TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,087
- 3,392
mwigulu ni gaidi ,nami ninaushahidi hapa duniani na mbinguni pia
kama unao kwel naomba nikusindikize kumshtaki coz cmpendi huyu jamaa hadi basi yaanii.....
mwigulu ni gaidi ,nami ninaushahidi hapa duniani na mbinguni pia
Mhariri wa gazeti la JAMHURI Deodatus Balile amedai kushangazwa na hatua ya Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba kushambulia vyombo vya habari bungeni kwa madai kuwa vyombo hivyo kazi yake ni kufanya uchochezi.
Akizungumza katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha Star TV asubuhi hii Balile amewapongeza wabunge Peter Serukamba na Jenister Mhagama wa CCM walioungana na wale wa upinzani kulaani mswada wa serikali wa kuzidi kukandamiza wanahabari.
Mwigulu Nchemba akichangia Mswada huo bungeni kwa kutumia lugha kali na ya kuudhi alivishambulia vikali vyombo vyote vya habari na hasa magazeti kwa madai kuwa lengo lao kubwa ni kutaka nchi isitawalike.Pia alilaani Chadema kwa kutoa hotuba ya upinzani iliyokuwa inatetea wanahabari.
Mwigulu alifika mbali kusema kwamba serikali ifanye haraka kuchunguza pasi za kusafiria wale wote wanaopinga mswada huo wa kukandamiza waandishi wa habari.Kwani alidai yeyote anayepinga mswada huo sio mzalendo!
Hata hivyo bunge liliukataa mswada huo kwa kauli moja hali iliyomsononesha sana Mwigulu Nchemba.
Mwigulu akiongea nahisi kinyaa. nakasirika sana! Nakumbuka mbinu zake za kigaidi, uuwaji na ujambazi alivyofanya kwa wananchi wasiokuwa na hatia. Mungu alipize kisasi juu yake.
usinitafutie ban humu ndani ya JF, nani kakuambia kuwa watu wa singida ni washamba. Mshamba ni ww ambaye hujawahi fika Singida.
Ujinga anaofanya Mwigulu usikufanye ututukane watu wa Singida, ila jamaa Mwigulu anatia aibu, jamaa anawaza hovyo hovyo kama mtu ambaye hana exposure yoyote, hata wengine wasio na exposure nao nawaona wanawaza vizuri kuliko yeye, hivi tuseme jamaa shule haikumfungua kabisa namna bora ya kuona mambo?
i know u, mwigulu, are reading this comment, let us hear from you
Siasa za mwigulu zimeshindwa na zimepitwa na wakati, nchi ilishatoka kwenye siasa za zidumu fikra za mweneyekiti zamani sana yeye hasipobadilika upepo wa mabadiliko utamzoa
Mhariri wa gazeti la JAMHURI Deodatus Balile amedai kushangazwa na hatua ya Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba kushambulia vyombo vya habari bungeni kwa madai kuwa vyombo hivyo kazi yake ni kufanya uchochezi.
Akizungumza katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha Star TV asubuhi hii Balile amewapongeza wabunge Peter Serukamba na Jenister Mhagama wa CCM walioungana na wale wa upinzani kulaani mswada wa serikali wa kuzidi kukandamiza wanahabari.
Mwigulu Nchemba akichangia Mswada huo bungeni kwa kutumia lugha kali na ya kuudhi alivishambulia vikali vyombo vyote vya habari na hasa magazeti kwa madai kuwa lengo lao kubwa ni kutaka nchi isitawalike.Pia alilaani Chadema kwa kutoa hotuba ya upinzani iliyokuwa inatetea wanahabari.
Mwigulu alifika mbali kusema kwamba serikali ifanye haraka kuchunguza pasi za kusafiria wale wote wanaopinga mswada huo wa kukandamiza waandishi wa habari.Kwani alidai yeyote anayepinga mswada huo sio mzalendo!
Hata hivyo bunge liliukataa mswada huo kwa kauli moja hali iliyomsononesha sana Mwigulu Nchemba.
mwigulu ni gaidi ,nami ninaushahidi hapa duniani na mbinguni pia
usinitafutie ban humu ndani ya JF, nani kakuambia kuwa watu wa singida ni washamba. Mshamba ni ww ambaye hujawahi fika Singida.
Ujinga anaofanya Mwigulu usikufanye ututukane watu wa Singida, ila jamaa Mwigulu anatia aibu, jamaa anawaza hovyo hovyo kama mtu ambaye hana exposure yoyote, hata wengine wasio na exposure nao nawaona wanawaza vizuri kuliko yeye, hivi tuseme jamaa shule haikumfungua kabisa namna bora ya kuona mambo?
i know u, mwigulu, are reading this comment, let us hear from you
mjadala uendeleeMwigulu, hajawahi kutamka neno moja jema kwenye kunywa chake ......
Tuache chuki binafsi. Balile ni mzuri katika kuona na kupresent arguments zake. Ni dhambi kubwa kumlinganisha kipanga kama Balile na Mwigulu.
msimlaumu mwigulu, sio makosa yake.....
Balile amekuwa "kipanga" lini? Deodatus Balile nimemfahamu tangia akiwa anafundisha Secondary ya Mugeza huko Mkoani Kagera na baadaye akawa "puppet" wa Rostam Aziz - Leo unamwita "kipanga"? SOB!!!