Mwijaku akutwa na kesi ya kujibu shtaka la kusambaza picha za utupu kinyume cha sheria

Mwijaku simchukulii km mwanaume aliyetimia..

Alafu mtu km huyu unaweza kuta hizi sarakasi zake na uchawa wote target yake ni kuja kugombea ubunge 2025 kule kazula mimba-kigoma Kwa tiketi ya CCM na anapita..sijui tumelogwa na Nani watz

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kama aliweza kuchukua form ya uspika atashindwa nini ubunge ni swala la muda tu
 
Kwa ile connection mm namlaumu Huyo demu maana video zote zinaonyesha alikuwa anajirecord so kuhusu kusambazwa lazima uzembe ulianzia kwake
 
Nina kijana wangu pale Mnazi Mmoja Zanzibar amenitumia baadhi ya picha za Mwijaku asubuhi hii akimsifia Rais SSH.
20220506_072204.jpg
20220506_072207.jpg
20220506_072209.jpg
 
Kwa wenzetu kwa hizi tuhuma tu unakaa pembeni, mpaka huonekane huna hatia, ila ukikutwa nayo kibarua ndio basi, ila kwetu huyu ataendelea kutangaza kama kawa.
 
Back
Top Bottom