Mwigulu: Aonja Joto ya jiwe Washington, D.C.

Mwigulu: Aonja Joto ya jiwe Washington, D.C.

PICHA: Mwigulu: Aonja Joto ya jiwe Washington, D.C.
o
Akihutubia jioni hii kwenye sherehe za muungano Mh. Nchemba amekuwa akiongea uongo na kujaribu kuwachomekea wapinzani. Amesema wapinzani tokea siku ya kwanza Bungeni walikuwa wanafanya mpango wa kutoka Bungeni.

Ameendelea kupotosha kuwa muungano unadumu na wameongeza mambo ya muungano kwa sababa Tanganyika ( ametumia neno Tanzania Bara) ina huruma zifuatazo; huruma za muungano;
- Zanzibar isimezwe
-Tanzania isibebe mzigo wa muungano na Tanganyika
- huruma ya utu na uzalendo

Baada ya speech yake kuonyesha ku bore watu walianza zomea zomea ya Kimarekani; ambapo watu kutoka nyuma ( back benchers) walianza kupiga makofi constant. Alipo kuwa slow alichelewa ku notice hilo, lakini baadaye akagundua na kumaliza.

Ammeiponda tume ya Katiba na kusema wengi ya waTanzania hawakuongelea muungano, kwa hiyo "ana assume" wanaunga mkono muondo wa muungano uliopo. Ametumia neno "assume" "kuhisi"

OUR TAKE: jamaa anatumia assumption ku draw conclusions badala ya FACTS. Pia ame onyesha dharau kwa Zanzibar kuwa ni huruma ya Tanganyika inayo wabeba.

View attachment 154197
Mwigulu Nchemba akikabidhiwa t-shirt yenye ujumbe "RUDI TANGANYIKA" TUME YA KATIBA IHESHIMIWE" "WAZANZIBAR NA WATANGANYIKA HATUBURUZWI TENA". Mh. Mwigulu aliikataa hiyo t-shirt akisitizia kuwa hakuna kitu kama Tanganyika na haiwezi kurudi; na kwa nini kupigania kitu ambacho hakiwezi kurudi tena. Hapa ilikuwa mchana nani ya Ubalozi wa Tanzania Washington DC. katikati ni balozi wa Tanzania nchini Marecan mama Mulamula

View attachment 154198

View attachment 154199

View attachment 154200

View attachment 154201

Mmmmmmh
 
kudumisha utamaduni kitu cha msingi sana,naona diaspora wamezeeka huko halafu swaga zao za ki yo yo nigga.

watu mna sura za kizee halafu swaga za kina 50-cent wapi na wapi.

Hahahahaha Umefikiria nini ? eti wamezeeka
 
Siwaoni kabisa wale Nyumbu wa Lumumba kwenye huu uzi.
Cc
utaifakwanza ifweero Chabruma Lizaboni Simiyu Yetu FaizaFoxy

Ungefatilia post zangu humu JF nadhani ungeona kuwa mimi ni mtu wa kwanza kuupinga huu Muungano na ni miaka mingi sasa naandika humu JF kuulizia Tanganyika yangu iko wapi?

Nilipokuwa nikiponda maamuzi ya Nyerere ya kuiuwa Tanganyika kwa miaka mingi sasa, mlikuwa hamnielewi na mlikuwa mnarusha kila aina ya matusi, sasa nawauliza kiko wapi?

Search post zangu za zamani ujionee, ndiyo utamjuwa FF ni nani.

Natamani Tanganyika irudi leo kabla ya kesho, ili Zanzibar iweze kuwa nchi ya Kiislaam.
 
mbona Zanzibar ni nchi ya kislaam siku nyingi tu?
 
Ungefatilia post zangu humu JF nadhani ungeona kuwa mimi ni mtu wa kwanza kuupinga huu Muungano na ni miaka mingi sasa naandika humu JF kuulizia Tanganyika yangu iko wapi?

Nilipokuwa nikiponda maamuzi ya Nyerere ya kuiuwa Tanganyika kwa miaka mingi sasa, mlikuwa hamnielewi na mlikuwa mnarusha kila aina ya matusi, sasa nawauliza kiko wapi?

Search post zangu za zamani ujionee, ndiyo utamjuwa FF ni nani.

