Tofauti ya Lusinde, Proffessor maji marefu, Komba na Mwigulu ni ndogo sana nayo ni maumbo yao lakini kiakili wote wapo sawa na huwa na wacategorize katika group la vichaa
7x2=15, Komba, maandano ya Chadema yanasababisha wanafunzi kufeli
Hivi kuna anayeweza kujua sababu ya mwigulu kuwa ktk sekreteriet ya ccm?ccm walikosa mtu kabisa au ndio ndondocha lao kufanikiwa.Wao wanachezea kodi zetu bungeni
7x2=15, Komba, maandano ya Chadema yanasababisha wanafunzi kufeli
Kaamuka kaandika KOMBA then katiki!Akikurupuka hapo hata hafuti udenda...
Ye moja kwa moja ''ndiooooooooo''
Spika makinda amewashangaa Komba na Mwigulu ambao ni wahesihimiwa wabunge,
Wameandika majina yao wenyewe badala ya kuweka tick, wameweka tick na majina yao.
My take: hawa ndio CCM makini wanao aminiwa na Chama.
akikurupuka hapo hata hafuti udenda...
Ye moja kwa moja ''ndiooooooooo''
MWIGULU kwa sasa ni JANGA kwa CCM.[/QUOTES)
Siyo janga ia CCM tu, bali ni janga la Taifa.