Mwigulu na Komba waharibu kura uchaguzi wa SADC bungeni

masalia

Member
Dec 20, 2012
24
26
Spika makinda amewashangaa Komba na Mwigulu ambao ni wahesihimiwa wabunge,
Wameandika majina yao wenyewe badala ya kuweka tick, wameweka tick na majina yao.

My take: hawa ndio CCM makini wanao aminiwa na Chama.
 
7x2=15, Komba, maandano ya CHADEMA yanasababisha wanafunzi kufeli

images
 
Tofauti ya Lusinde, Proffessor maji marefu, Komba na Mwigulu ni ndogo sana nayo ni maumbo yao lakini kiakili wote wapo sawa na huwa na wacategorize katika group la vichaa
 
akili zao zina walakini. Mwigulu anamuwaza July Fyonza na Komba anamuwaza Lulu
 
Hivi kuna anayeweza kujua sababu ya mwigulu kuwa ktk sekreteriet ya ccm?ccm walikosa mtu kabisa au ndio ndondocha lao kufanikiwa.Wao wanachezea kodi zetu bungeni
 
who is Mwigulu? mbona mnampa umaarufu sana huyu kijana?
 
Hivi kuna anayeweza kujua sababu ya mwigulu kuwa ktk sekreteriet ya ccm?ccm walikosa mtu kabisa au ndio ndondocha lao kufanikiwa.Wao wanachezea kodi zetu bungeni

nadhani ni ushauri wa sheikh Yahaya kabla hajafa. Pia JK kapewa ulinzi wa majini
 
Bora Makinda ameamua kuwaweka wazi, kila mtu ajue umbulula wao.

Hapo sawa na kusema wamewadhalilisha wapiga kura wao,
 
Anashangaa nini kiroboto wakati ndo watuele na mabosi wake hao?

Back
Top Bottom