Mwili wa commando Lt. Mlima kuwasili leo

na kwa kuongezea tu ni kwamba huyu jamaa amekuwa akitumika sana na museveni kwa kazi hizi hizi za kijasusi na alifanya kazi kubwa sana wakati wa vile vita vya akina kabila kule nchini congo na ni mnyarwanda japo yeye anajifanya ni raia wa tanzania kutoka mkoa wa mara na sifa yake kubwa ni kujua kucheza na akili za watu kwa kuwahadaa na kuwahamisheni kutoka eneo fulani na kuwapelekeni anapotaka yeye. ni mmoja wa wale wanyarwanda waitwao kadogoo waliopiganishwa na akina kagame na museveni kumsaidia hayati laurent desire kabila na kutokana na kukaa sana na museveni sasa kagame kamchukua na yupo tanzania kwa kazi maalum japo mara kadhaa huwa pia nchini rwanda na kuna watu amewapenyeza huko ktk taasisi nyeti huku akitumia ushawishi wake na uwezo wake mkubwa wa kupata taarifa zao na kumpelekea bosi wake kagame. mkuu Edobeny upo sahihi huyu jamaa GENTAMYCINE ni jasusi mkuu wa kagame hapa east africa ila kuna watu pia sasa wako kazini kupambana nae japo tukiri kuwa na yeye si mwepesi kama mnavyodhani kwani yupo vizuri sana.

jamani echeni kumpandisha chati,hana cha ujasusi wala nini,ni "popo-ma" tu mmoja wa kawaida mtaani kwake anapoishi.

jasusi hawezi ku-surf internet kiboya boya kama huyu.in these modern days of high teh information sharing ,spies are very vigilant when surfing the internet. they know the ABCs of surfing the net covertly and anonymously.

huyo boya ID mbili tu hapo kashindwa kucheza nazo bila kugundulika.mapema watu tulishazigundua kwamba ni yeye.naona mods washazifanyia yao.

kuna watu hapa JF unaweza ukashawishika kuamini kwamba ni majasusi na wapo JF/mitandaoni kwa lengo,sababu na wakati maalumu,lakini siyo huyo boya ambaye 24/7 anashinda JF kupiga porojo na kutongoza wadada wa MMU.

mfano wa watu hao ni Moshe Dayan mossad007 de'levis na wengine wachache.hawa jamaa hawaonekani mara kwa mara JF,hawana mabandiko wala posts nyingi,lakini posts na mabandiko yao machache yaliyopo na wanayo andika siku zote huwa na mvuto mkubwa kwa wachangaiji na yanakuwa hayana shaka yoyote ya ukweli.
 
Last edited by a moderator:

mkuu kadoda11 siyo kwamba labda tunampandisha chati huyu jamaa bali ukweli ni kwamba anatutesa kwani ni mjanja na mjuzi wa vitu vingi na hata haya masuala ya teknolojia anayajua ipasavyo. kwa mfano una habari kuwa ile id yake ambayo sasa huioni jamaa alivyo mjanja imegundulika kuwa kumbe ilikuwa inatumia password moja na hiyo mnayoizoea yake ya kawaida na imewachukua mods muda mrefu kuigundua japo na wao walikuwa wanaifuatilia. unajua ni kwanini anakuwemo humu muda wote? siwezi kukuambia sababu ila kama utaweza ni pm nitakupa kila kitu na kwa taarifa yako kuna members kama watatu humu wa kike ameshawafanyia yake na yupo mmoja ambaye hadi sasa anamwogopa kwani jamaa namba zake zote anazo na huyo dada ameshangaa jamaa amezipataje. kagame kampeleka sehemu nyingi kupata mafunzo yote na kwa mujibu wa huyu dada jamaa anajua lugha kama tano hivi za kimataifa na yupo mnyumbulifu sana kwa mazingira yoyote anayokuwepo. kuna watu hatulali kwa ajili yake kwani anakaribia kutujua tanzania katika kila nyanja na si mtu anayetumia namba moja ya simu na hata computer yake tu anayoitumia kutuma mambo yake humu kuna ujanja ameifanyia ambapo huwezi kujua yupo mahala gani kwa kutumia ujasusi wa kiteknolojia na inaonekana hatumii computer au laptop mpya bali anatumia ya mtumba kitu ambacho kwa waliosomea ujasusi wa kiteknolojia watakuambia ni jinsi gani ilivyo kazi nzito. utundu wake anaoufanya humu ni wa kimkakati zaidi na ili uamini angalia id yake muda wote inakuwa hewani na kila post humu ni lazima aipitie na bingwa sana wa kubadili upepo na kuwapelekeni kule atakako na mkasahau nini mlikuwa mnajadili. kama kaweza kucheza na mods ambao wote tunawaamini ni mabingwa na nguli ktk teknolojia hadi kuweza kuwa na id mbili ambazo zinatumia password moja wewe mpaka hapo huoni jinsi gani huyu jasusi wa kimataifa wa kagame alivyo hatari? ni mnyarwanda wa mji wa gitarama japo inasemekana pia mzazi wake wa kiume alikuja tanzania wakati wa ile vita ya kwanza ya rwanda ya mwaka 1959 na akalelewa na nyerere na hatimae nae kuingizwa ktk kabila la wazanaki ila mama yake mzazi ni mtanzania halisi. na sasa yupo dodoma angalia hata post zake na jiulize anafanya nini huko? nimefanya kazi na watu wa mataifa mbalimbali huku mipakani mkuu ila wanyarwanda hasa hawa watutsi ni hatari kuanzia ktk akili, mbinu na mikakati na huwa hawakubali kushindwa na wana visasi vibaya mno. karibu siku moja huku mpakani ujifunze tabia zao ndipo utaamini haya ninayokuambia.
 
