Mwigulu sasa kufanywa ajenda kuu CHADEMA

Mwigulu sasa kufanywa ajenda kuu CHADEMA

Kwa usalama wake mwenyewe ajimwagie....yeye si anamiliki hizo tindikali.Chadema wataitoa wapi ili wammwagie?

waitoe walikoitoa ile akina kileo katibu wa chadema kinondoni waliommwagia mussa tesha kule igunga
 
Well, CHADEMA is not like your dearest party, why can't you join Nape's department because always you bring stories of CHADEMA Dr. Slaa only. Why can't you tell us about Drug trafficking, Corruption scandals, mismanagement of our natural resources, the Mtwara situation than focussing on CHADEMA. As far as I understand it is CCM' role to mention CHADEMA through out, and the civic education they CHADEMA are providing is done to the open and not indoors.

We do enjoy reading your substandard observations and comments, but all the same it is your constitutional rights to say whatever you feel like,

WOW!!!!

Yego Chikaka! This really fantastic if not bombastic. What a lovely comment and rebuttal.

You have my node.
 
Muulize Mwigulu kikao alichofanya na wana Iramba mahudhurio yalikuwaje?

Hoja hapa sio mahudhurio, hemu kuwa mwelewa, hoja hapa ni ajenda za mikutano kushindwa kusimamiwa na Dr Slaa na makamanda wengine wa CHADEMA, kwanini kila hoja zenu mnamtaja mtu (Mwigulu) badala ya kusimama na ajenda zenu?, mantiki ipo wapi ya mtu kuhudhuria mikutano ya CHADEMA kama hali yenyewe ndio hii ya kuhutubia kwa kutaja jina la mtu karibu 90% ya ajenda yote?
 
chadema na slaa ndio ibilisi na shetani mkuu lazima watajwe sana nyakati za ibada
Wanaotupatia shida ya kuamishwa kwenye makazi yetu ni slaa na chadema,wanaosababisha vijana wetu kuuza unga na kuwa Punda wa madawa ni slaa na chadema?jiulize alafu ndo utajua kumbe hao uliowasema si ibilisi ila Ibilisi ni.......!!!
 
Yego Chikaka! This really fantastic if not bombastic. What a lovely comment and rebuttal.

You have my node.

I don't see anything impressive to that comment, BTW, since you're among CHADEMA's officials, I would like you to advice them concerning the matter, why Mwigulu is always in your ajendas?, don't you guys have anything else to address?
 
Hivi ile ajenda mliyoibuka nayo na kuanza kutoa Utabiri ya Kuwa Chadema Itakufa kabla ya 2014 na wewe kukabidhiwa mikoba ingawa ulishindwa na Mkatabiri tena ya kuwa kuiua cdm ni kazi ngumu ilikuwa si ajenda ya chama chenu ccm?

Sijawahi ona kiongozi mwoga kama wewe ukisikia Viongozi wa cdm wanaenda Iramba uko tayari kuwapeleka wananchi porini ukawafanyie sherehe ili wasije kupata elimu ya uraia. Hebu jiamini katika ubunge wako usiogope kupigwa chini.
 
Mwigulu tafadhali sana hebu potea basi hata kwa miaka kadhaa kisha utokee kivingine? Nimekosa raha na amani ya kufanya mambo yangu kisa natokea Iramba, nimesimangwa vya kutosha, nimetukanwa vya kutosha, hapa ktk hili bandiko tu nimeshasoma masimango kadhaa! Kisa tu natokea unapoongoza! Kila nikijaribu kueleza kwamba Mwigulu asimame kama Mwigulu nasemwa kwamba sisi ndo tulikuweka madarakani, nikijitetea kwamba si wanyiramba wote tuliokuchagua naambiwa wengi ndo walikuchagua, sawa, majority rule, nasi wachache basi tutendee haki, potea hapa duniani kwa miaka kadhaa ndipo urudi! Mbona wenzako nao pia wanafanya siasa? kwanini iwe laana kwetu? Kaka potea tafadhali.
 
mkuu mimi ningekushauri umwelezi mkuu mwigulu ahamashishe suala la afya wilayani kwake kwa kuwa kumedorora sana hadi kufikia hatua contener yenye vifaa vya afya kupiga kutu pale misigiri kituo cha afya kwa sababu hospitali imeshindwa kujengwa hii ni aibu.
I don't see anything impressive to that comment, BTW, since you're among CHADEMA's officials, I would like you to advice them concerning the matter, why Mwigulu is always in your ajendas?, don't you guys have anything else to address?
 
