Mwigulu na Komba waharibu kura uchaguzi wa SADC bungeni

Hivi mwigulu bado mnamjadili tu humu JF, Tatizo mtu akishavaa tu kijani anatakiwa apelekwe milembe kutibiwa akili. Mwigulu ni mliberary na ndo maana yupo beneti na Mwampamba'
 
7x2=15, Komba, maandano ya CHADEMA yanasababisha wanafunzi kufeli

images

Hivi aliota akisema hivyo au alisimama kweli bungeni na kusema hivyo?
 
Ama kweli Vijana wa Lumumba Project wameshikwa kwenye masaburi. Hadi muda huu wote kimyaaaa au wanakuja kuchungulia kisha wanasepa bila ya commets.
 
Mara nyingi CCM hufanya makosa makubwa na ya kiufundi! na uteuzi wa huyu bwana nadhani ni miongoni mwa makosa makubwa ya kiufundi!!!
 
Kama wameshindwa kupambana kwa hoja basi hata kwakuonyesha upumbavu wao tumewajadili ktk mitandao ya kijamii
 
Watanzania tugutuke hawa si viongozi wanao itajaka, hawaju hatawanacho kifanya, tusimuchague kiongozi tu kutokana mvi na umbo bali tuangalie uwezo wa akili zao, hekima, busara n.k
 
Tofauti ya Lusinde, Proffessor maji marefu, Komba na Mwigulu ni ndogo sana nayo ni maumbo yao lakini kiakili wote wapo sawa na huwa na wacategorize katika group la vichaa
bwahahahah. Labda tofauti nyingine ndogo ni majimbo wanayotoka
 
Back
Top Bottom