Mkuu mimi sikatai ktk haya unayosema lkn sio kwa huyu MTU! Majasusi siku zote hawafanyi mambo hovyo km huyu!

Huyu ni MTU Wa propaganda tu na si Zaidi ya hapo! Anachofanya Ni kufatilia mambo vzr na kwa ukaribu ndio maana baadhi ya vitu anavyosema vinakua na ka ukweli kidogo!

Pia mods hawajashindwa na huyu kiumbe kwasababu wanaweza kufanya lolote juu Yake na ukimya wao hawa mods juu ya huyu MTU una maana kubwa sn! Usije fikiria km wameona kua ni tishio Wa usalama ktk nchi yetu basi watakuja ktk hadhara km yeye afanyavyo na kutangaza hivyo! Tuna watu wazuri na wataalam waliobobea na wenye uwezo Wa kumfatilia ktk mawasiliano na kumpata!

Huu utumbo anaopost naamini anaposti akiwa nje ya nchi na si ndani humu Tz!

Makachelo wazuri siku zote hua wako kimya utakuja kushituka wameshakuathiri na hawapo ndio unashituka! Sasa huyu anabwabwaja hovyo tu!

Ni MTU Wa kawaida sn ktk kitengo cha propaganda chafu tu.

Ngoja tumfanyie kz
 
sawa "popo-ma" mzee wa ma-ID mengi,tumekusikia.
A%20S%20112.gif
A%20S%20112.gif
A%20S%20112.gif
A%20S%20112.gif
.
 
duh hiyo misifa unayompa si mchezo La Brujita

Anampa misifa sn na huenda ndio yeye huyo anatuchezea akili! Haya mambo yanahitaji umakini sn!

Majirani zetu baada ya kugundua huu mtandao Wa kijamii Wa Jf waliingia sn kufatilia mambo na kueneza propaganda zao chafu! Tena ukitaka kuona anzisha Uzi kuiponda ata Kenya utaona watakavyo kuja na kuanza kujibu! Sasa na huyu ndio Wa aina hiyo!

Nchi yetu iko salama kabisa wananchi waliojitolea maisha yao kulinda nchi wako makini sn! Tuna watu mpk Kigali ndani. Wanapaswa wakajifunze kwa Nkuruzinza km sio sisi alikua harudi Bujumbura!

PK atatuchukia sn lkn hawezi kutufanya chochote Zaidi ya kia km mbwa koko anabweka hovyo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mimi sikatai ktk haya unayosema lkn sio kwa huyu MTU! Majasusi siku zote hawafanyi mambo hovyo km huyu!

Huyu ni MTU Wa propaganda tu na si Zaidi ya hapo! Anachofanya Ni kufatilia mambo vzr na kwa ukaribu ndio maana baadhi ya vitu anavyosema vinakua na ka ukweli kidogo!

Pia mods hawajashindwa na huyu kiumbe kwasababu wanaweza kufanya lolote juu Yake na ukimya wao hawa mods juu ya huyu MTU una maana kubwa sn! Usije fikiria km wameona kua ni tishio Wa usalama ktk nchi yetu basi watakuja ktk hadhara km yeye afanyavyo na kutangaza hivyo! Tuna watu wazuri na wataalam waliobobea na wenye uwezo Wa kumfatilia ktk mawasiliano na kumpata!

Huu utumbo anaopost naamini anaposti akiwa nje ya nchi na si ndani humu Tz!

Makachelo wazuri siku zote hua wako kimya utakuja kushituka wameshakuathiri na hawapo ndio unashituka! Sasa huyu anabwabwaja hovyo tu!

