Mwigulu na Komba waharibu kura uchaguzi wa SADC bungeni

Yani wamezidiwa na mtu mwenye matatizo ya akili Lusinde! Au hakuwemo!
 
7x2=15, Komba, maandano ya Chadema yanasababisha wanafunzi kufeli

images

Hivi ni maandamano ya CHADEMA yaliyosababisha ashindwe kufuata maelekezo! Au na yeye alifundishwa na voda fasta?!
 
Matoto ya Lumumba Project yameingia mitini....... Njoooni hapa muwaokoe mbululaaaa wenu na ukenge wao.......CC. CHAMA, Mtela mwampamba, Chriss Lukosi, Ritz, MwanaDiwani, Nape Nnauye, Juliana Shoza, end the like...
 
Ngoja tumsubiri mwigulu aje kukanusha na kusema kuna mtu kahack mkono na kichwa chake

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Uchama umemnyima ushindi Nyerere who appeared to be the best of the contestants - take it or never!!!!
 
Yanimia tuliyokuwa tunawaambia; hawa jamaa si weledi ni nanga.
 
Hao wanaakisi uwezo wa mwenyekiti wao. Mtu makini angewezaje kumuweka Mwigulu katika sekretarieti ya chama kama nae sio tatizo. Kana kwamba hiyo haitoshi kamwogeza na Zero Nape! Hapo kitakuwa chama au klabu ya walevi? Huyo Komba ndio balaa. Uvivu wake wa kwenda chooni umemfanya kuvimba tumbo na sasa uchafu unamtokea mdomoni. Pale ni empty!
 
Kwa kupenda madaraka walikuwa wanajipigia debe.
Sitoshangaa nikisikia WALIOCHAGULIWA kuingia bunge la SADC ni WABUNGE WA NDIYOOO kama wapiga kura wenyewe ndio hawa akina Mwingulu Nchemba na Komba! Huko SADC Tanzania inakwenda kuwa kituko! Kweli Tanzania ni kichwa cha mwenda wazimu.
 
Ndo mnategemea nchi isonge mbele kwa vichwa hivyo!!!
 
Back
Top Bottom