Mwigulu sasa kufanywa ajenda kuu CHADEMA

Anza kwanza wewe kuzungumzia yako ndio uwaambie wenzio
 
HAMY-D, Umesahau kuwa hili ni jamvi la watu wote? Kuna porojo humu, kuna longolongo, kuna ushabiki kuna ushambenga, kuna uongo kuna usingiziaji, kuna matusi na kila aina ya maoni na maono ya watu. Usichukulie mjadala wa humu kuwa ndo msimamo wa CHADEMA. Lengo kuu la chadema kwa sasa litaendelea kuwa ni kuwafumbua WaTZ macho waone hali halisi ya umaskini wao, ukosefu wa huduma muhimu, wizi na uporwaji wa rasilimali zao na hasa baada ya miaka 50 ya utawala wa CCM na kuwaelekeza wananchi jinsi ya kupinga dhuluma hiyo kwa kuiunga mkono CHADEMA, NA KUICHAGUA PINDI UCHAGUZI UTAKAPOFIKA. Mwigulu ni nani hata afanywe agenda ya chadema? Ni mtu ambaye hajui hata sera za chama chake na wala hana hata utashi wa nini Watz wanataka na nini hawataki. Ataishia kusemwa humu jamvini lakini wala si ndani ya vikao vya chama. CHADEMA hatuna muda wa kupoteza!

Wewe ni nani ndani ya chadema?
 
nyani haoini makalio yake
Chadema wanamtaja huyu mtu kwa sababu ya vitendo vyake vichafu bila hivo angewaangamiza zaidi Chadema.
 
WanaJF!

CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani kina tazamiwa kuwa na ajenda ambazo ni mbadala wa zile za chama tawala ambazo zingeweza kufanya mabadiliko ya hali ukilinganisha na hali ilivyo sasa, badala yake chama hichi kimekuwa 'vuvuzela' kwa kulitaja jina Mwigulu kwenye vikao vyake na mikutano ya chama.

Katika hali hiyo ya CHADEMA kujadili jina la mtu (Mwigulu) na kulifanya jina hilo kuziteka ajenda nyingine za chama ambazo wenda zingekuwa na umuhmu kwa mustakabali wa taifa, ina dhihirisha chama hichi kufirisika kisiasa na kimawazo na hata hadhi yake ya kuwa chama kikuu cha upinzani imezorota.

Aidha, juzi kwenye mkutano aliofanya Dr Slaa hapa Iramba na ule aliofanya Tanga, karibu 90% ya ajenda zake zilikuwa zimemlenga mhe Mwigulu, badala ya kuongelea mambo yanayohusu katiba mpya kama ambavyo imekusudiwa, hii ni hatari sana katika siasa za ushindani.

Lakini vilevile hata ukitazama mijadala mbalimbali ya makamanda wa CHADEMA ambayo ilikuwa na lengo la kujadili mambo yanayohusu utaifa na mambo mengine ya aina hiyo, badala ya kujikita kwenye mada iliyo mbele yao, wao wanaishia kumtaja Mwigulu, sasa wananchi wa kawaida tuwaeleweje CHADEMA?

where is the recycle Bin,i see rubish around here?
 
Well, CHADEMA is not like your dearest party, why can't you join Nape's department because always you bring stories of CHADEMA Dr. Slaa only. Why can't you tell us about Drug trafficking, Corruption scandals, mismanagement of our natural resources, the Mtwara situation than focussing on CHADEMA. As far as I understand it is CCM' role to mention CHADEMA through out, and the civic education they CHADEMA are providing is done to the open and not indoors.

We do enjoy reading your substandard observations and comments, but all the same it is your constitutional rights to say whatever you feel like,

WOW!!!!
Mkuu hapo umempigia mbuzi gitaa ukitarajia acheze , hapo sana sana anaelewa neno chadema, Slaa na CCM mengine kiza totoro,!!
 
WanaJF!

CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani kina tazamiwa kuwa na ajenda
ambazo ni mbadala wa zile za chama tawala ambazo zingeweza kufanya
mabadiliko ya hali ukilinganisha na hali ilivyo sasa, badala yake chama
hichi kimekuwa 'vuvuzela' kwa kulitaja jina Mwigulu kwenye vikao vyake
na mikutano ya chama.

Katika hali hiyo ya CHADEMA kujadili jina la mtu (Mwigulu) na kulifanya
jina hilo kuziteka ajenda nyingine za chama ambazo wenda zingekuwa na
umuhmu kwa mustakabali wa taifa, ina dhihirisha chama hichi kufirisika
kisiasa na kimawazo na hata hadhi yake ya kuwa chama kikuu cha upinzani
imezorota.

Aidha, juzi kwenye mkutano aliofanya Dr Slaa hapa Iramba na ule
aliofanya Tanga, karibu 90% ya ajenda zake zilikuwa zimemlenga mhe
Mwigulu, badala ya kuongelea mambo yanayohusu katiba mpya kama ambavyo
imekusudiwa, hii ni hatari sana katika siasa za ushindani.

Lakini vilevile hata ukitazama mijadala mbalimbali ya makamanda wa
CHADEMA ambayo ilikuwa na lengo la kujadili mambo yanayohusu utaifa na
mambo mengine ya aina hiyo, badala ya kujikita kwenye mada iliyo mbele
yao, wao wanaishia kumtaja Mwigulu, sasa wananchi wa kawaida tuwaeleweje
CHADEMA?

Acha kuongea pumba ww! book 7 itakuponza! we mkutano wa Iramba ulikuwepo? nani ulimskia akimtaja mzinzi mwigulu? watu walichukua maoni ya rasim ya katiba wakasepa zao! Iramba ni dhiki tupu ss ndo wazawa acha ushabiki.
 
Wana JF hizi hekaya za Hamy D zipotezeeni pamoja na Nchemda wake,kwani kama hafanyi hivyo hawezi ku-sign buku 7 Lumumba.
 
WanaJF!

CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani kina tazamiwa kuwa na ajenda ambazo ni mbadala wa zile za chama tawala ambazo zingeweza kufanya mabadiliko ya hali ukilinganisha na hali ilivyo sasa, badala yake chama hichi kimekuwa 'vuvuzela' kwa kulitaja jina Mwigulu kwenye vikao vyake na mikutano ya chama.

Katika hali hiyo ya CHADEMA kujadili jina la mtu (Mwigulu) na kulifanya jina hilo kuziteka ajenda nyingine za chama ambazo wenda zingekuwa na umuhmu kwa mustakabali wa taifa, ina dhihirisha chama hichi kufirisika kisiasa na kimawazo na hata hadhi yake ya kuwa chama kikuu cha upinzani imezorota.

Aidha, juzi kwenye mkutano aliofanya Dr Slaa hapa Iramba na ule aliofanya Tanga, karibu 90% ya ajenda zake zilikuwa zimemlenga mhe Mwigulu, badala ya kuongelea mambo yanayohusu katiba mpya kama ambavyo imekusudiwa, hii ni hatari sana katika siasa za ushindani.

Lakini vilevile hata ukitazama mijadala mbalimbali ya makamanda wa CHADEMA ambayo ilikuwa na lengo la kujadili mambo yanayohusu utaifa na mambo mengine ya aina hiyo, badala ya kujikita kwenye mada iliyo mbele yao, wao wanaishia kumtaja Mwigulu, sasa wananchi wa kawaida tuwaeleweje CHADEMA?