Hoja hapa sio mahudhurio, hemu kuwa mwelewa, hoja hapa ni ajenda za mikutano kushindwa kusimamiwa na Dr Slaa na makamanda wengine wa CHADEMA, kwanini kila hoja zenu mnamtaja mtu (Mwigulu) badala ya kusimama na ajenda zenu?, mantiki ipo wapi ya mtu kuhudhuria mikutano ya CHADEMA kama hali yenyewe ndio hii ya kuhutubia kwa kutaja jina la mtu karibu 90% ya ajenda yote?

Nani apoteze muda wake kumtaja mwizi wa jina gaidi Lameck Madelu? nani apoteze muda wa kumtaja gaidi mwigulu ambaye hata elimu aliyonayo haijamsaidia yeye mwenyewe ama jimbo lake la uchaguzi?

Kinachofahamika ni kwamba ccm ndio mmeigeuza Chadema kuwa agenda yenu ya kudumu. Waziri wassira alipokuwa anaomba kura za ujumbe wa nec na kudai kuwa anaomba kura zenu ili akaidhibiti Chadema mkampa kura zote. Jerry Silaa alipokuwa anaomba kura za ujumbe wa nec naye aliposema kuwa anataka kuishughulikia Chadema mkampa kura zote.

Ccm na serikali yenu hata vikao vya baraza la mawaziri mnaijadili Chadema.Gaidi Mwigulu anahaha kila siku akisikia viongozi wakuu wa Chadema wametia maguu Iramba anakwenda kumwaga fedha kwa vijana ili kujaribu kuvuruga mikutano ya Chadema ingawa bahati mbaya hajawahi kufanikiwa, hata kesi ya kumuua kijana ndugu yake mwanaccm mwenzake aliyemuua ndago ni katika jitihada za kuvuruga mkutano wa Chadema lakini akashindwa.

Gaidi Mwigulu huyu aliyekimbilia kwenye mitandao ya kijamii kujitafutia utukufu kwamba amefanikiwa kuharibu mkutano wa Dr. Slaa ndiye anayethibitisha kuwa Chadema na viongozi wetu wakuu ndio agenda ya kudumu ya ccm.Na kama unataka kuaibika basi tuletee audio au video iliyorekodiwa ikionyesha 90% ya agenda za Chadema ni gaidi mwigulu.
 
Kwa sasa viongozi wako kwenye mambo ya katiba mpya kama utekelezwaji wa Ilani yao.

Sasa Ajabu ni kwamba je Wanalitaje hilo jina liingizwe kwenye katiba mpya au ni vp?
Mwigulu acha porojo.
 
mkuu mimi ningekushauri umwelezi mkuu mwigulu ahamashishe suala la afya wilayani kwake kwa kuwa kumedorora sana hadi kufikia hatua contener yenye vifaa vya afya kupiga kutu pale misigiri kituo cha afya kwa sababu hospitali imeshindwa kujengwa hii ni aibu.

Mkuu,

Mwigulu yupo kwa ajili ya maslahi ya wana Iramba na kuhakikisha matakwa yao yanatimizwa, hivyo basi, wazo lako limefika na bila shaka mhe Mwigulu atalipokea na kulifanyia kazi kadri ya uwezo wake.
 
wewe mbona unamuongeleaga dr slaa,so far tunakujua naibu
 
Hivi jamani chadema hakuna mliberali achukue hii kitu,manake ikipata mliberali wa chadema itatulia kwani mawazo yake yote ni chadema,ikilala inawaza chadema,ikiamka,ikila,ikisijui nini ye chadema tu.....
 
Hoja hapa sio mahudhurio, hemu kuwa mwelewa, hoja hapa ni ajenda za mikutano kushindwa kusimamiwa na Dr Slaa na makamanda wengine wa CHADEMA, kwanini kila hoja zenu mnamtaja mtu (Mwigulu) badala ya kusimama na ajenda zenu?, mantiki ipo wapi ya mtu kuhudhuria mikutano ya CHADEMA kama hali yenyewe ndio hii ya kuhutubia kwa kutaja jina la mtu karibu 90% ya ajenda yote?

Hata wewe huna ajenda nyingine zaid yakuitaja Chadema kwenye threads zako......kuna mambo mengi yakuDiscuss kama watanzania juu ya majanga yanayotukabili nakuchafua image ya nchi yetu,hata siku moja hukai ukaandika habari hizo.Je kero kwako ni Chadema na si ukosefu wa maji,pesa za Epa,Richmond,pesa za Rada,Tembo kuuwawa,Wanyama kusafirishwa nje ya nchi,Madawa ya kulevya,mikataba mibovu ya madini na nyingine nyingi.

Wewe umeshika dola sema umefanya nini katika hayo na sio kuleta ajenda nyepesi juu ya Chama makini,chenye watu makini na wenye uchungu na Nchi yao CHADEMA.

