nahisi Mwigulu anatumia ile kitu ya sekei, sio bure
huwa anaropoka sana bila kufikiria.
Ki2 ya sekei ndo ipi hiyo?
kitu ya sekei inapatikana pia mkoa wa mara
imesomesha vijana wengi...hilo ni fumbo kwako
vijana wa sekei wengi wanaitumia wakiwa mto Themi ndio maskani yao
mmmmmhhhh!!!!!!! that is too general, sample ya mtu mmoja, ndiyo imekufa utoe hilo hitimisho. Hapana kigoli, tutendee haki wanasingidani kweli wanasingida washamba,
case study:mwigu
Hivi unadhani kila mtu ni presidential material?Mwigulu Nchemba ni jembe!
akipitishwa na chama kuwania urais nitampa kura yangu