika masuala ya Ulinzi na Usalama.Marehemu alifariki papo hapo baada ya kupigwa risasi na sniper.

Vijana aliokua nao walijibu shambulizi hilo kwa nguvu kubwa na kufanikiwa kuondoka na marehemu (evacuation) na kuelekea kwenye ngome kwa usalama zaidi.mapambano yalikua makali lakini vijana
walipigana kishujaa kwa covering fire huku wakihakikisha hakuna majeruhi mwingine.
Marehemu ataagwa kesho Lugalo saa nne asubuhi, sala ya kumuombea marehemu itafanyika msikiti wa Mamulu Upanga, baada ya hapo, marehemu atazikwa makaburi ya Kisutu.
RIP, SHUJAA.UMEKUFA UKISAIDIA JIRANI YAKO AISHI KWA AMANI. U DIED WAVING TANZANIAN FLAG UP HIGH, SACRIFICING YOUR LIFE FOR OTHERS! THATS OUR JOB.RIP COMMANDO MLIMA.

Pumzka kwa amani LUteni Mlima,polen sana familia yake,nliona kaka mtu ITV ameongea kwa uchungu kutoka moyon..pole za dhati imueendee bi harusi mtarajiwa ambapo ndoa ilipangwa ifungwe Dec 28;what a a tragedy ..pole sana kwa bint yake alieachwa bila baba..KIFO kinaumia haswa kwa watu wanaotegemewa na familia
 
nakupa 100, hakuna comando fake labda tz. Kuna comando wa kigoma anaitwa kimondo- muha? Alitoka jeshini bila taarifa. Jesh lilitumia nguvu nyingi kumtrace?alivopatikana walisema asiguswe hovyo kwani dogo alikuwa amemaliza mafunzo cuba.wanasema angeweza kupambana na zaidi ya watu 00. Nakubaliana nawe kuwa hatuna commando yebo labda wanyarwanda

sio labda, sema yebo yebo wapo Rwanda.
 
Akisikia commando akili zote zinahamia Hollywood.

Hapa ndipo tunapojua upeo wa mtanzania huyu katika kuelewa mambo. Hasa kutofautisha muvi na uhalisia. Pumbavu wewe usiyeelelwa Haya. Au una umri mdogo na kulinganisha jambo hili na muvi za kina Rambo
 
Kwani sisi huko Kongo tuna masilahi gani mpaka tunapoteza commando katika ardhi ambayo masilahi yake hayako bayana. Nadhani ifike mahali mambo ya ngoswe tumuachie ngoswe mwenyewe.
 
Ni Mnyamwezi wa Tabora, na jina la Rajabu ni jina la utotoni unalopewa ukizaliwa ambalo ni la babu yake Rajabu Tambwe

kumbe ndiyo huyu ambaye ndugu yake ni huyu balozi mstaafu mzee tambwe niliyenae jirani kabisa hapa makonde mbezi beach? ila huyu mzee " mkaksi " balaa.
 
kuna komando chizi pale mwanza anaitwa malima mbona anatoa siri za jeshi na sioni hatua zozote kuchukuliwa
 
kumbe ndiyo huyu ambaye ndugu yake ni huyu balozi mstaafu mzee tambwe niliyenae jirani kabisa hapa makonde mbezi beach? ila huyu mzee " mkaksi " balaa.

Mkuu nini tena, sijakupa "MKAKSI" una maana gani, nielimishe
 
kuna komando chizi pale mwanza anaitwa malima mbona anatoa siri za jeshi na sioni hatua zozote kuchukuliwa

Hawa wanaotoa Siri wako kibaooo tunakunywa nao bia. Polisi, Askari etc tena wakubwa ambao wana nyota nyota...wao ndio si mchezo kwa kutoa siri Akinywa bia ya pili siri hizooo!
 
ANTIBIOTIQUE

Kawaulize navy seal kilichowakuta Somalia.Ushawahi kuona mtu anatahiriwa makalio kwa kuburuzwa na jeep mitaani? Anyway,kwani makomandoo wako bongo tu? Unajuaje uwezo wa kijeshi wa huyo sniper na wenzie? Laiti mngejua haya makundi ya kigaidi na waasi yalivyojaa askari wenye mafunzo ya hali ya juu mngeelewa hatari inayoikabili dunia.

Wewe ukisikia al shabaab, FDLR unawaza wavaa vipedo wa mtambani, laiti ungelijua wanapewa mafunzo gani na who is behind them! Even if you think JW ni the best, , don't forget that people like Kagame wamepitia humo humo na ndio hao wanajenga majeshi huko. So they know your ABCs.

Jiulize why mara nyingi mmarekani hutumia sana special forces anapoendesha operations dhidi ya makundi kama haya.
 
Last edited by a moderator:
Weye ndo mjinga kabisa niliewahi kumsoma, hivi unamjua sniper wewe?? Basi commando Yoni Netanyahu nae aliuwawa pale entebbe na sniper alikua takataka?? Kweli kuna watu na viatu,. Ww ni kiatu.. RIP commando Mlima.

usifananishe kufa kwa yurin netanyahu ( muisrael ) na huyu mlima kilimanjaro wenu. utamfananishaje myahudi na mnyamwezi? yurin kafa kishujaa baada ya kuwaokoa wale hostages pale uwanjani je huyu mlima kilimanjaro wenu kama baada ya kutaka kufanya nini? usikute alikuwa anataka tu kuiba dhahabu au almasi za " wakongo " watu wakamaliza shughuli. commando anauwawa kizembe namna hii? sijapata kuona. halafu mwambie na huyo " poyoyo " mwenzio kuwa kikosi cha commando siyo 92kj bali ni 94kj hicho cha 92kj labda ndiyo hicho cha wakongo kilichomdungua mlima kilimanjaro wenu. nadhani huyo " sniper " ndiyo angefaa sasa awe " commando ".
 
Techno zimeongeza idadi ya mabwege humu ndani. Pole sana maana kwa akili hizo zinatosha tu kuendea haja kubwa hazina msaada kwa taifa

kwangu mimi huyo " sniper " ndiyo anastahili kuitwa " commando ". nijuavyo mimi commando ni zaidi hata ya sniper kwa mbinu zote au medani zote za kivita na kimapigano je inakuwaje wewe " unadunguliwa " tu kihasara hasara? na ndiyo maana hata fidel castro huko cuba alikuwa mkiwa ktk " pass out " ya kimafunzo ya kijeshi akikuona umekaa kizembe zembe na kihasara hasara anakupiga tu risasi ya kweli " ufe " kwani alikuwa anajua kuwa utaenda kuwatia aibu " wacuba " ambao kwa kiasi kikubwa ndiyo mama au watu mahiri duniani kwa mafunzo ya " kikomandoo " hapa duniani na hili halina na nahisi hata huyo " mlima kilimanjaro " wenu hakupitia cuba kimafunzo labda alifanyia mafunzo yake " shelisheli ".
 
Kawaulize navy seal kilichowakuta Somalia.Ushawahi kuona mtu anatahiriwa makalio kwa kuburuzwa na jeep mitaani? Anyway,kwani makomandoo wako bongo tu? Unajuaje uwezo wa kijeshi wa huyo sniper na wenzie? Laiti mngejua haya makundi ya kigaidi na waasi yalivyojaa askari wenye mafunzo ya hali ya juu mngeelewa hatari inayoikabili dunia.Wewe ukisikia al shabaab, FDLR unawaza wavaa vipedo wa mtambani, laiti ungelijua wanapewa mafunzo gani na who is behind them!Even if you think JW ni the best, , don't forget that people like Kagame wamepitia humo humo na ndio hao wanajenga majeshi huko.So they know your ABCs.Jiulize why mara nyingi mmarekani hutumia sana special forces anapoendesha operations dhidi ya makundi kama haya.

katika maelezo yako " yooooooooooooooote " hapo ulipomtaja tu mwanamume wa east africa na africa kama si dunia " kagame " umenikosha na hayo maelezo yako mengine yote naona ni " pointless " tupu!
 
Back
Top Bottom