Tupo katika mchakato wa katiba mpya.....ndo ajenda kwa CDM,unaweza kuona viongozi wakitoa elimu kwa Watanzania na si Nchemba iwe ajenda.
 
mkuu haya ni maneno ya kila siku tunataka vitendo hizo edha zilizotumika kuleta timu ya simba hapa kiomboi ingeliweza kuhakikisha kuwa zahanati ya kiomboi inaimarishwa na kujengwa vizuri ilimkuweza kutoa vitu kwenye contener hadi kuvifanya vitumike hii inanitia uchungu sana anapita kila sehemu na kuongea ili hali kwake hali ngumu aige mfano wa Lema anapiga kelele na kuandamana kila kukicha ila kwake pale arusha maendeleo yapo.
Mkuu,

Mwigulu yupo kwa ajili ya maslahi ya wana Iramba na kuhakikisha matakwa yao yanatimizwa, hivyo basi, wazo lako limefika na bila shaka mhe Mwigulu atalipokea na kulifanyia kazi kadri ya uwezo wake.
 
Nani apoteze muda wake kumtaja mwizi wa jina gaidi Lameck Madelu? nani apoteze muda wa kumtaja gaidi mwigulu ambaye hata elimu aliyonayo haijamsaidia yeye mwenyewe ama jimbo lake la uchaguzi?

Kinachofahamika ni kwamba ccm ndio mmeigeuza Chadema kuwa agenda yenu ya kudumu. Waziri wassira alipokuwa anaomba kura za ujumbe wa nec na kudai kuwa anaomba kura zenu ili akaidhibiti Chadema mkampa kura zote. Jerry Silaa alipokuwa anaomba kura za ujumbe wa nec naye aliposema kuwa anataka kuishughulikia Chadema mkampa kura zote.

Ccm na serikali yenu hata vikao vya baraza la mawaziri mnaijadili Chadema.Gaidi Mwigulu anahaha kila siku akisikia viongozi wakuu wa Chadema wametia maguu Iramba anakwenda kumwaga fedha kwa vijana ili kujaribu kuvuruga mikutano ya Chadema ingawa bahati mbaya hajawahi kufanikiwa, hata kesi ya kumuua kijana ndugu yake mwanaccm mwenzake aliyemuua ndago ni katika jitihada za kuvuruga mkutano wa Chadema lakini akashindwa.

Gaidi Mwigulu huyu aliyekimbilia kwenye mitandao ya kijamii kujitafutia utukufu kwamba amefanikiwa kuharibu mkutano wa Dr. Slaa ndiye anayethibitisha kuwa Chadema na viongozi wetu wakuu ndio agenda ya kudumu ya ccm.Na kama unataka kuaibika basi tuletee audio au video iliyorekodiwa ikionyesha 90% ya agenda za Chadema ni gaidi mwigulu.

Mkuu Mwita Maranya,

Mwisho wa uongo ni aibu, ukisema Mwigulu elimu yake haijamsaidia yeye na jamii yake ilhali sisi tunaojua nini kinaendelea Iramba chini ya uongozi tunakuona wewe ni mwongo wa mchana kweupe.

Haya ni baadhi kati ya mengi ambayo kijana huyu Mwigulu ameweza kuyatimiza wilayani Iramba kwa kipindi cha miaka michache tu tangu awe mbunge;

KWENYE BARABARA--Tumepasua upya
barabara ya kidaru hata Tax zitashuka
Mlima,tumechonga barabara ya
Mtoa,tumeweka Daraja Mtoa,Daraja Sekenke
na Mwezi ujao tunaendeleza Barabara ya
Ntuike kwenda Tyulia na hatimaye Kidaru.

KWENYE MAJI--Tumezindua mradi Ndago
(Shida ya Maji imekuwa historia),Mingela
mradi wa maji uko hatua za
mwisho.Tumesaini mkataba awamu ya pili
mradi wa maji Kiomboi unaanza mapema tu.
Ng'anguli,Mbelekese,Ruvuruma,M
gongo,Kinambeu kazi imeshaanza.

UMEME-Mwaka huu kata ya
Kiselya,Mbelekese,Mtekente,Kis
iriri,Ntuike,Mgongo na vijiji vyote vya
barabarani tayari Maluga
umewaka.Kutukutu na Zinziligi wanaweka
nguzo n.k.

Shule za kata zilizokuwa na Mwalimu 1 sasa
zinawalimu zaidi ya 10 kama nilivyotoa
taarifa ya Shule zote za Kata na Majedwali
kwenye kikao cha Wanairamba.
 
Last edited by a moderator:
Hivi jamani chadema hakuna mliberali achukue hii kitu,manake ikipata mliberali wa chadema itatulia kwani mawazo yake yote ni chadema,ikilala inawaza chadema,ikiamka,ikila,ikisijui nini ye chadema tu.....

