Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

Status
Not open for further replies.
Mkuu Ritz,
Mbowe ni rafiki yangu toka nikiwa Undergraduate pale Mlimani. Familia yake na yangu zinajuana vizuri. Nakuhakikishia kabisa! Mbowe hana Mtoto anaesomesha Chekechea sasa hivi. Na ukumbuke kwamba si kila mtoto mwenye Surname ya Mbowe ni Mtoto wa Freeman Aikael Mbowe.

TUMBIRI (PhD, University of Hull - UK),

tumbiri@jamiiforums.com

Kama kweli hunamjua vizuri Mbowe na jamaa yako kasoma wapi University?
 
Last edited by a moderator:
Katika uzi kama huu ndio utakapowajua CDM, yaani kama wana akili za kushikiwa, wanatetea kila jambo!

Hivi kwa akili zenu, ada kwa mwaka chekechea karibu milioni 20 useme haina shida?
Ila ccm wamefilisika kisera vibaya kweli, wajaribu kujenga chama kwa mbinu bunifu zaidi pengine wataeleweka. Yule anatumia hela yake tena halali kabisa. Hapa swala siyo ushabiki bali ni logic ya maneno ya Mwigulu haipo kabisa. Character assassination ya viongozi wa chadema haiwezi kuwasaidia ccm. Wao washinikize serikali yao imalize umasikini unaowatesa Watanzania.
 
Wanashangaa kwamba inakuwaje Mbowe anamlipia mwanae pesa ndefu wakati kwenye mgao wa EPA, RICHMOND, RADAR, NDEGE YA RAIS na MISAMAHA YA KODI hayumo!?

Mwita
Mapenzi yamekugeuza kipofu hizi ni pesa zetu za ruzuku ndio sababu hawataki kuhojiwa matumizi ya ruzuku; mwizi ni mwizi tu iwe EPA, RADAR na vinginevyo. Chadema siku zote mnajaribu kutofautisha malaya na kahaba wote shughuli yao ni moja.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Mkuu hakuna haja ya ku-google kuna member mwenzetu humu JF Mkira anamsomesha mtoto wake kwa mwezi analipa 850000 kwa mwaka analipa 10200000.

Analipa wapi huko? Kumbuka umaskini unavyowalazimisha baadhi yetu kukubali matumizi makubwa ili eti waonekane wa maana. Sijui tangu lini mtu wa maana akawa na matumizi makubwa.

Analipa wapi? nchi gani? usikubali analosimuliwa. Kama kuna mtu anamchaji hivyo basi huyo Mkira wa ajabu! Au kahamishia maisha ya mtoto shuleni?
 
hapa ndio unapoweza kufanya upembuzi yakinifu.
Kama kweli mbowe anafanya hayo huo ni uchoko bila kujali pesa izo amezipataje !
Uongoz huanzia ngazi ya familia lakini kama ndo mbowe huyu anayelalamikaga serikali ina matumizi ovyo ya pesa yeye ndo atazd kwa mfano huu.
 
Huko nyuma CCM walikuja na kelele nyingi sana kuhusu malipo ya Dr Slaa, lakini walipoulizwa malipo ya katibu wao Mukama hawakutaka kutoa jibu! Sasa wanakuja na ada ya mtoto wa Mbowe lakini hawatupi details za ada za watoto wao? au wanawasomesha shule za kata?
 
PHD yako haijakusaidia, kwa nchi masikini kama TZ, na kwa mtu kama mbowe anayejidai kutetea umasikini wa watanzania, kama kweli 20M kwa mwaka just kwa chekechea si pesa ndogo. kwa hiyo hoja ya sh ngapi inamata sana.

WE nani kakueleza watz ni maskini...!!!umaskini wa watz unaletwa na ccm ndio maana tunataka tuing'oe..hapo kubalini mmeteleza..tafuteni hoja nyingine labda..period
 
Hivi jamaa kasoma kweli?. Mbowe kumlipia mwanaye pesa hiyo bado hakutoi u uhalali wa ccm na serikali kuwaibia watanzania. Ningekuwa karibu na mpuuzi huyu ningemlamba makofi.
 
PHD yako haijakusaidia, kwa nchi masikini kama TZ, na kwa mtu kama mbowe anayejidai kutetea umasikini wa watanzania, kama kweli 20M kwa mwaka just kwa chekechea si pesa ndogo. kwa hiyo hoja ya sh ngapi inamata sana.

Wewe kweli hutumii akili yako. Hivi kwa akili yako tu ya kawaida kama kuna shule kama hiyo unafikiri ni mtoto wa Mbowe tu ndiye anasoma huko?? Na kama ipo mbona hakuitaja jina la hiyo shule ili tujue kama akina EPA, Vijisenti watoto wao hawapo huko!!
 
