Mwigulu: Aonja Joto ya jiwe Washington, D.C.

Mwigulu: Aonja Joto ya jiwe Washington, D.C.

anasema Balozi wa Tanzania nchini Marekani Bi Liberata Mulamula alishindwa kuhutubia kwa mpangilio kwa kuwa alikuwa amepakia Tungi (Amelewa) vibaya mno.
Huyo shangazi hafai, hana upeo na busara za kibalozi. Kwa sababu katika siku ya kuadhimisha jambo ambalo kwa sasa ni nyeti na linaligawa Taifa, utaletaje mtu divisive, mtu controversial, kuja kuwa mgeni rasmi kwenye shughuli ya kibalozi? Mahala ambapo panatakiwa kuwa pa kujenga madaraja ya mahusiano? Hii inakuonyesha kwamba huyu Mama hana busara au hana wherewithal ya kukataa kupokea watu wanaotumwa na mamlaka za Dar-es-Salaam.

Balozi anaeheshimu jina lake na mwenye balls angewaambia mabosi wake Foreign au CCM Dodoma na Ikulu kwamba jamani msiniletee mtu kama Mwigulu nyakati hizi kwenye shughuli ya Muungano. Lakini hii ndio hulka ya Kikwete, sehemu nyeti anaweka wanawake watiifu au watu legelege ambao hawana gravitas, ili wawaburuze kirahisi, Hazina, Ulinzi, Sheria na Katiba, Balozi wa Marekani, Waziri Mkuu Pinda, wote ni schleps ambao hawawezi kumfunika wala kukataa upuuzi, hawana utashi kama vile waziri wake mkuu wa kwanza, alipokuwa hajajifunza.
 
Ungefatilia post zangu humu JF nadhani ungeona kuwa mimi ni mtu wa kwanza kuupinga huu Muungano na ni miaka mingi sasa naandika humu JF kuulizia Tanganyika yangu iko wapi?

Nilipokuwa nikiponda maamuzi ya Nyerere ya kuiuwa Tanganyika kwa miaka mingi sasa, mlikuwa hamnielewi na mlikuwa mnarusha kila aina ya matusi, sasa nawauliza kiko wapi?

Search post zangu za zamani ujionee, ndiyo utamjuwa FF ni nani.

Natamani Tanganyika irudi leo kabla ya kesho, ili Zanzibar iweze kuwa nchi ya Kiislaam.

Sijawahi kusoma msimamo wako juu ya muungano hususani kwa upande wa Zanzibar....
 
Tuliishasema, ccm mtawadanganya watanzania kwa muda mfupi, lakini sio wakati wote. Kizazi cha sasa ni cha watu walioelimika, hata ambao hawajaenda shule wanauelewa mkubwa tofauti na kipindi cha Nyerere, watu wanahoji, wanadadisi, sio watu wa kukubali jambo mara moja. Cha msingi TANGANYIKA yetu ni lazima irudi by any means, ukiona mtu anakataa asili yake ambayo ndio utaifa wake, huyo ni wa ajabu sana na hana uzarendo, asiyeitaka TANGANYIKA ahame nchi, uhuni hatutaki.

ipi ya mjerumani ama ya waingereza ?
 
Ungefatilia post zangu humu JF nadhani ungeona kuwa mimi ni mtu wa kwanza kuupinga huu Muungano na ni miaka mingi sasa naandika humu JF kuulizia Tanganyika yangu iko wapi?

Nilipokuwa nikiponda maamuzi ya Nyerere ya kuiuwa Tanganyika kwa miaka mingi sasa, mlikuwa hamnielewi na mlikuwa mnarusha kila aina ya matusi, sasa nawauliza kiko wapi?

Search post zangu za zamani ujionee, ndiyo utamjuwa FF ni nani.

Natamani Tanganyika irudi leo kabla ya kesho, ili Zanzibar iweze kuwa nchi ya Kiislaam.