Wewe nae upo JF?, tena jukwaa la siasa?, kwa akili hii?, hivi tangu uperuzi umeona mjumbe hata mmoja ana uwezo mdogo wa kufikiri kama wako?

Mods; nashauri liundwe "jukwaa la magoigoi" ili huyu ndugu yetu nae apate mahala pakuandika, humu jukwaa la siasa sio size yake.
 
WanaJF!

CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani kina tazamiwa kuwa na ajenda ambazo ni mbadala wa zile za chama tawala ambazo zingeweza kufanya mabadiliko ya hali ukilinganisha na hali ilivyo sasa, badala yake chama hichi kimekuwa 'vuvuzela' kwa kulitaja jina Mwigulu kwenye vikao vyake na mikutano ya chama.

Katika hali hiyo ya CHADEMA kujadili jina la mtu (Mwigulu) na kulifanya jina hilo kuziteka ajenda nyingine za chama ambazo wenda zingekuwa na umuhmu kwa mustakabali wa taifa, ina dhihirisha chama hichi kufirisika kisiasa na kimawazo na hata hadhi yake ya kuwa chama kikuu cha upinzani imezorota.

Aidha, juzi kwenye mkutano aliofanya Dr Slaa hapa Iramba na ule aliofanya Tanga, karibu 90% ya ajenda zake zilikuwa zimemlenga mhe Mwigulu, badala ya kuongelea mambo yanayohusu katiba mpya kama ambavyo imekusudiwa, hii ni hatari sana katika siasa za ushindani.

Lakini vilevile hata ukitazama mijadala mbalimbali ya makamanda wa CHADEMA ambayo ilikuwa na lengo la kujadili mambo yanayohusu utaifa na mambo mengine ya aina hiyo, badala ya kujikita kwenye mada iliyo mbele yao, wao wanaishia kumtaja Mwigulu, sasa wananchi wa kawaida tuwaeleweje CHADEMA?
unachokilalamikia chadema nini??? na ulichokiandika kina tofauti gani na malalamiko yako juu ya cdm mbona cdm umeiandika sana kuliko mwiguli nchemba au umetumwa
 
WanaJF!

CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani kina tazamiwa kuwa na ajenda ambazo ni mbadala wa zile za chama tawala ambazo zingeweza kufanya mabadiliko ya hali ukilinganisha na hali ilivyo sasa, badala yake chama hichi kimekuwa 'vuvuzela' kwa kulitaja jina Mwigulu kwenye vikao vyake na mikutano ya chama.

Katika hali hiyo ya CHADEMA kujadili jina la mtu (Mwigulu) na kulifanya jina hilo kuziteka ajenda nyingine za chama ambazo wenda zingekuwa na umuhmu kwa mustakabali wa taifa, ina dhihirisha chama hichi kufirisika kisiasa na kimawazo na hata hadhi yake ya kuwa chama kikuu cha upinzani imezorota.

Aidha, juzi kwenye mkutano aliofanya Dr Slaa hapa Iramba na ule aliofanya Tanga, karibu 90% ya ajenda zake zilikuwa zimemlenga mhe Mwigulu, badala ya kuongelea mambo yanayohusu katiba mpya kama ambavyo imekusudiwa, hii ni hatari sana katika siasa za ushindani.

Lakini vilevile hata ukitazama mijadala mbalimbali ya makamanda wa CHADEMA ambayo ilikuwa na lengo la kujadili mambo yanayohusu utaifa na mambo mengine ya aina hiyo, badala ya kujikita kwenye mada iliyo mbele yao, wao wanaishia kumtaja Mwigulu, sasa wananchi wa kawaida tuwaeleweje CHADEMA?
HAMY-D, Umesahau kuwa hili ni jamvi la watu wote? Kuna porojo humu, kuna longolongo, kuna ushabiki kuna ushambenga, kuna uongo kuna usingiziaji, kuna matusi na kila aina ya maoni na maono ya watu. Usichukulie mjadala wa humu kuwa ndo msimamo wa CHADEMA. Lengo kuu la chadema kwa sasa litaendelea kuwa ni kuwafumbua WaTZ macho waone hali halisi ya umaskini wao, ukosefu wa huduma muhimu, wizi na uporwaji wa rasilimali zao na hasa baada ya miaka 50 ya utawala wa CCM na kuwaelekeza wananchi jinsi ya kupinga dhuluma hiyo kwa kuiunga mkono CHADEMA, NA KUICHAGUA PINDI UCHAGUZI UTAKAPOFIKA. Mwigulu ni nani hata afanywe agenda ya chadema? Ni mtu ambaye hajui hata sera za chama chake na wala hana hata utashi wa nini Watz wanataka na nini hawataki. Ataishia kusemwa humu jamvini lakini wala si ndani ya vikao vya chama. CHADEMA hatuna muda wa kupoteza!
 
Back
Top Bottom