Inamaana Mbowe nae kasoma UDSM ile advance Diploma yake? Maswala ya wwe kukana kuwa mbowe hana mtoto wa chekechea sio sahihi muacha mwenyewe ajitokeze majukwani kukubali ama kukanusha ukweli kuwa mamilioni ya watanzania wanalala njaa yeye anatumia 20millioni kwa kulipa ada ya chekechea kwa kinda moja, huku akihubiri usawa kwa wote amuige hata nyeyere basi;
Mkuu Ritz,
Mbowe ni rafiki yangu toka nikiwa Undergraduate pale Mlimani. Familia yake na yangu zinajuana vizuri. Nakuhakikishia kabisa! Mbowe hana Mtoto anaesomesha Chekechea sasa hivi. Na ukumbuke kwamba si kila mtoto mwenye Surname ya Mbowe ni Mtoto wa Freeman Aikael Mbowe.

TUMBIRI (PhD, University of Hull - UK),

tumbiri@jamiiforums.com
 
nadhani mbowe yupo kutetea maslahi ya watanzania dhidi ya utawala uliozeeka wa CCM
kama anamsomesha mwanae kwa hela halali za jasho lake hakuna ubaya
ila angekuwa anatuibia watanzania na kumsomesha mwanae kama wafanyavo CCM
hapo ndio ninegona ubaya.
ni fedha zake ana uhuru wa kuzitumia au ulitaka azigawe?
kwanini CCM wasitugawie hizo walizouzia twiga.madini yetu, viwanja arusha wanauza kwa wageni wkt kisheria mgeni haruhusiwi kumiliki ardhi lakini wengi wameuziwa tena kiholela tu?
Ningemuona wa maana huyu mvaa skafu ya taifa anaejidai msafi
huku tunajua aliwaibia wenzie kwa kuwazidi kete wkt wa uchaguzi wa arumeru
anegetuambia chama chake anachokiabudu kimetutendea
nini watanzania tangu uhuru zaidi ya ufisadi na maneno mengi ya hadaa.
hiyo first class yake ni kudesa tu hajaisotea ndio maana akaona siasa kwake
ndio ufunguo wake wa maisha na sio elimu alioidesa
 
Salute mkuu na bado tunaandaa details za shoping wanazowafanyia mahawara zao nchini France na Marekani stay tuned
hapa ndio unapoweza kufanya upembuzi yakinifu.
Kama kweli mbowe anafanya hayo huo ni uchoko bila kujali pesa izo amezipataje !
Uongoz huanzia ngazi ya familia lakini kama ndo mbowe huyu anayelalamikaga serikali ina matumizi ovyo ya pesa yeye ndo atazd kwa mfano huu.
 
Wewe kiboko mkuu unamlipia mtoto wako 850000 kwa mwezi, kwa mwaka unalipa 1020000 shule gani mkuu wangu?

We Riz nakwambia madrasa na shule za kata zimekuharibu.Mkuu Mkira amesema analipa 0.85m kama PAYE na hiyo haitoshi kwenye kuweka mambo ya shule sawa na hivyo inabidi amsomeshe mwanaye kwenye shule ya 1.0m9hajasema kwa mwezi; itakuwa ni kwa mwaka) na pia anakatwa 70,000 NHIF lakini huduma bure kabisa.

Sensa njema mkuu..unasalimiwa na HR na wanauamsho
 
hivi kuna viongozi wa ccm ili wapande jukwaani ni lazima wavute bange?maana hii speech ya mshikaji kama ya mtu hamnazo hivi!ukilipwa pesa bungeni unauamuzi wa kuutimia unavyotaka.mbowe kaamua kumlipia mtoto wake ada yeye kama anazihonga powa tu.CCM acheni kuargue totology stupid
 
Powa na wanachama wa CCM wakiwasomesha watoto wao nje ya nchi msilalamike bcoz wote ni familia bora kama mboye
hivi kuna viongozi wa ccm ili wapande jukwaani ni lazima wavute bange?maana hii speech ya mshikaji kama ya mtu hamnazo hivi!ukilipwa pesa bungeni unauamuzi wa kuutimia unavyotaka.mbowe kaamua kumlipia mtoto wake ada yeye kama anazihonga powa tu.CCM acheni kuargue totology stupid
 
Watu kama Mwigulu watakuja kuvaa vitanzi na kujinyonga baada ya 2015. Kumbe kwa ushamba na ujinga wake ameamua kufa akilinda mzoga uliokwisha oza tayari!
 
Bado siamini kama wafuasi wa CHADEMA ni vipofu kiasi hiki kwa swala linalogusa viongozi wao wakuu wa chama.

Kama leo mnahalalisha na kuunga mkono jambo ambalo ni dhahiri linaiondolea heshima na Imani CDM mbele ya jamii, nina uhakika kesho CDM ikiwa madarakani wafuasi wa CHADEMA wataunga mkono na kuhalalisha Kuuza nchi mchana kweupe, hata kama pesa za mauzo watagawa kwa kila mtanzania.

Huo ni UTUMWA WA KIFIKRA, na hamna budi kubadilika, shame on you Pro Chadema na viongozi wake wote ambao mmeshindwa kukemea ama kukubali kua Mbowe amekosea..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom