hata kichaa huona watu wote ni vichaa isipokuwa yeye wakati yeye ndo kichaa wewe unataka kuombewa utakuwa na mapepo
sina muda wa kushindana na shetani kama weweKweli nyani haoni kundule...badala ya kumtumikia Mungu ninyi mnatumikia mwanadamu (Joshua) kama sio kutafuta laana ni nini? acha joshua na matapeli wengine wajilie vya wajinga kama nyie
Sitaacha kuwaelimisha waaathirika wa matapeli wanaotumia jina la dini kama tb joshua. mmoja wapo wa waathirika hao ni wewe uko "brainwashed" hata hujitambui.sina muda wa kushindana na shetani kama wewe
Huyu ndo rais wa 2015. Atibuka ghafla na MUNGU atakuwa upande Wake na kushinda urais. Ni kijana atakayeleta mabadiliko makubwa sana katika hii nchi
sijakusudia kutukana leoSitaacha kuwaelimisha waaathirika wa matapeli wanaotumia jina la dini kama tb joshua. mmoja wapo wa waathirika hao ni wewe uko "brainwashed" hata hujitambui.
akili za kuambiwa changanya na za mumeo umetengeneza wewehii picha kama ya kutengeneza vile..
Wanajamvi Salaam,
Katika Muda Na Saa Hii Mh. Mwigulu Yuko Katika Kanisa La Nabii TB Joshua Lagos Nigeria Akiabudu.
Katika Siku za Karibuni Mwenendo Na Tabia Za Mbunge Huyu Wa Iramba Na Naibu Wa Fedha Zimebadilika. Amekuwa Mstaarabu Katika Kauli Zake. Je, Ameamua Kuokoka Na Kubadilika Kweli Au Kuna jingine?
Napenda Sana Aendelee Kuwa Katika Njia Hii.
Mfuasi wa TB Joshua anatukana?sijakusudia kutukana leo
aliyekuambia mimi ni mfuasi wake ni nani huwa sipendi upotoshaji unaofanywa na wahuni wachache kama weweMfuasi wa TB Joshua anatukana?
aliyekuambia mimi ni mfuasi wake ni nani huwa sipendi upotoshaji unaofanywa na wahuni wachache kama wewe
kumtetea mtu lazima uwe mfuasi wakemara hii umeanza kumkana nabii wako? haya sasa majanga
huyu ndie naibu waziri wa fedha na uchumi. nchii hii ni vigumu kuendelea kama ma ministers wana kuwa wafuasi wa kuabudu uchawi na misukule.
kuwa na waziri anae amini kutibiwa ukimwi kwa uchawi
au waziri anaemini kutibiwa cancer kwa uchawi
hakika Tanzania ni hasara tupu. Kikwete mfukuze huyu hawezi kuwa na mawazo na weledi kuongoza wizara hii.
hatuwezi kuwa na waziri anaeamini uchawi na kutoa mapepo dunia hii ya sayansi ...mfute kazi haraka

naangalia emmanuel tv hapa naona kuna bendera kama kumi hivi za tanzania akiwemo mwigulu nchemba. Ni jambo la kutia faraja kuona watu wanamkimbilia mungu!!