Mwijaku apona kesi ya kusambaza picha za utupu, mashtaka yashindikana kuthibitishwa

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,446
7,817
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru msanii wa maigizo, Mwemba Burton maarufu Mwijaku, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake katika kesi ya kusambaza picha za utupu iliyokuwa inamkabili msanii huyo.

Uamuzi huo umetolewa leo Jumanne Mei 31, 2022 na Hakimu Mkazi, Rhoda Ngimilanga wakati shauri hilo lilipoitwa kwa ajili ya hukumu.

Mwijaku alikuwa anakabiliwa na shtaka moja la kusambaza picha za utupu kinyume cha sheria, tukio analodaiwa kulitenda Septemba 17, 2019 na Oktoba 2019, Jijini Dar es Salaam.
 
Uzuri wa nchi hii ni connection. Anajiita kipenzi cha Mama.
.
Duh nchi nzuri sana hii
 
Kama zingekuwepo hizo picha za utupu alizosambaza Mwijaku na mimi ningezipata, Mwijaku piga kazi.
 
Hii kesi ina ukakasi sana hukumu yake. Kuna vitu vinafikirisha sana. Wanaharakati wakivalia njuga mtu Mwijaku lazima anaswe nyavuni otherwise kuna kitu kibaya tutakipanda kama mbegu.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy

Kesi ni kusambaza picha za utupu..
Lakini kama kumbukumbu zangu ziko sahihi iliyosambaa ni video ya ngono, technically tatizo linaanzia hapa, lakini tuwe wakweli ile video ilikuwa recorded willingly kabisa, na kwa vyovyote vile na mhusika alikuwa nayo, yawezekana hata aliyesambaza ni dada yetu mwenyewe ili kupata umaarufu, kwahiyo sishangai kukosekana kwa ushahidi.
Ushauri, dada zetu msikubali kurecord chochote mkiwa kwenye mambo yenu, lakini vijana wa kizazi hiki mnapata wapi muda wa kufanya mambo hayo? Vijana jitahidini kufanya mazoezi na kula chakula bora ili muwe na afaya njema kamwe hamtapata muda wa upuuzi huo
 
Umetoa mchango ngani mkuu
 
Ujui unachoshauri
 
Eew. Huo utupu wa Mwijaku hata sitaki kuuona, kaeni nao huko huko
 
Back
Top Bottom