Mkuu FF Mtanganyika Mwenzangu Heshima mbele.
Sasa Mbona unakuwa na Double standard, adui Mkubwa Nambari wani wa Tanganyika na JK na CCM Yenu.
Hili unalisemaje, je uko Tayari kuwataliki CCM na JK yake na kujiunga nasi rasmi katika Mapambano dhidi ya CCM katika kuidai Tanganyika yetu ?
Natanguliza shukrani
 
Hajawahi kufuatwa na watu, lakini alipofuatwa DC na kupewa tshirt ya Tanganyika, aliogopa sana. Hatarudia ujinga wake tena

Hakufuatwa tu, bali tulishuhudia akishikwa mkono na kuvutwa ajibu maswali huku balozi na makada wa CCM wakimvuta aondoke
 
Huyo katikati ni mama Mulamula? Mbona uso umemkomaa hivyo?

attachment.php
 
Wait, nimeona jana waziri mkuu wa korea kusini kajiuzuku for poor handling ya kivuko kilicho zama...kwanini hapa kwetu huwa anatuambia...nawasiliana na Rais ili achukue hatua?????

Ha haaa hapa bongo hata mfe wote 44 millioni hakuna atakaejiuzulu ni wabishi watabaki wakiongoza nyika .
 
..hivi kuna watu makini wanaweza kukaa na kumsikiliza mwigulu???hii inanipa shida sana...huyu jamaa ni mmoja wa mawaziri wetu wa fedha..lakini anazunguka huku na huko akifanya siasa za maji taka....anatumia kodi zetu kupiga propaganda za chama chake....huyu kama hazungumzii matatizo ya kiuchumi na kifedha yanayolikabili taifa mnawezaje kukaa na kumsikiliza?...Mwezi ujao kuna bunge la bajeti....na tayari kuna budget deficit ....miradi ya maendeleo huko vijijini haiendi imekwama...alafu hawa kina mwigulu wanazunguka dunia kwa kodi zetu wakifanya siasa za chooni....inawezekanje kukaa na kuwasikiliza watu hawa????....inasikitisha sana....
 
Ungefatilia post zangu humu JF nadhani ungeona kuwa mimi ni mtu wa kwanza kuupinga huu Muungano na ni miaka mingi sasa naandika humu JF kuulizia Tanganyika yangu iko wapi?

Nilipokuwa nikiponda maamuzi ya Nyerere ya kuiuwa Tanganyika kwa miaka mingi sasa, mlikuwa hamnielewi na mlikuwa mnarusha kila aina ya matusi, sasa nawauliza kiko wapi?

Search post zangu za zamani ujionee, ndiyo utamjuwa FF ni nani.

Natamani Tanganyika irudi leo kabla ya kesho, ili Zanzibar iweze kuwa nchi ya Kiislaam.

FF nakubaliana na wewe ila kwanini tulete udini?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
mbona Zanzibar ni nchi ya kislaam siku nyingi tu?

Ni nchi ina Waislaam wengi lakini si ya Kiislaam kwa sasa. Lakini InshaAllah ipo siku itakuwa.

Ingekuwa nchi ya Kiislaam ingeshindwa hata kujiunga na OIC kwa shinikizo la makafiri?
 
FF nakubaliana na wewe ila kwanini tulete udini?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Sijakuona ukisema wala ukituhumu William Lukuvi alipoongea Kanisani kuhusu Zanzibar kuwa nchi ya Kiislaam kama huo ni udini.
 
Mkuu FF Mtanganyika Mwenzangu Heshima mbele.
Sasa Mbona unakuwa na Double standard, adui Mkubwa Nambari wani wa Tanganyika na JK na CCM Yenu.
Hili unalisemaje, je uko Tayari kuwataliki CCM na JK yake na kujiunga nasi rasmi katika Mapambano dhidi ya CCM katika kuidai Tanganyika yetu ?
Natanguliza shukrani

Hapana, Jakaya kisha sema, mkitaka Serikali tatu basi ziwe serikali bora.

Adui mkubwa wa Tanganyika ni Uislaam wa Zanzibar, kama huniamini mimi basi hata William Lukuvi humuamini?
 
PICHA: Mwigulu: Aonja Joto ya jiwe Washington, D.C.

Akihutubia jioni hii kwenye sherehe za muungano Mh. Nchemba amekuwa akiongea uongo na kujaribu kuwachomekea wapinzani. Amesema wapinzani tokea siku ya kwanza Bungeni walikuwa wanafanya mpango wa kutoka Bungeni.

