Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

Status
Not open for further replies.
Wanabodi.

Mbunge wa Iramba na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba, leo kwenye Mkutano wa CCM Morogoro, akihutubia Wananchi kasema Mbowe anasema anataka kuwakomboa masikini na kulalamika viongozi wa CCM wanasomesha watoto wao nje ya nchi kwa pesa nyingi wakati yeye Mbowe, anamlipia chekechea tu mtoto wake dola 15,000 kwa mwaka zaidi ya milioni 20.

SOURCE: HABARI STAR TV

Mwigulu hoja yako haina mashiko ulitaka kuwaambia nini hao waliokuwa wanakusikiliza?kila siku zinavyokwenda najiuliza ni kweli first class yako ni practical?kwenye mkutano wa jangwani uliongea pumba eti CDM wanapata wapi pesa ya kuzunguka nchi nzima.Jipange tena aibu uliyoipata meru bado inakusumbua.umemshindwa Dr. Slaa umehamia kwa mbowe umekuja UDSM kutoka Iramba mbowe yupo town long tym.
 
Wanabodi.

Mbunge wa Iramba na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba, leo kwenye Mkutano wa CCM Morogoro, akihutubia Wananchi kasema Mbowe anasema anataka kuwakomboa masikini na kulalamika viongozi wa CCM wanasomesha watoto wao nje ya nchi kwa pesa nyingi wakati yeye Mbowe, anamlipia chekechea tu mtoto wake dola 15,000 kwa mwaka zaidi ya milioni 20.

SOURCE: HABARI STAR TV

Mbowe anatumia fedha zake halali wakati mafisadi wanatumia fedha za uma kwa njia ya wizi
 
Kwanza Mbowe hana mtoto anaesomesha Chekechekea kwa sasa hivi. Hilo la kwanza. La pili ishu hapa si kiasi gani Mbowe anatumia kusomesha wanawe bali ni vipi hizo pesa za kusomeshea amezipata.

TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com

PHD yako haijakusaidia, kwa nchi masikini kama TZ, na kwa mtu kama mbowe anayejidai kutetea umasikini wa watanzania, kama kweli 20M kwa mwaka just kwa chekechea si pesa ndogo. kwa hiyo hoja ya sh ngapi inamata sana.
 
kama mnatafuta watu wenye pesa nchi hii yko pia ndesa pesa..kuwa na pesa nchi hii ni zambi? zambi ni kama umezipata kwanjia za ujanja ujana kama riz1...
 
Mi nadhan kuwa CCM sio lazma uwe na upeo mkubwa wa kufkilia. Ila inahitaj uwe na sifa zifuatazo:- mnafki, mropokaji, fisadi, mwoga, mla rushwa na nyingine wengine wataongezea...
 
Mbowe anatumia fedha zake halali wakati mafisadi wanatumia fedha za uma kwa njia ya wizi

ukiangalia elimu imeharibiwa na ccm ili mtoto wako asome vizuri inabidi ulipe hela ndefu na imefanywa hivyo makusudi ili wenye hela wasomweshe watiti wao ili wawaririthishe utawala hapo baadaye! ndio maana kuna WENGI MASAPOTA WA CCM humu wanasema PAYE SAWA HAKUNA ANAEKATAA hebu juilsime mie ninalipa 850000 kwa mwezi na ni uhakika! lakini mtoto wangu hawezi pata elimu bora inanibidi tena nilipe mioni moja katika hizo shule zinazomilikiwa na hao hao wa ccm! ili mtoto apte elimu japo bora! imagine mdogo wangu au ndugu yangu kijijini akiugua na kupelekwa hosptali ya serkali hamna dawa inanibidi niingie tena mfuko! na hapa bado ninalipa tena 70000 katika bima ya afya!! cha ajabu mmesikia NHIF wao ni kutengeza faida tu hela hizo serikali ingeziweka katika dawa ktk hosptal; zake si tungewa tumechangia kutoka mishahara yetu kuwatibia watazania wengi badala ya NHIF kuwalipa wahindi na nk!!!

Kwakweli mtu duni atanedelea kuumia tu chini ya utawala wa ccm, ninashangaa kuona watu wanahogwa 5000 wanajazana jangwani! WAKATI MWNGINE NINWAZA SI AFADHALI CHADEMA IAYAACHE HAYA MAJINGA YAENNDELEE KUUMIA TU HASA IGNORANT WA DAR NA UDINI WAO! NA AKINA MAMA! SHIDA TU LAKINI ETI NAO HAELEWI SOMO!
 
Mbowe hizo pesa alizonazo ni za Baba yake na pia aliisaidia Nchi wakati wa Uhuru; Nyerere anamfahamu hata Mlezi wa CCM anafahamu Jinsi Mzee Mbowe alivyofaifanyia Nchi yetu.

Hakuingia kwenye siasa alibaki kwenye Biashara zake; kwahiyo hakuchota toka serikalini kama Jamaa walioko serikalini sasa hivi, wana mali ndiyo wanaruhusa ya kuitumia. Na tunaiona kama Machame hotel, Na Disco Club ilioko Dar pia Gazeti

Sasa tukiuliza Lau ana nini mpaka kuwa na Majumba South Afrika lakini hajajenga Mwanza?

Rais wetu kapeleka watoto kusoma Malawi

Mafisadi wengi ndani ya CCM...

Angejaribu kujisafisha yeye Mwenyewe aache Matusi na kuvaa skafu ya bendera ya Taifa ni kosa

Mkuu Mbowe anamiliki gazeti gani?
 
Katika uzi kama huu ndio utakapowajua CDM, yaani kama wana akili za kushikiwa, wanatetea kila jambo!

Hivi kwa akili zenu, ada kwa mwaka chekechea karibu milioni 20 useme haina shida?

Mbona povu jingi na unakakamaza misuli ya shingo mpaka macho yamekuwa mekundu!? Sasa we ulitaka akamsomeshe mtoto wake madrasa?
Tatzo lenu wazenj hamnazo kabsa kwan kwenye kusomesha mnaogopa gharama alafu kwenye mitihan mnataka baraza liiwafahurishe na pia kwenye nafasi za job mnataka usawa na wakati nyie mlikimbia elimu dunia na mkaikombatia elimu ahera sasa si muende mkaajiliwe huko ahera kuliko kutoa povu jingi duniani. Eboooo....!
 
PHD yako haijakusaidia, kwa nchi masikini kama TZ, na kwa mtu kama mbowe anayejidai kutetea umasikini wa watanzania, kama kweli 20M kwa mwaka just kwa chekechea si pesa ndogo. kwa hiyo hoja ya sh ngapi inamata sana.

Mbowe hana mtoto mdogo anayesoma chekechea. Ungesema chuo kikuu tungekuelewa, acha umbea.
 
hzo fedha anazotoa ni za halali au za wizi?
kibaya ni kutumia kodi ya mnyonge kujinufaisha wewe na familia yako..!!
 
PHD yako haijakusaidia, kwa nchi masikini kama TZ, na kwa mtu kama mbowe anayejidai kutetea umasikini wa watanzania, kama kweli 20M kwa mwaka just kwa chekechea si pesa ndogo. kwa hiyo hoja ya sh ngapi inamata sana.

Hatukohapa kumpangia mtu matumizi ya pesa aliyochuma kwa jasho lake ulitaga agawe kwa wananchi?mbona serikali wameshindwa hilo?huyo mwigulu mwanaye anasoma iramba?mbona wanaosomesha savannah hajawasema na ni watumishi wa umma!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom