Mwigulu Nchemba ni tatizo-Balile

Mwigulu Nchemba ni tatizo-Balile

Tatizo la watu kama akina Balile ni wabinafsi sana! Wakati watu karibia wote ukiacha ile Misukule ya buku 7 ya Lumumba, wanamlalamikia huyu gaidi yeye aliziba masikio aliona hayamuhusu, leo hii, gaidi, Taswira kapiga kwenye maslahi yake ndio anajifanya kumfahamu. Nyambaff! Tulia akunyoe mpaka nywele za kikalio.
umeona eeh,huyu balile ni bonge ya mnafiki.
 
Tatizo la watu kama akina Balile ni wabinafsi sana! Wakati watu karibia wote ukiacha ile Misukule ya buku 7 ya Lumumba, wanamlalamikia huyu gaidi yeye aliziba masikio aliona hayamuhusu, leo hii, gaidi, Taswira kapiga kwenye maslahi yake ndio anajifanya kumfahamu. Nyambaff! Tulia akunyoe mpaka nywele za kikalio.

Balile ameongea ukweli Mtupu.
 
Mwigulu amapata ubunge kwa sababu ya ukosefu wa elimu ya uraia kwa watu wetu! Nawaonea huruma sana wananchi wa iramba magharibi! Pia hata ccm huu ni mzigo mzito sana kwa chama!
 
Hivi jamani tindikali wanauza wapi.mbona huyu mgulu hamwagiwi..yeye kuuwa wenzake tu..%-)
 
Mwigulu hana cha kufanya zaidi ya kupanga ugaidi na kuwashambulia wale wanao litetea Taifa.
 
Naomba sana mwigulu apandishwe cheo awe katibu mkuu na naibu awe shonza!
Kwa timu hiyo hatutakuwa na Cdm tena!
 
Wanaomtetea Mwigulu nao wameoza akili. Huyu jamaa ni tatizo katika nchi hii. Kama ukifuatilia kauli zake nyingi unaona zimejaa utoto na ujinga. Mtu anayedhani Mwigulu ni mzalendo akapimwe akili. Binafsi naona kama amechanganyikiwa tu.
 
Mwigulu atabaki kuwa tishio kwenu, maana hata kujenga hoja hamjui, sana sana mnajua kutukana tu!

Ndugu yangu hebu ficha walau aibu yako kidogo.

Chukua kidogo walau busara za mbunge wenu Peter Serukamba aliyesema ni ukichaa kudhani wanaopinga mswada huu hawana uzalendo!
 
Tumaini Makene hivi ule mpango wa kuanzisha chadema radio and tv umeishia wapi.

Hivi kwenye mazingira ya sasa ya Soko huria na utandawazi, unahitaji kweli Chama cha siasa kuwa na vyombo via propoganda Kama radio, tv na magazeti? Kwa nini tusiimarishe uhuru wa vyombo via habari na sheria inayowataka kutenda kwa kujiimarisha ili wananchi tupewe taarifa zilizokamilika.

Binafsi nitaunga mkono Chama kitakachopigania ili kuliko kukimbilia kuanzisha vyombo via habari ambavyo vitakuwa vinawapamba tu na kupinga wapinzani wao.
 
Last edited by a moderator:
hahah wapi papa mwigulu.................. mzee wakutombokatomboka
 
hahah wapi papa mwigulu.................. mzee wakutombokatomboka
 
Balile yupo sahihi.

Katika mapambano haya ni lazima tuunganishe nguvu maana msingi bora wa tasnia ya habari hujenga taifa bora na lenye ukomavu kidemokrasia.

Balile ni wale wale kijana nani asiye mfahamu akiwa mtanzania wakati wa Campain alitukana hadi kilamtu hasa upinzani kwa project ya mamilioni aliyopewa na baada ya kumaliza bazi aliyopewa alijiuzulu na kuanzisha hicho Kigazeti eti naye anajifanya anafany areportingy auchunguzi nani asyejua kuwa Balile ni Mnafiki anayejikomba kutetea wanyonge awakati ni Masaliti mkubwa kichinichini. Nawe saa nane hebu Jibu tuhuma za kuwa kwenye kikundi hasi chca ZITO tunaanza kupoteza uaminifu nawe ni kweli UkoKwenye Mgawo wa 150,000? Jibu tuhuma hizo tafadhali
 
Back
Top Bottom