Mwigulu Nchemba ni tatizo-Balile

Mwigulu Nchemba ni tatizo-Balile

Ushamba wa singida unamsumbua.
usinitafutie ban humu ndani ya JF, nani kakuambia kuwa watu wa singida ni washamba. Mshamba ni ww ambaye hujawahi fika Singida.
Ujinga anaofanya Mwigulu usikufanye ututukane watu wa Singida, ila jamaa Mwigulu anatia aibu, jamaa anawaza hovyo hovyo kama mtu ambaye hana exposure yoyote, hata wengine wasio na exposure nao nawaona wanawaza vizuri kuliko yeye, hivi tuseme jamaa shule haikumfungua kabisa namna bora ya kuona mambo?
i know u, mwigulu, are reading this comment, let us hear from you
 
Balile naye si yupo "upande" wa akina "chemba"?

Tuache chuki binafsi. Balile ni mzuri katika kuona na kupresent arguments zake. Ni dhambi kubwa kumlinganisha kipanga kama Balile na Mwigulu.
 
Mnahitaji matukio magambi kumshangaa Mwigulu! Ameishafanya mengi mabaya, upendeleo wa vyombo vya usalama juu yake ni chanzo cha machafuko tnzn. Sidhani kama vijana wenye.akili timamu wanaweza kumvumilia Mwigulu. Lakini kibaya zaidi, mwigulu yuko tayari kwa lolote ikiwemo kuongoza genge la vijana wenye njaa kufanya maasi 2015 asipodhibitiwa.
 
Mwigulu janga kubwa la taifa

Mwigulu Nchemba ni kivuli cha Shetani, natoa ilani kwa maaskofu, wachunganji, mapadre, na wakristo wafunge na wafanye maombi kumuomba mungu aing'oe roho ya uovu na ushetani aliyo nayo mnyiramba huyu.
 
Amemzungumzia absolom kibanda katika mahojianao hayo,akidai walishawai kumpa onyo kama kupitia jukwaa la wahariri lakini akusikia na siku chache baadaye gazeti analolihariri likafungiwa Kwa siku 90.Inavyoonekana kana kwamba kuna msuguano wa chin I Kwa chini baina ya hawa wawili,kwani balile alienda mbali zaido na kuonesha mashaka na uwezo wa kibanda kama mwandishi wa habari.
 
Balile yupo sahihi.

Katika mapambano haya ni lazima tuunganishe nguvu maana msingi bora wa tasnia ya habari hujenga taifa bora na lenye ukomavu kidemokrasia.

Aina ya viongozi kaliba ya Mwigulu ni hatari sana.Nakubaliana na comment ya Professa wangu mmoja kuwa Mwigulu hakutarajia kufikia hapo alipo hivyo anayoyafanya ni Paniki tupu akidhani watanzania wa leo ni wakufanyiwa mizaha.

Naamini ni kati ya wanasiasa wanaongoza kuchukiwa na Watanzania wengi haswa wapenda ukweli na amani.
 
NaweA kumfananisha Mwigulu na Okwonko wa Things Fall Apart. Huyu kwa kwa alikuwa anadhani anaheshimika alikuwa hayuko tayari kuchukua ushauri wo wote. Kwa sababu hiyo alikuwa anatumia nguvu kuliko akili. Kila mtu kwake alikuwa hana akili na alitaka kila mtu amsikilize yeye. Watu wa namna hii hawafiki mbali. Hatimaye alijiua baada ya kugundua yuko peke yake. Mwigulu atakapogundua hana watu nyuma yake isipokuwa hawa wa b7 sijui atafanya nini?
 
Mwigulu akiongea nahisi kinyaa. nakasirika sana! Nakumbuka mbinu zake za kigaidi, uuwaji na ujambazi alivyofanya kwa wananchi wasiokuwa na hatia. Mungu alipize kisasi juu yake.
 
Mwigulu ni janga la Taifa. Nimefuatilia mjadala huu na kuona ni jinsi gani waandishi wa habari walivyokereka na muswada ule uliokataliwa na wabunge wengi pasipo kuangalia itikadi za vyama vyao na kutetea maslahi ya umma zaidi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

mkuu upo?kuna mahali nimeona jina lako hata cjaamin!haya bwana!
 
Mwigulu ni janga la Taifa. Nimefuatilia mjadala huu na kuona ni jinsi gani waandishi wa habari walivyokereka na muswada ule uliokataliwa na wabunge wengi pasipo kuangalia itikadi za vyama vyao na kutetea maslahi ya umma zaidi.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Ni kweli ulipokea pesa zetu walipa kodi kuvuruga CDM? Kweli wewe na Zitto mnafanya biashara ya kupeana pesa kama wachumba? Please thibitisha au kanusha
 
"Mwigulu alifika mbali kusema kwamba serikali ifanye haraka kuchunguza pasi za kusafiria wale wote wanaopinga mswada huo wa kukandamiza waandishi wa habari.Kwani alidai yeyote anayepinga mswada huo sio mzalendo!"

Hivi huyu kichaa kichwa chake ni hekalu la "UBONGO" au ndani kinatunza kinyesi???

Na kama ndani kinatunza ubongo je tuna uhakika kuwa anapofungua mdomo kuna kuwa na connection yoyote kati ya mdomo na ubongo?? Mimi ninahisi connection ipo kati ya mdomo na "KINYEO" chake unless othewise kichwa chake kiwe kimejaa kinyesi... ETI naye ni naibu katibu mkuu wa ccm!!!

Mwl. Nyerere (RIP) atakuwa anagalagala kaburini kwa uchungu!!!!
 
Hongera zake nyingi sana huyo Mzee. Huyu jamaa ni mtu hatari sana sana katika jamii yetu. Mambo anayoyafanya yameshasababisha umwagaji damu nchini nchini lakini bado anaendelea na kauli zake za ajabu ajabu za kuchochea machafuko nchini.

Nimepita mahali wazee wanamjadili Mwigulu. Mzee mmoja tena mwenye hekima akasema huwa akimwona Mwigulu anazungumza kwenye tv anazima tv
 
Mhariri wa gazeti la JAMHURI Deodatus Balile amedai kushangazwa na hatua ya Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba kushambulia vyombo vya habari bungeni kwa madai kuwa vyombo hivyo kazi yake ni kufanya uchochezi.

Akizungumza katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha Star TV asubuhi hii Balile amewapongeza wabunge Peter Serukamba na Jenister Mhagama wa CCM walioungana na wale wa upinzani kulaani mswada wa serikali wa kuzidi kukandamiza wanahabari.

Mwigulu Nchemba akichangia Mswada huo bungeni kwa kutumia lugha kali na ya kuudhi alivishambulia vikali vyombo vyote vya habari na hasa magazeti kwa madai kuwa lengo lao kubwa ni kutaka nchi isitawalike.Pia alilaani Chadema kwa kutoa hotuba ya upinzani iliyokuwa inatetea wanahabari.

Mwigulu alifika mbali kusema kwamba serikali ifanye haraka kuchunguza pasi za kusafiria wale wote wanaopinga mswada huo wa kukandamiza waandishi wa habari.Kwani alidai yeyote anayepinga mswada huo sio mzalendo!

Hata hivyo bunge liliukataa mswada huo kwa kauli moja hali iliyomsononesha sana Mwigulu Nchemba.
Nchemba anatakiwa kuchunguzwa akili. Naona uwezo wake kitaaluma ni wa chini sana kulinganisha wadhifa mkubwa aliopewa na chama chake.
 
"Mwigulu alifika mbali kusema kwamba serikali ifanye haraka kuchunguza pasi za kusafiria wale wote wanaopinga mswada huo wa kukandamiza waandishi wa habari.Kwani alidai yeyote anayepinga mswada huo sio mzalendo!"

Hivi huyu kichaa kichwa chake ni hekalu la "UBONGO" au ndani kinatunza kinyesi???

Na kama ndani kinatunza ubongo je tuna uhakika kuwa anapofungua mdomo kuna kuwa na connection yoyote kati ya mdomo na ubongo?? Mimi ninahisi connection ipo kati ya mdomo na "KINYEO" chake unless othewise kichwa chake kiwe kimejaa kinyesi... ETI naye ni naibu katibu mkuu wa ccm!!!

Mwl. Nyerere (RIP) atakuwa anagalagala kaburini kwa uchungu!!!!

Nimeshindwa kujizuia kucheka!
 
=mwakabokousinitafutie ban humu ndani ya JF, nani kakuambia kuwa watu wa singida ni washamba. Mshamba ni ww ambaye hujawahi fika Singida.
Ujinga anaofanya Mwigulu usikufanye ututukane watu wa Singida, ila jamaa Mwigulu anatia aibu, jamaa anawaza hovyo hovyo kama mtu ambaye hana exposure yoyote, hata wengine wasio na exposure nao nawaona wanawaza vizuri kuliko yeye, hivi tuseme jamaa shule haikumfungua kabisa namna bora ya kuona mambo?
i know u, mwigulu, are reading this comment, let us hear from you

bora umwambie huyo kijana...mwigulu kwanza sio mtu wa singida ni msukuma sijui kutoka wap kulee..
gambushi#
 
Back
Top Bottom