Frustrated person ni Mwigulu na wewe.
Huwe zi kuniambia unatoka Tanzania unaenda Nigeria kuombewa/kuomba kwa mungu it means hapa hakuna kanisa au huamini kama mungu yupo hapa?
Nyie ndiyo wale mnaojazana kwenye makanisa mbao ya kina Jo Davis, Mwingira na kina Mzee wa upako kuanzia asubuhi mpaka asubuhi mkidai nyie ndiyo mnasali.
Wajinga ndiyo waliwao, panda ndege uende Nigeria.
TB joshua alishindwa kutabiri tu jengo lake kudondoka sembesu uraisi 2015? hawa hawana tofauti na waganga wa kienyeji wapiga ramli.
Na mimi ndio najiuliza ni kwamba makanisa ya bongo hayafai au vipi, sasa akipewa uraisi isije ikawa kila jumapili yupo vatican.kwani mungu ndio yupo Nigeria tu?
Usiongee usilolijua.....uliambiwa hakufunuliwa???
Hata Kikwete tuliambiwa ni chaguo la mungu.
Usiongee usilolijua.....uliambiwa hakufunuliwa???
Gaidi muuaji mwizi wa jina hawezi kuwa rahisi kiasi hicho..
Urais ni rahisi siku hiz eeh
Inasemekana TB Joshua anatumia mashetani kujipatia Pesa, watu wanakimbilia huko bila kujua watendalo. Mungu anapatikana popote si lazima uende Huko
Usiongee usilolijua.....uliambiwa hakufunuliwa???
Mr. kikwete amefanya kila mwizi anaamini anaweza kuwa rais.
Mungu yupo popote na kwa yeyote yet nawe uwa unatoka nyumbani kwako na kwenda sehemu nyingine nje ya kwako kusali na wakati mwingine unaomba kwa kupitia watu tena wengine, hapo ndipo ninaposhindwa kuelewa, how mtu aseme maneno kama yako na wakati huohuo anafanya vingine?
Unless uwe uwa unasali nyumbani kwako au husali kabisa kama akina Kiranga vinginevyo nawe ni MJINGA kama unaowaona WAJINGA.
Wajinga Ndiyo Waliwao.