Mwigulu sasa kufanywa ajenda kuu CHADEMA

Mwigulu sasa kufanywa ajenda kuu CHADEMA

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,830
WanaJF!

CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani kina tazamiwa kuwa na ajenda ambazo ni mbadala wa zile za chama tawala ambazo zingeweza kufanya mabadiliko ya hali ukilinganisha na hali ilivyo sasa, badala yake chama hichi kimekuwa 'vuvuzela' kwa kulitaja jina Mwigulu kwenye vikao vyake na mikutano ya chama.

Katika hali hiyo ya CHADEMA kujadili jina la mtu (Mwigulu) na kulifanya jina hilo kuziteka ajenda nyingine za chama ambazo wenda zingekuwa na umuhmu kwa mustakabali wa taifa, ina dhihirisha chama hichi kufirisika kisiasa na kimawazo na hata hadhi yake ya kuwa chama kikuu cha upinzani imezorota.

Aidha, juzi kwenye mkutano aliofanya Dr Slaa hapa Iramba na ule aliofanya Tanga, karibu 90% ya ajenda zake zilikuwa zimemlenga mhe Mwigulu, badala ya kuongelea mambo yanayohusu katiba mpya kama ambavyo imekusudiwa, hii ni hatari sana katika siasa za ushindani.

Lakini vilevile hata ukitazama mijadala mbalimbali ya makamanda wa CHADEMA ambayo ilikuwa na lengo la kujadili mambo yanayohusu utaifa na mambo mengine ya aina hiyo, badala ya kujikita kwenye mada iliyo mbele yao, wao wanaishia kumtaja Mwigulu, sasa wananchi wa kawaida tuwaeleweje CHADEMA?
 
Well, CHADEMA is not like your dearest party, why can't you join Nape's department because always you bring stories of CHADEMA Dr. Slaa only. Why can't you tell us about Drug trafficking, Corruption scandals, mismanagement of our natural resources, the Mtwara situation than focussing on CHADEMA. As far as I understand it is CCM' role to mention CHADEMA through out, and the civic education they CHADEMA are providing is done to the open and not indoors.

We do enjoy reading your substandard observations and comments, but all the same it is your constitutional rights to say whatever you feel like,

WOW!!!!
 
[FONT=comic sans
ms]Well, CHADEMA is not like your dearest party, why can't you
join Nape's department because always you bring stories of CHADEMA Dr.
Slaa only. Why can't you tell us about Drug trafficking, Corruption
scandals, mismanagement of our natural resources, the Mtwara situation
than focussing on CHADEMA. As far as I understand it is CCM' role to
mention CHADEMA through out, and the civic education they CHADEMA are
providing is done to the open and not indoors.

We do enjoy reading your substandard observations and comments, but all
the same it is your constitutional rights to say whatever you feel like,

WOW!!!!
[/FONT]

ulipaswa pia kumpongeza na kumshukuru kwa kazi anayofanya ya kueleza yale yenye manufaa kwa chama chenu na ambayo viongozi wenu hawapendi kusikia yakisemwa hadharani
 
The other leader such as mwigulu nchemba were fool and ignorance coz come from the illiteracy community which are called iramba community.
 
ulipaswa pia kumpongeza na kumshukuru kwa kazi anayofanya ya kueleza yale yenye manufaa kwa chama chenu na ambayo viongozi wenu hawapendi kusikia yakisemwa hadharani

Sawasawa, huyu Jamaa humjui vizuri, maana tumechoka na michapo yake isiyokuwa na kichwa wala miguu. Let us discuss issues and not personalities.
 
Kwa hiyo ulitaka doc Slaa aamuru ges la polish kuwatia mbaroni wahujumu uchumi na wauza sembe wa nchi hii?, sometimes huwa nahic ccm wanajiona Kama wapinzani harafu chadema n chana tawala. Any way, ccm ni watawala, chadema wanaongoza.
 