Ameendelea kupotosha kuwa muungano unadumu na wameongeza mambo ya muungano kwa sababa Tanganyika ( ametumia neno Tanzania Bara) ina huruma zifuatazo; huruma za muungano;
- Zanzibar isimezwe
-Tanzania isibebe mzigo wa muungano na Tanganyika
- huruma ya utu na uzalendo

Baada ya speech yake kuonyesha ku bore watu walianza zomea zomea ya Kimarekani; ambapo watu kutoka nyuma ( back benchers) walianza kupiga makofi constant. Alipo kuwa slow alichelewa ku notice hilo, lakini baadaye akagundua na kumaliza.

Ammeiponda tume ya Katiba na kusema wengi ya waTanzania hawakuongelea muungano, kwa hiyo "ana assume" wanaunga mkono muondo wa muungano uliopo. Ametumia neno "assume" "kuhisi"

OUR TAKE: jamaa anatumia assumption ku draw conclusions badala ya FACTS. Pia ame onyesha dharau kwa Zanzibar kuwa ni huruma ya Tanganyika inayo wabeba.

View attachment 154197
Mwigulu Nchemba akikabidhiwa t-shirt yenye ujumbe "RUDI TANGANYIKA" TUME YA KATIBA IHESHIMIWE" "WAZANZIBAR NA WATANGANYIKA HATUBURUZWI TENA". Mh. Mwigulu aliikataa hiyo t-shirt akisitizia kuwa hakuna kitu kama Tanganyika na haiwezi kurudi; na kwa nini kupigania kitu ambacho hakiwezi kurudi tena. Hapa ilikuwa mchana nani ya Ubalozi wa Tanzania Washington DC. katikati ni balozi wa Tanzania nchini Marecan mama Mulamula

View attachment 154198

View attachment 154199

View attachment 154200

View attachment 154201

- Yaaani Source ikishakuwa Tanzania Daima au ChademaDiaspora basi mimi huwa napita tu!1, yaani Field Marshall Mwigulu amewanyima posho UKAWA wenyewe itakuwa hao wapambe wasiojitambua huko USA, wanajua nini hao waje bongo huku tucheze huu msondo waone kama watakuwa hata nafasi ya kuandamana, maana hapa kwanza ni rumba la maisha hata muda wa kuandamana watu 4 hamna!!

- MWIGULU FOR PRESIDENCY!!

Le Mutuz System
 
Hapana, Jakaya kisha sema, mkitaka Serikali tatu basi ziwe serikali bora.

Adui mkubwa wa Tanganyika ni Uislaam wa Zanzibar, kama huniamini mimi basi hata William Lukuvi humuamini?

Wacha Lukuvi.
Mimi simuamin mwana CCM yeyote yule
 
Sijawahi kusoma msimamo wako juu ya muungano hususani kwa upande wa Zanzibar....

Sasa umenisoma. Unaweza kuerejea maandiko yangu ya siku za nyuma humuhumu JF kuhusu Muungano utayakuta.

Mara nyingi sana nimeililia na kuuliza Tanganyika yangu aliyoiuwa Nyerere iko wapi? naitamani.

Mimi nimezaliwa Tanganyika, nimeanza shule Tanganyika, ghafla nikaambiwa kuanzia leo wewe ni Mtanzania. Sikujuwa madhara yake mpaka miaka tulipoanza kupeleka askari na kuuwa wa Zanzibari kwa kuwa tu wanataka kuamuwa wakitakacho, kuanzia hapo sina hamu na huu Muungano wa Serikali mbili, kubwa kuimeza ndogo.

Nakubaliana kwa sasa na wale wanaotaka Serikali tatu, lakini si kwa kususa, labda hapo mbeleni nikiona kususa kwao kumeleta tija, ntasema aaah kumbe walichokifanya walikuwa sahihi. Kwa sasa nadhani wangebaki bungeni na kujadili hoja zao.

Hofu yangu kubwa kuwa hautakiwi Muungano wa Serikali tatu kwa kuwa Zanzibar itakuwa nchi ya Kiislaam, mimi na William Lukuvi na Nyerere hatuna tofauti katika hili nna uhakika na Mzee Mwanakijiji halikadhalika.

Lakini tofauti ya hofu zetu ni kuwa wao wanauogopa Uislaam, mimi hofu yangu ni kuwa Mfumo Kristo ndiyo unazuwia Serikali tatu na mwisho wake si mwema.

Huwezi kuzuwia Uhuru wa mtu kwa kisingizio cha dini, hakuna mwisho mwema kwa hilo.
 
Back
Top Bottom