Ni MTU Wa kawaida sn ktk kitengo cha propaganda chafu tu.

Ngoja tumfanyie kz

mkuu usipoteze mda naye.my instinct tells me,the guy you're arguing with is the same imbecile.........kaja na ID nyingine.hahahahahahah.
 
CC Moderator
 
Nimeshamgundua na tayari nimempa Yake.

Huyu MTU mdogo sn ktk nchi yetu akitaka kujua akamuulize baba ya PK au Mu7 au Nduli au awaulize ata wakenya wanatujua vzr sn.

Wanafikiri nchi imetulia kirahisi tu?
 
Mkuu mimi sikatai ktk haya unayosema lkn sio kwa huyu MTU! Majasusi siku zote hawafanyi mambo hovyo km huyu!

Huyu ni MTU Wa propaganda tu na si Zaidi ya hapo! Anachofanya Ni kufatilia mambo vzr na kwa ukaribu ndio maana baadhi ya vitu anavyosema vinakua na ka ukweli kidogo!

Pia mods hawajashindwa na huyu kiumbe kwasababu wanaweza kufanya lolote juu Yake na ukimya wao hawa mods juu ya huyu MTU una maana kubwa sn! Usije fikiria km wameona kua ni tishio Wa usalama ktk nchi yetu basi watakuja ktk hadhara km yeye afanyavyo na kutangaza hivyo! Tuna watu wazuri na wataalam waliobobea na wenye uwezo Wa kumfatilia ktk mawasiliano na kumpata!

Huu utumbo anaopost naamini anaposti akiwa nje ya nchi na si ndani humu Tz!

Makachelo wazuri siku zote hua wako kimya utakuja kushituka wameshakuathiri na hawapo ndio unashituka! Sasa huyu anabwabwaja hovyo tu!

Ni MTU Wa kawaida sn ktk kitengo cha propaganda chafu tu.

Ngoja tumfanyie kz

sasa wewe unadhani hivi unavyoropoka na kutoa siri zote ya nini kinafanyika dhidi yake ndiko kunakusaidia au ndiyo kwanza unamfanya azidi na yeye kujijenga kimbinu? mbona na wewe sasa unakwenda kinyume na medani za kijasusi na kivita? mimi nimekuambia nini na wewe unaendelea kufanya nini? huyu mtu huwezi kumpata kupitia humu mtandaoni kwani hakuna siyejua kuwa ana id's zaidi ya 10 humu na inawezekana zote zikawa zinatumika na usije ukashangaa kuna hata posts humu unaweza ukaona kama vile zinamsema au kumpinga kumbe zote zikawa ni zake hivyo mwishowe ukajikuta unajaza maji ktk pipa huku kule chini hakujazibwa. na labda nikusaidie tu katika masomo yote ya ujasusi duniani kote somo la propaganda lipo au sehemu ya kozi na nimekuambia kuwa kwa mujibu ya mtu anayetupa taarifa zake ni kwamba jamaa ni jasusi na mafia pia na yupo vizuri na unavyozidi kumsema na kumfuatilia humu ni kama unampandisha chati na azidi kujulikana labda pengine wewe ukijua unambomoa. kama hao mods unasema wana wataalam wao imekuwaje ndani ya miezi 3 / 4 walishindwa kujua kuwa anatumia password moja kwa id's mbili tofauti? na bila member mmoja humu kumshtukia na nadhani alikuwa ni mussolin5 na baadae kadoda 11 mods wasingemjua na angeendelea tu kutusumbua akili. mwisho kusema kuwa anaharibu usalama wa nchi yetu napo unatakiwa uwe na uhakika nalo kwani mpaka sasa idara zote nyeti za usalama hazijasema kuwa huyu jamaa ni tishio ila ninachokijua tu ni kwamba huyu jamaa yupo nchini kwa kazi maalum ya kuwafuatilia wale maadui watatu wa rais kagame ambao wapo nchini na baada ya kukimbia nchini afrika ya kusini baada ya kuuwawa kwa wenzao na pia yupo nchini kuhakikisha hima ya watutsi inapata ustawi hapa tanzania kisha wanunue uraia na mashamba yetu na hatimaye wajizatiti na usisahau kuwa hata sisi watanzania tuna watu wetu kama yeye tumewapenyeza huko kwao nchini rwanda. umeshaweza kujiuliza ni kwanini kagame alinyamaza mara baada ya mtafaruku ule wa rwanda na tanzania? siwezi kuanika hapa kila kitu kimaadili ila wewe fahamu tu hivyo kuwa rwanda kupitia mtu wao huyu wanatufanyia ujasusi lakini na sisi pia tunawadukua vizuri sana. ile fagia fagia ya bandarini ulijua ilitokana na nini mkuu? naomba niishie hapa ila kumtisha kupitia mtandao tena huu wala hakutasaidia kufanikisha kumjua na badala yake tunatumia mbinu zingine za msaada wa mtu / watu wanaomjua.
 
