Mwigulu na Komba waharibu kura uchaguzi wa SADC bungeni

Msishangae watakapokataa na kulaumu CDM kuwa ndiyo wanataka kuwachafua...
 
7x2=15, Komba, maandano ya CHADEMA yanasababisha wanafunzi kufeli
images
Inawezekana baada ya kuamka akafikiri ni karatasi ya posho. Hakuwa na lingine ila kuandika jina na tick ili asikose posho
 
Yaani nyie badala ya kushangaa kuwa demokrasia inatiwa kwapani na speaker, mmekaa kumjadili Mwigulu.
Hovyo sana nyie watu, kwanini kura ya siri itangazwe?? Atangaze na hao wengine jinsi walivyopiga kura zao basi.
Acheni ushabiki wa kipumbavu nyie!!
 
Hizo kura zilikuwa zinapigwa kwa mtindo gani mpaka karatasi aliyopigia kura mtu iweze kuwa traced?au ni mwandiko?

Yani kwa nini isifikiriwe kuwa kuna wabunge wawili wameandika majina ya mwigulu na komba ambao si wagombea?
 
Heri Lusinde tutasema hajaenda shule. Mwigulu ni kimeo mnoo. Inasikitisha kuona watu kama Mwigulu wa vyeti vya udsm!
 
Akikurupuka hapo hata hafuti udenda...
Ye moja kwa moja ''ndiooooooooo''

Hahahaahahahha, mkuu umeua!

Pata picha komba kalala halafu makinda akauliza "mnataka kuolewa?"

Komba kashtuka usingizini "ndioooooooo"

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hizo kura zilikuwa zinapigwa kwa mtindo gani mpaka karatasi aliyopigia kura mtu iweze kuwa traced?au ni mwandiko?

Yani kwa nini isifikiriwe kuwa kuna wabunge wawili wameandika majina ya mwigulu na komba ambao si wagombea?

Yale yale! Kwanini wasiandike ya Makinda na Ndugai?
 
Mwigulu ni mwezi mchanga sina shida naye sana, balaa kwa komba bora hata alivyoandika jina lake kuliko angeanza kushusha versi za taarab akimkumbuka lulu.
 
Hizo kura zilikuwa zinapigwa kwa mtindo gani mpaka karatasi aliyopigia kura mtu iweze kuwa traced?au ni mwandiko?

Yani kwa nini isifikiriwe kuwa kuna wabunge wawili wameandika majina ya mwigulu na komba ambao si wagombea?

kama wasingeandika wao nadhani wangeomba mwongozo na kujisaficha.
 
Jamani Mwingulu ni kichaa. Tumeshaambiwa several times hapa.

Kama siyo elimu ama siasa imemkomboa basi mwingulu angekuwa mpiga ramli na komba angekuwa ameolewa na mwanamke analelewa (angekuwa akifugwa na mwanamke)
 
Jamani Mwingulu ni kichaa. Tumeshaambiwa several times hapa.

Kama siyo elimu ama siasa imemkomboa basi mwingulu angekuwa mpiga ramli na komba angekuwa mcheza ngoma za mdundiko mtaani
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom