Mwijaku akutwa na kesi ya kujibu shtaka la kusambaza picha za utupu kinyume cha sheria

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemkuta na kesi ya kujibu Mtangazaji wa Clouds FM, Mwemba Burton maarufu Mwijaku katika shtaka la kusambaza picha za utupu kinyume cha Sheria linalomkabili
-
Mwijaku anashutumiwa kusambaza picha za utupu za Msanii wa Bongo Movie, Menina Alegria kati ya Septemba 17, 2019 na Oktoba 2019
Mtoa mada ameandika kama anafukuzwa
 
Mtangazaji wa Clouds, Mwemba Burton maarufu Mwijaku amekutwa na kesi ya kujibu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Ni baada ya Serikali kufunga ushahidi wao wa mashahidi watano na vielelezo vinne walivyoviwasilisha wakati wa ushahidi.

Mwijaku anakabiliwa na shtaka moja la kusambaza picha za utupu kinyume cha sheria.

Pia, soma;

Thread 'Mwijaku afikishwa Kisutu na kushtakiwa kusambaza picha za utupu. Ashindwa kutimiza masharti ya dhamana' Mwijaku afikishwa Kisutu na kushtakiwa kusambaza picha za utupu. Ashindwa kutimiza masharti ya dhamana

===

My take
Ndio maana jamaa anajitahidi sanaa kujipendekeza kwa mama Samia ilia apate huruma...
Halaf ilikuwa awe Spika wa Bunge la Jamhuri ya CCM huyu
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemkuta na kesi ya kujibu Mtangazaji wa Clouds FM, Mwemba Burton maarufu Mwijaku katika shtaka la kusambaza picha za utupu kinyume cha Sheria linalomkabili
-
Mwijaku anashutumiwa kusambaza picha za utupu za Msanii wa Bongo Movie, Menina Alegria kati ya Septemba 17, 2019 na Oktoba 2019
Nilijuaga ilishaishaga hii mambo
 
Mh. !! Mtangazaji wa Clouds? Aisee mbona kama hv vyombo vya habari vinakosa weledi kabisa. Ndio maana mama kawaambia wamkune vizuri
 
Kheeeeeh yaan kesi yake na Menina ilikua bado tyuuh? Uwiiiih huyu kidampa analo, labda yule....... Atamuokoa kwa hili. Ngija nione nguvu ya......

Makubwa haya tena khaaaah,.
eti kidampa aisee we kweli mkongwe hili ni neno la zamani mno
 
Kheeeeeh yaan kesi yake na Menina ilikua bado tyuuh? Uwiiiih huyu kidampa analo, labda yule....... Atamuokoa kwa hili. Ngija nione nguvu ya......

Makubwa haya tena khaaaah,.
Hivi wewe huwa unasoma saa ngapi kila muda uko mitandaoni?
 
Mtangazaji wa Clouds, Mwemba Burton maarufu Mwijaku amekutwa na kesi ya kujibu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Ni baada ya Serikali kufunga ushahidi wao wa mashahidi watano na vielelezo vinne walivyoviwasilisha wakati wa ushahidi.

Mwijaku anakabiliwa na shtaka moja la kusambaza picha za utupu kinyume cha sheria.

Pia, soma; Mwijaku afikishwa Kisutu na kushtakiwa kusambaza picha za utupu. Ashindwa kutimiza masharti ya dhamana

===

My take
Ndio maana jamaa anajitahidi sana kujipendekeza kwa mama Samia ilia apate huruma...
Ndiyo manaaa! Picha alizosambaza ni zake au za watu wengine?
 
Back
Top Bottom