The other leader
such as mwigulu nchemba were fool and ignorance coz come from the
illiteracy community which are called iramba community.

acha matusi kwa wanyiramba wewe. au kwa vile wamesusia mkutano wa bosi wenu. poleni sana. hapo ndo mtakapotambua kuwa si kila sehemu ni Arusha na kilimanjaro. kigoma mmekataliwa kama ilivyo kwa mikoa ya kusini, mashairiki na kati
 
Sasa Hammy d.
hivi ni nani kageuza mwenzake ajenda kila siku? mbona kila siku ukipost unawazungumzia chadema au hizo sio ajenda?
labda mi sijakuelewa mantiki yako ni nini....

Hana mantiki yoyote zaidi ni pumba tu.....Mwigulu na njama zake zimefeli hana pakutokea sasa anatafuta jina kwa kesi za kupandikiza,nazo kashindwa.
Kila mti anaoshika unatereza.....
 
acha matusi kwa wanyiramba wewe. au kwa vile wamesusia mkutano wa bosi wenu. poleni sana. hapo ndo mtakapotambua kuwa si kila sehemu ni Arusha na kilimanjaro. kigoma mmekataliwa kama ilivyo kwa mikoa ya kusini, mashairiki na kati

Muulize Mwigulu kikao alichofanya na wana Iramba mahudhurio yalikuwaje?
 
Machadema lazima yazae watoto wanaoitwa mwigulu mana hawali hawalali ni mwigulu tu
 
Machadema, kwa usalama wenu mmwagieni tindikali huyu mwigulu, vinginevyo atawasambaratisha
 
Mbona wewe kila siku Dr,Slaa, chadema ndo ajeda yako humu,siku moja utakatwa shingo kama kuku kwa Uongo wako unaoweka humu kila siku
shingo.jpeg
 
Mbona wewe kila siku Dr,Slaa, chadema ndo ajeda yako humu,siku moja utakatwa shingo kama kuku kwa Uongo wako unaoweka humu kila siku
[

chadema na slaa ndio ibilisi na shetani mkuu lazima watajwe sana nyakati za ibada
 
WanaJF!

CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani kina tazamiwa kuwa na ajenda
ambazo ni mbadala wa zile za chama tawala ambazo zingeweza kufanya
mabadiliko ya hali ukilinganisha na hali ilivyo sasa, badala yake chama
hichi kimekuwa 'vuvuzela' kwa kulitaja jina Mwigulu kwenye vikao vyake
na mikutano ya chama.

Katika hali hiyo ya CHADEMA kujadili jina la mtu (Mwigulu) na kulifanya
jina hilo kuziteka ajenda nyingine za chama ambazo wenda zingekuwa na
umuhmu kwa mustakabali wa taifa, ina dhihirisha chama hichi kufirisika
kisiasa na kimawazo na hata hadhi yake ya kuwa chama kikuu cha upinzani
imezorota.

Aidha, juzi kwenye mkutano aliofanya Dr Slaa hapa Iramba na ule
aliofanya Tanga, karibu 90% ya ajenda zake zilikuwa zimemlenga mhe
Mwigulu, badala ya kuongelea mambo yanayohusu katiba mpya kama ambavyo
imekusudiwa, hii ni hatari sana katika siasa za ushindani.

Lakini vilevile hata ukitazama mijadala mbalimbali ya makamanda wa
CHADEMA ambayo ilikuwa na lengo la kujadili mambo yanayohusu utaifa na
mambo mengine ya aina hiyo, badala ya kujikita kwenye mada iliyo mbele
yao, wao wanaishia kumtaja Mwigulu, sasa wananchi wa kawaida tuwaeleweje
CHADEMA?

ar u not ashmed of ur msg. kma umelishwa limbwata vile. nn mantk yko sasa. aru even happy with his actions? no sence.
 
Machadema, kwa usalama wenu mmwagieni tindikali huyu mwigulu, vinginevyo atawasambaratisha

We dogo ndio usiseme kabisaa! Akili zako na ujengaji hoja uliokuwa nao woote umepotea, kiufupi kama vile umelaaniwa, manaake hata humu jamvini ulikuwa unajenga hoja zenye mvuto, siku hizi umebaki na hoja mbili, tatu hivi, kwanza TINDIKALI, pili UGAIDI, kweli una laana mkuu, itakumaliza kabisa, maanake upstairs imeshakwisha sasa bado! Utakuwa kama mwehu mwisho wa siku!
 
Back
Top Bottom