Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,083
- 9,250
[video=youtube_share;DKgnvkhbih8]http://youtu.be/DKgnvkhbih8[/video]
Fedha ya uma inalipiwagwa kodi??
TBJoshua siyo mtumishi wa Mungu. Ni mtu anayelipwa kama Shehe Yahaya kufanya spining za politics ili kuwaandaa kisaikolojia watu kama nyinyi ambao hata kusoma biblia kmekuwa shida. Umeona wapi Yesu akishirikiana na makuhani na manabii wa uongo? soma Yohana 10 yote ujue maana ya mtumishi wa Mungu. Huyu TB Joahua yuko busy kutabiri viongozi qanaokuja kwa kitumia taarifa ya vyombo vya usalama vya nchi husika. na amini nakuambia, hawezi toa utabiri wa TZ kwa sasa mpaka ajirishe jinsi serikali ilivyojiandaa kuiba kura na aone ni scientifically possible. vinginevyo anauchuna! TB Joahua ni tapeli la kutupwa na kama ananguvu za kinabii anilaani mie tuone!
Naangalia Emmanuel TV hapa naona kuna bendera kama kumi hivi za Tanzania akiwemo Mwigulu Nchemba. Ni jambo la kutia faraja kuona watu wanamkimbilia Mungu!!
anataka uwaziri wa fedha? Wakati mkuya nae kaenda kujaza mapepo tanga
Tb joshua akisema aongee utabiri na madhambi ya huyo jamaa mtazima tv zenu, ana dhambi ya mauaji huyu
Heri ya huyu aliyekwenda kanisani kuliko wale waliokwenda kugonga kikombe cha babu pande za Samunge Loliondo e.g Steven Wassira, Willium Lukuvi, John Magufuli, Jakaya Kikwete etl.
TBJoshua siyo mtumishi wa Mungu. Ni mtu anayelipwa kama Shehe Yahaya kufanya spining za politics ili kuwaandaa kisaikolojia watu kama nyinyi ambao hata kusoma biblia kmekuwa shida. Umeona wapi Yesu akishirikiana na makuhani na manabii wa uongo? soma Yohana 10 yote ujue maana ya mtumishi wa Mungu. Huyu TB Joahua yuko busy kutabiri viongozi qanaokuja kwa kitumia taarifa ya vyombo vya usalama vya nchi husika. na amini nakuambia, hawezi toa utabiri wa TZ kwa sasa mpaka ajirishe jinsi serikali ilivyojiandaa kuiba kura na aone ni scientifically possible. vinginevyo anauchuna! TB Joahua ni tapeli la kutupwa na kama ananguvu za kinabii anilaani mie tuone!
Japo siamini hili ila yawezekana kweli kuzaliwa mtanzania ni laana! ni unafiki gani huu tunaleta hata mbele ya Mungu? Mungu si binamu au shemeji yenu! tumeshindwa siasa tunataka kuhamia kanisani?hamuamini mtu anapobadilika!! suala ni kuona uelekeo yake!!
Bila kumtaja Wassira Siku yako haipiti.Heri ya huyu aliyekwenda kanisani kuliko wale waliokwenda kugonga kikombe cha babu pande za Samunge Loliondo e.g Steven Wassira, Willium Lukuvi, John Magufuli, Jakaya Kikwete etl.
Ushindwe na ulegee!!
kamuulize JK atakujibu
Nilihitaji jibu toka kwa niliyemwuliza. I hope it wasn't you!. Alright?
Na wewe kumbe ni msukule wa tapeli Joshua?
Kwenye makanisa mengine ni kama kwa waganga tu au hata mbaya zaidi
Pole...amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na kumwacha BwanaTB Joshua hana wasukule .shetani ndo ana wasukule wengi kama wewe.
Huyo Tb Joshua mwenyewe hakuweza kutabiri nini kingetokea kuhusu jumba lake lililoporomoka na kuuwa makumi ya watu. Ni viini macho tu hivi watu wachache sana wanaelewa wengi ni washabiki wa mambo wasiyoyajua