usifananishe kufa kwa yurin netanyahu ( muisrael ) na huyu mlima kilimanjaro wenu. utamfananishaje myahudi na mnyamwezi? yurin kafa kishujaa baada ya kuwaokoa wale hostages pale uwanjani je huyu mlima kilimanjaro wenu kama baada ya kutaka kufanya nini? usikute alikuwa anataka tu kuiba dhahabu au almasi za " wakongo " watu wakamaliza shughuli. commando anauwawa kizembe namna hii? sijapata kuona. halafu mwambie na huyo " poyoyo " mwenzio kuwa kikosi cha commando siyo 92kj bali ni 94kj hicho cha 92kj labda ndiyo hicho cha wakongo kilichomdungua mlima kilimanjaro wenu. nadhani huyo " sniper " ndiyo angefaa sasa awe " commando ".

Kuwa komando na weww ufe kishujaa basi
 
sasa wewe unadhani hivi unavyoropoka na kutoa siri zote ya nini kinafanyika dhidi yake ndiko kunakusaidia au ndiyo kwanza unamfanya azidi na yeye kujijenga kimbinu? mbona na wewe sasa unakwenda kinyume na medani za kijasusi na kivita? mimi nimekuambia nini na wewe unaendelea kufanya nini? huyu mtu huwezi kumpata kupitia humu mtandaoni kwani hakuna siyejua kuwa ana id's zaidi ya 10 humu na inawezekana zote zikawa zinatumika na usije ukashangaa kuna hata posts humu unaweza ukaona kama vile zinamsema au kumpinga kumbe zote zikawa ni zake hivyo mwishowe ukajikuta unajaza maji ktk pipa huku kule chini hakujazibwa. na labda nikusaidie tu katika masomo yote ya ujasusi duniani kote somo la propaganda lipo au sehemu ya kozi na nimekuambia kuwa kwa mujibu ya mtu anayetupa taarifa zake ni kwamba jamaa ni jasusi na mafia pia na yupo vizuri na unavyozidi kumsema na kumfuatilia humu ni kama unampandisha chati na azidi kujulikana labda pengine wewe ukijua unambomoa. kama hao mods unasema wana wataalam wao imekuwaje ndani ya miezi 3 / 4 walishindwa kujua kuwa anatumia password moja kwa id's mbili tofauti? na bila member mmoja humu kumshtukia na nadhani alikuwa ni mussolin5 na baadae wewe kadoda 11 mods wasingemjua na angeendelea tu kutusumbua akili. mwisho kusema kuwa anaharibu usalama wa nchi yetu napo unatakiwa uwe na uhakika nalo kwani mpaka sasa idara zote nyeti za usalama hazijasema kuwa huyu jamaa ni tishio ila ninachokijua tu ni kwamba huyu jamaa yupo nchini kwa kazi maalum ya kuwafuatilia wale maadui watatu wa rais kagame ambao wapo nchini na baada ya kukimbia nchini afrika ya kusini baada ya kuuwawa kwa wenzao na pia yupo nchini kuhakikisha hima ya watutsi inapata ustawi hapa tanzania kisha wanunue uraia na mashamba yetu na hatimaye wajizatiti na usisahau kuwa hata sisi watanzania tuna watu wetu kama yeye tumewapenyeza huko kwao nchini rwanda. umeshaweza kujiuliza ni kwanini kagame alinyamaza mara baada ya mtafaruku ule wa rwanda na tanzania? siwezi kuanika hapa kila kitu kimaadili ila wewe fahamu tu hivyo kuwa rwanda kupitia mtu wao huyu wanatufanyia ujasusi lakini na sisi pia tunawadukua vizuri sana. ile fagia fagia ya bandarini ulijua ilitokana na nini mkuu? naomba niishie hapa ila kumtisha kupitia mtandao tena huu wala hakutasaidia kufanikisha kumjua na badala yake tunatumia mbinu zingine za msaada wa mtu / watu wanaomjua.

Nafikiri hoja yangu imekupata vzr sn na tayari nazidi kuzijua rangi zako!
 
sawa "popo-ma" mzee wa ma-ID mengi,tumekusikia.
A%20S%20112.gif
A%20S%20112.gif
A%20S%20112.gif
A%20S%20112.gif
.

popoma ndiyo nini tena mkuu? id nyingi hapa limekujaje? nimefanya kosa kukujibu na hata kukusapoti kwa yale uliyokuwa unayasema? nashukuru.
 
Back
Top Bottom