Natamani Tanganyika irudi leo kabla ya kesho, ili Zanzibar iweze kuwa nchi ya Kiislaam.

nilijua tu utaishia hivi....
 
unapinga fikra za Mwenyekiti?? Mani Hebu nisaidie
 
Last edited by a moderator:
Akili za ki~Bavicha hizo, hakuna kingine!
Unajua hapo ndo vijana wa ccm mnapokosea.. Sisi wengine tuliokua pale wala bavicha hatuijui.. Ila tunataka mambo yaaendeshwe kwa ukweli na uwazi si ujanja ujanja.. Na kuleta hoja za uongo na umakini.. Hata watermelon lililochogwa limeandikwa tanganyika na unguja na wakati ni tanganyika na zanzibar angalia picha vzr.. Tatizo ccm hamna umakini mnakurupuka
 
Sasa hawa siunaona wamejikusanya 3 baada ya kupiga bangi maana sura zao zinaonekana kwamba ni wafuasi wazuri wa fikra za mzee wa gongo+ bangi. halafu unakuja jukwaani na picha za wahuni bila aibu. bila shaka hawa watakuwa na vyeo ndani ya bavicha. yericko huyo rasta ana cheo gani maana anafanana sana na mgombea wenu mtarajiwa wa ubunge MOrogoro mjini hapo chini picha Afande sele. Inayofuata wavutaji wengine uko Marekani anayebisha aniambie tofauti ya sele na huyo wa katikati .

attachment.php
Vijana wa ccm na wazee
wenu mkizidiwa hoja kidogo mnahamia kwenye matusi na mipasho...mnafanya nchi IDHARAULIKE hiyo.. Inaonekana ni ya vijana vilaza kumbe kumawatu wanauwezo mkubwa tu
 
Sijawahi kuona nchi ya mazezeta wa kudai haki zao km tanganyika, eti hadi raisi anawapa uwaziri waznz ktk wizara ambayo co ya muungano (inamaana ni za tanganyika) eg. Hussein mwinyi alishika wzr ya afya ya tanganyika wakt afya co jambo la muungano na yeye co mtangnyka. Kama mnataka kuona mziki mwambieni Dr Shein ajaribu kumpa mtanganyika uwazir znz.
 
Hawakutaka aulizwe maswali. Ilikuwa one way communication. The guy lies na hana caliber ya kuongea na sisi. Hajachukua maswali kabisa.

caliber ipi hiyo? ya usomi? utajiri? ujuzi wa siasa au kitu gani? sidhani kama mlitarajia yeye kama CCM ataongea yatakayowafurahisha nyie kama Chadema Diaspora kiwe cha uongo wa cha ukweli so ni siasa tu inayoendelea baina yenu na sijui kama alibore kwa sababu ya kuongea sana au ndio kutokubaliana nae!
 
Mkuu nimejaribu kupitia vijimambo blog naona mwishoni na hotuba yake alianza kuwaponda UKAWA wanaoidai tanganyika. Nimeshangazwa na waziri kutotenga muda wa watanzania wenzetu huko kumuuliza maswali...
Hajawahi kufuatwa na watu, lakini alipofuatwa DC na kupewa tshirt ya Tanganyika, aliogopa sana. Hatarudia ujinga wake tena
 
Na bado mpaka watolewe roho ndo watajua serikali tatu ni muhimu.
 
hahaha limezoea uongo likafkr marekan ni wapumbvu kama yeye, wananch wanatka skl 3 aibu zake
 
Chadema Diaspora Kuna taarifa nimepewa na ndugu mmoja liyekuwa ukumbini anasema Balozi wa Tanzania nchini Marekani Bi Liberata Mulamula alishindwa kuhutubia kwa mpangilio kwa kuwa alikuwa amepakia Tungi (Amelewa) vibaya mno.

Sina uhakika na hali yake ya kinywaji, lakini alishangaza wengi kuto kuhutubia; hata kusema kwa nini tumekutana hapa. Mshangao ulikuwepo alipo anza kutaja kamati za maandalizi na kuwashukuru wanakamati ambayo imejaa watu wa CCM.

Tulikuwa na mshangao kwa nini anatambulisha kamati; huku watu wakihoji kuwa hii si harusi.
 
Back
Top Bottom