puba..v u mkubwb
 
Hamy-D Unaota ndoto ya mchana. Chadema in a agenda za kutosha za kuwakomboa Watanzania. Ndo maana Kama uko makini, katika mkutano wa Baraza la Kitaasisi la Chadema kilichofanyika Igunga hatukuwa na muda wa kupoteza na jina la Mwigulu. Kumbuka Watanzania WANs kero nyingi, Mwigulu can no longer be an agenda, kashindwa kusimamia Jimbo lake Lina kero kibao, wananchi wake walimwaga hadharani. Pamoja na aibu ya kupeleka Timu ya Simba, alivuna alichopata, Mkutano wa Chadema ulidunda Kama ulivyopangwa.
WanaJF!CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani kina tazamiwa kuwa na ajenda ambazo ni mbadala wa zile za chama tawala ambazo zingeweza kufanya mabadiliko ya hali ukilinganisha na hali ilivyo sasa, badala yake chama hichi kimekuwa 'vuvuzela' kwa kulitaja jina Mwigulu kwenye vikao vyake na mikutano ya chama.Katika hali hiyo ya CHADEMA kujadili jina la mtu (Mwigulu) na kulifanya jina hilo kuziteka ajenda nyingine za chama ambazo wenda zingekuwa na umuhmu kwa mustakabali wa taifa, ina dhihirisha chama hichi kufirisika kisiasa na kimawazo na hata hadhi yake ya kuwa chama kikuu cha upinzani imezorota.Aidha, juzi kwenye mkutano aliofanya Dr Slaa hapa Iramba na ule aliofanya Tanga, karibu 90% ya ajenda zake zilikuwa zimemlenga mhe Mwigulu, badala ya kuongelea mambo yanayohusu katiba mpya kama ambavyo imekusudiwa, hii ni hatari sana katika siasa za ushindani.Lakini vilevile hata ukitazama mijadala mbalimbali ya makamanda wa CHADEMA ambayo ilikuwa na lengo la kujadili mambo yanayohusu utaifa na mambo mengine ya aina hiyo, badala ya kujikita kwenye mada iliyo mbele yao, wao wanaishia kumtaja Mwigulu, sasa wananchi wa kawaida tuwaeleweje CHADEMA?
 
Hamy-D Unaota ndoto ya mchana. Chadema in a agenda za kutosha za kuwakomboa Watanzania. Ndo maana Kama uko makini, katika mkutano wa Baraza la Kitaasisi la Chadema kilichofanyika Igunga hatukuwa na muda wa kupoteza na jina la Mwigulu. Kumbuka Watanzania WANs kero nyingi, Mwigulu can no longer be an agenda, kashindwa kusimamia Jimbo lake Lina kero kibao, wananchi wake walimwaga hadharani. Pamoja na aibu ya kupeleka Timu ya Simba, alivuna alichopata, Mkutano wa Chadema ulidunda Kama ulivyopangwa.

Kiongozi,

Naona sasa hivi akaunti yako ya benki inazidi kunawiri tu kwa safari za magumashi za kukusanya maoni ambayo hamna yatakapotumika!!!
 
Dr Slaa napenda utaratibu wako wa kuja huku mitandaoni.
 
WanaJF!

CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani kina tazamiwa kuwa na ajenda ambazo ni mbadala wa zile za chama tawala ambazo zingeweza kufanya mabadiliko ya hali ukilinganisha na hali ilivyo sasa, badala yake chama hichi kimekuwa 'vuvuzela' kwa kulitaja jina Mwigulu kwenye vikao vyake na mikutano ya chama.

Katika hali hiyo ya CHADEMA kujadili jina la mtu (Mwigulu) na kulifanya jina hilo kuziteka ajenda nyingine za chama ambazo wenda zingekuwa na umuhmu kwa mustakabali wa taifa, ina dhihirisha chama hichi kufirisika kisiasa na kimawazo na hata hadhi yake ya kuwa chama kikuu cha upinzani imezorota.

Aidha, juzi kwenye mkutano aliofanya Dr Slaa hapa Iramba na ule aliofanya Tanga, karibu 90% ya ajenda zake zilikuwa zimemlenga mhe Mwigulu, badala ya kuongelea mambo yanayohusu katiba mpya kama ambavyo imekusudiwa, hii ni hatari sana katika siasa za ushindani.

