Mwigulu Ndani Ya SCOAN Leo 28.12.14

Mwigulu Ndani Ya SCOAN Leo 28.12.14

wewe ndo umelaaniwa kwa kukashfu watu watumishi wa Mungu shetani mkubwa wewe
Hayo mapepo ninayaamuru yakutoke mara moja uachwe huru mtoto wa Mungu hupaswi kumtumikia shetani kupitia wakala wake joshua
 
HONGERA Mwigulu kwa kuchagua fungu jema.Umeenda mahali sahihi kwa ajili ya roho yako
 
Mtaongea mtanyamaza,ukweli utabakia juwa ukweli.....!nani anakataa kuwa mh.mwigulu anafuata nyayo za mh.lowassa kwa matendo mengi yenye tija na maneno machache,Na kama atapata uwaziri mkuu 2015 na rais akawa mh lowasa bas tz tunaweza kuwa kama nigeria 2035
 
Huyo Tb Joshua mwenyewe hakuweza kutabiri nini kingetokea kuhusu jumba lake lililoporomoka na kuuwa makumi ya watu. Ni viini macho tu hivi watu wachache sana wanaelewa wengi ni washabiki wa mambo wasiyoyajua

Mama acha kuropoka hovyo, huu ndo unafiki wako na chuki za wazi zinavyodhihirija, una uhakika kuwa tb Joshua hakutabiri kuanguka kwa jengo lake? No research no right to speak.
 
Kwani Mungu hana uwezo wa kufika Nigeria?kama hana kizuizi cha kufika huko kwanini asipatikane, anapatika.

Kama mtu akiamua kumwomba Mungu na kupata badiliko la kiroho sio lazima aende Nigeria. Mungu anapatikana popote ilimradi mwombaji awe na imani. Kinachowapeleka watu Nigeria ni mazingaombwe wanapofanya hao wanaojiita watumishi wa Mungu. Bora waende Israel kama kafulila. Nigeria every thing is businesses!
 
Kaenda kuchukua majini ya kichawi zaidi ili aweze kuuwa watu bila kuonekana.
Makanisa mengi ya Nigeria ni uchawi na ushetani tu, hamna lolote.

Hata baada ya kushindwa kutabiri.anguko la kuta za kanisa.lake bado.watu wanamtafuta tu? Hakika vyeo ni hatari
 
Kaenda kusaka uwaziri kamili maana mara ya kwanza upako ulimpa unaibu chezea damu ya kristo atanyoooka tu!

1px.gif
1px.gif


[h=1]Former Liberian warlord 'finds God,' seeks presidency[/h]From Christian Purefoy, CNN
August 5, 2010 -- Updated 1100 GMT (1900 HKT)


ia.liberia.religion.bk.a.cnn.640x480.jpg



Religion and reconciliation



STORY HIGHLIGHTS

  • Former Liberian warlord Prince Johnson says he has found God
  • In 1990 Johnson oversaw the torture and killing of Liberia's former ruler, Samuel Doe
  • Last year it was recommended Johnson be tried for crimes against humanity
  • He's seeking to run for country's presidency next year


Monrovia, Liberia (CNN) -- Prince Johnson -- once a rebel commander in Liberia's civil war, and a man accused of crimes against humanity -- says he has found God.

Twenty years ago, Johnson personally oversaw the torture and killing of Liberia's former ruler, Samuel Doe. Johnson is now a Liberian senator and a likely presidential candidate. And, he says, a changed man.
"No-one who accepts Christ remains the same," Johnson told CNN. "You are a new creature, a new person.
 
Hivi kwanini mafisadi wa ccm wanapenda kwenda kuombewa nigeria ni mbio za urais tu au kuna jingine?
 
Mweleze namna Chadema walivojilipua manake hapo ndo mbinguni si unao ushahidi?
 
Kwa hiyo viongozi wa Tanzania watatoka kwa huyo Mtume Joshua? Tumekwisha.Walipoona nchi inawashinda wakabuni utapeli kwamba huko Loliondo kuna Mchungaji (Babu) mwenye kikombe, aibu gani hii jamani!
 
Hayo mapepo ninayaamuru yakutoke mara moja uachwe huru mtoto wa Mungu hupaswi kumtumikia shetani kupitia wakala wake joshua
hata kichaa huona watu wote ni vichaa isipokuwa yeye wakati yeye ndo kichaa wewe unataka kuombewa utakuwa na mapepo
 
Back
Top Bottom