Mwili wa commando Lt. Mlima kuwasili leo

Mwili wa commando Lt. Mlima kuwasili leo

Komando anakufa?

Ha sikutegemea swali hilo uulize wewe mkuu! Nilikua naona una busara sana. Unamkumbuka yule komandoo wa Israel alieuawa kwenye operation ya kuokoa mateka pale Entebe Airport? Na alikua very well trained. Sometimes kwenye mapigano it is who will get another first. Na kama ni sniper,huwa wanasumbua zaidi.
 
mkuu mwili ushawasili na umepokewa kwa heshima zinazostahiki mtu ka yeye mpiganaji shujaa Mwenyezi Mungu amrehemu kamanda Ahmed Mlima, Amen.
 
anaweza huyo aliyerudi salama vitani hakua front line, unit za kina mlima ndizo zinapambanana adui directly, bunduki kwa bunduki, risasi haibagui comrade, ukilengwa haikwepeki

hapa ndipo ninapoipenda tanzania yangu kila mtu mwanasiasa mzuri...jibu nililopewa na swali ni umbali wa mbagala-bunju haya wacha nijifanye nimeelewa sio mbaya
 
hapa ndipo ninapoipenda tanzania yangu kila mtu mwanasiasa mzuri...jibu nililopewa na swali ni umbali wa mbagala-bunju haya wacha nijifanye nimeelewa sio mbaya

kuna mwanasiasa hapa???? excuse me!
 
RIP KOMANDO MLIMA. Pengo lako ndani ya jwtz ningeliziba mm bologna aka John rambo, sema ndio hivyo tena mfumo wa kutoa ajira pale kama hauna ndugu hata JKT kuingia utasikia kwenye bomba. RIP Mlima
 
Mwili wa marehemu LT.RA MLIMA utawasili Uwanja wa ndege wa kimataifa wa DAR leo jioni 1925hrs kwa ndege ya KQ 486.Mwili wa kijana wetu shujaa utapokewa kwa heshima zote kijeshi.Ikumbukwe marehemu alifariki akiwa mission ya UN alias MONUSCO tarehe 27 oct.Shujaa Mlima alikua commando aliyesomeshwa u-commando nje ya nchi na vile vile alikua mkufunzi wa makomandoo pale 92KJ.

Nchi imepoteza rasilimali muhimu na ya gharama sana katika masuala ya Ulinzi na Usalama.Marehemu alifariki papo hapo baada ya kupigwa risasi na sniper.

Vijana aliokua nao walijibu shambulizi hilo kwa nguvu kubwa na kufanikiwa kuondoka na marehemu (evacuation) na kuelekea kwenye ngome kwa usalama zaidi.mapambano yalikua makali lakini vijana walipigana kishujaa kwa covering fire huku wakihakikisha hakuna majeruhi mwingine.
Marehemu ataagwa kesho Lugalo saa nne asubuhi, sala ya kumuombea marehemu itafanyika msikiti wa Mamulu Upanga, baada ya hapo, marehemu atazikwa makaburi ya Kisutu.
RIP, SHUJAA.UMEKUFA UKISAIDIA JIRANI YAKO AISHI KWA AMANI. U DIED WAVING TANZANIAN FLAG UP HIGH, SACRIFICING YOUR LIFE FOR OTHERS! THATS OUR JOB.RIP COMMANDO MLIMA.

Mwenyezi MUNGU aipumzishe roho ya Kamanda Wetu Mahala Pema! Umekufa ukiitumikia NCHI YAK0 KISHUJAA.
 
RIP in peace brother,,,dying for your country is an example typically to follow.Vijana mashuleni siku moja watafundishwa juu ya ushujaa wako kaka.May God bless and give your family a speedy recovery and comfort from this great shock.
 
RIP Commando AMLIMA

Taifa ,imepoteza rasilimali muhimu sana! Pengo hili halitazibika kirahisi. Maana najua kumfuza Commando ni gharama na wanaofikia level hiyo ni wachache....
 
Wait a minute! Hatuna makaburi ya mashujaa hapa dar? Au hata mnara basi ambapo hawa wanapaswa majina yao kuingizwa kila inapotokea!!!
 
unajua sniper ni nani? au unabwabwaja tu,,, unajua sniper shot? hii nchi haina commando feki toa mawazo yako mgando, na huyu kijana alisomea u-commando nje ya nchi.sniper aliyebobea hakosi target, uwe commando hata uwe nani, its one shot one kill

Mkuu achana na mungese huyo!!! Mtu asyeelewa range na bullet placement atachangia nini hapa????!!!!

R.I.P COMMANDO
 
Back
Top Bottom