Lakini vilevile hata ukitazama mijadala mbalimbali ya makamanda wa CHADEMA ambayo ilikuwa na lengo la kujadili mambo yanayohusu utaifa na mambo mengine ya aina hiyo, badala ya kujikita kwenye mada iliyo mbele yao, wao wanaishia kumtaja Mwigulu, sasa wananchi wa kawaida tuwaeleweje CHADEMA?

HAMY DADA!

Hata MAVI na kunuka kwake bado husemwa sana lakini bado yanabakia kuwa MAVI!!
 
ZeMarcopolo,
Ni maskini wa moyo na roho ndo daima wanaofikiria "posho". Wenzako wanawaza mbinu ya kukomboa Taifa wewe unawaza posho! Ndo maana watanzania wamewapuuza! Zungumza kwenye mtandao, nenda hadharani uone Kama utakuwa na ujasiri wa kutamka hayo mbele ya watanzania waliopigika kwa miaka hamsini. Saa hizi chadema inapeleka elimu muhimu mpaka kijijini, na hii ndiyo itakayoing'oa CCM. Endelea na Ngonjera yako utaitazama nchi inayoyoma, kana kukusanya Buku zako sasa, vinginevyo utasaga meno!

Kiongozi,

Naona sasa hivi akaunti yako ya benki inazidi kunawiri tu kwa safari za magumashi za kukusanya maoni ambayo hamna yatakapotumika!!!
 
acha matusi kwa wanyiramba wewe. au kwa vile wamesusia mkutano wa bosi wenu. poleni sana. hapo ndo mtakapotambua kuwa si kila sehemu ni Arusha na kilimanjaro. kigoma mmekataliwa kama ilivyo kwa mikoa ya kusini, mashairiki na kati
duh marehemu wanaotembea ni wengi magazeti tv zote zimekuonyesha lakini wewe huelewi Mwigulu ni mnyiramba peke yake mshamba sana ,asiye jua lolote zaidi ya uchawi tu
 
Mkuu HAMY-D

Bulshit.jpg
​
 
Last edited by a moderator:
Aidha, juzi kwenye mkutano aliofanya Dr Slaa hapa Iramba na ule aliofanya Tanga, karibu 90% ya ajenda zake zilikuwa zimemlenga mhe Mwigulu, badala ya kuongelea mambo yanayohusu katiba mpya kama ambavyo imekusudiwa, hii ni hatari sana katika siasa za ushindani.
Kumbe ndiyo wewe uliyepeleka timu ya Simba? Wewe ni mwanaYanga na hata timu ya wabunge wa Yanga wewe huwemo kikosini. Kwa nini usingewaalika Yanga, ambao ni mabingwa wa Kagame Cuf, Community Cup na VPL, ukaamua kuwaalika Simba? Hata kama walikuwa wanamechi na Azam, kwa kuwa katika ladders za Soka za Tanzania kwa sasa, Yanga wako juu kuliko Simba, kwa nini usingewasubiria ili uweze kuleta mwamko mkubwa zaidi kwa wanaIramba wakati wa uzinduzi wa Kagame Cup? Yaani kuwaleta mabingwa, kungekuwa ni kichocheo kikubwa kwa hao contestants than Simba ambayo kwa metrics za soka la Bongo kwa sasa wamechoka?

Cc Pasco wa JF
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi,

Naona sasa hivi akaunti yako ya benki inazidi kunawiri tu kwa safari za magumashi za kukusanya maoni ambayo hamna yatakapotumika!!!

Always ukoo wa Panya huwa wanachofikiria ni wizi tu baba mwizi mama mwizi watoto waizi,mkomba mwizi na ndio hata wapumbavu wengine wanahisi walivyo waizi na qengine waizi kama wao tu

Chama la wezi,majambazi,magaidi
 
Back
Top Bottom