bushman
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,413
- 747
habari dr., samahani mimi sio mbunge wa igunga na mkutano wako haukufanyikia igunga bali ni iramba, umejibu haraka au ndio umri tena? Mimi sikuileta simba kwa ajili ya mkutano wako, ni mwendelezo wa program yangu kwenye upande wa michezo. Mwaka juzi niliileta toto africa, mwaka jana niliileta mtibwa sugar. Mpira na siasa ni vitu viwili tofauti. Mkutano wako hauna madhara kwangu cos iramba ni nyumbani kwangu. Kama unadhani wewe una madhara kwangu iramba hamishia makao makuu ya chadema kiomboi hapa iramba na zunguka mtaa kwa mtaa halafu tugombee wote iramba hapo hapo. Ukipata hata nusu tu ya kura zangu dr slaa mimi naandika barua kule tume wakutangaze uwe mbunge wa iramba. I repeat again and again dr, you are neither my competitor nor my threat in politics. Am 38 yrs old and you are around 70. You are automatically phasing out of politics while am just starting ( other things remain constant) where were you at 38th my age? Where will i be 10 yrs from now? And you? You are comparing your politics by chance and my politics by tallent.
mbona mapovu yanakutoka kama ccm ingekuwa na mwenye kiti imara na timamu usingepata hiyo nafasi siku ccm ikipata mwenyekiti imara nakuhakikishia haupo kwenye siasa tena.jamaa saizi anakulea unafanya uharifu unavimba kichwa kwa sababu una mtu anakulea,subiri 2015 kama unajitabilia kushamiri kwenye siasa za tanzania mimi nakutabilia kifo kibaya sana kisiasa kwa sababu pamoja na kujitapa kuwa ni msomi wa dalaja la kwanza lakini huna tofauti na mtu ambaye hakwenda chuo kikuu tena anaakili nzuri kwa nchi hii kuliko wewe.hivi umeshachukua muda kujifanyia tathmini kuona wanaccm wenzako wanachukuliaje siasa zako za kipuuzi????