Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,570
Wanaiba ESCROW baada ya hapo wanakwenda kusali. Nilishangaa Lowasa kumuona huko na ufisadi wake wote
Lowasa anaenda kutafuta laana huko kwa TB Joshua.
Wanaiba ESCROW baada ya hapo wanakwenda kusali. Nilishangaa Lowasa kumuona huko na ufisadi wake wote
Sahihisho tafadhali. Mungu hapatikani Nigeria pekee. kuna ukweli unaopindishwa hapa. wanaenda kufuata majini ya TB Joshua huo ndio ukweli.
TB Joshua huwa anatoa hayo majini kwa kutumia JINA LA YESU, kwa hiyo huo ndio uchawi. Nakumbuka hata Yesu walisema anatoa pepo kwa BELZEBUL, yaani mkuu wa mashetani, so no surprise; in other words what you are asserting now was also claimed more than 2000 years ago.
A statement of a very frustrated personality and a demoniac too!!
Inasemekana TB Joshua anatumia mashetani kujipatia Pesa, watu wanakimbilia huko bila kujua watendalo. Mungu anapatikana popote si lazima uende Huko
Mtadanganyana sana lakini tapeli Joshua anapeta tu kwa raha zake...wajinga ndio waliwao ati!
Mungu anapatikana Nigeria?
Frustrated person ni Mwigulu na wewe.
Huwe zi kuniambia unatoka Tanzania unaenda Nigeria kuombewa/kuomba kwa mungu it means hapa hakuna kanisa au huamini kama mungu yupo hapa?
Nyie ndiyo wale mnaojazana kwenye makanisa mbao ya kina Jo Davis, Mwingira na kina Mzee wa upako kuanzia asubuhi mpaka asubuhi mkidai nyie ndiyo mnasali.
Wajinga ndiyo waliwao, panda ndege uende Nigeria.
Ni akili ya kushikiwa tu hii, kama mungu anapatikana Nigeria basi wakristo wote twendeni tukaabudu Nigeria.
Idiot Migulu.
Assume angekuwa hana uwezo wa kwenda Nigeria angeenda kuabudu wapi?
Hii ni kutapatapa kwa kutojiamini na aliyoyafanya so nafsi inamshitaki.
Hata kesho akiambiwa Syria kuna mhubiri makini utasikia kaenda.
Hajiamini huyu.
Mwigulu amehappen kuwa Nigeria siku ya Jumapili na ameamua kuabudu SCOAN, au ulitaka apande ndege awahi ibada ya hapa Dar. After all there is no sin to go to worship anywhere in the world as long as you are able to do so.
Wala sio jambo jipya kufanyika hapa duniani, kuna wakati jemadari wa majeshi ya Shamu alikuwa anaugua ukoma akashauriwa aende Israeli kumuona mtumishi wa Mungu Elisha ili apone and he did so. Akachukua farasi na ujumbe mkubwa sana akasafiri kilometers nyingi mpaka Israel.
Oook, ushauri wako Mwigulu ameupokea akakwea pipa akawahi kwa TB Joshua, na Mimi unanishauri nipande punda au merikebu niende wapi?
Hapana hawapo tofauti, Mungu anawatumia watu kwa namna tofauti na kwa viwango tofauti. Labda nikuulize swali hivi Kikwete anapoteua watu wa kumsaidia kazi huwa wote wanakuwa mawaziri wakuu?Hivi Mungu wa TB Joshua na Mungu wa Kakobe wako tofauti kiuwezo.?
Ushauri gani niliompa Mwigulu, are you following?
Hivi Mungu wa TB Joshua na Mungu wa Kakobe wako tofauti kiuwezo.?