Mwigulu: Aonja Joto ya jiwe Washington, D.C.

- Yaaani Source ikishakuwa Tanzania Daima au ChademaDiaspora basi mimi huwa napita tu!1, yaani Field Marshall Mwigulu amewanyima posho UKAWA wenyewe itakuwa hao wapambe wasiojitambua huko USA, wanajua nini hao waje bongo huku tucheze huu msondo waone kama watakuwa hata nafasi ya kuandamana, maana hapa kwanza ni rumba la maisha hata muda wa kuandamana watu 4 hamna!!

- MWIGULU FOR PRESIDENCY!!

Le Mutuz System

Lakin Le Mutuz, picha hizo ni za kweki, irrespective of the Source!?
 
Sasa umenisoma. Unaweza kuerejea maandiko yangu ya siku za nyuma humuhumu JF kuhusu Muungano utayakuta.

Mara nyingi sana nimeililia na kuuliza Tanganyika yangu aliyoiuwa Nyerere iko wapi? naitamani.

Mimi nimezaliwa Tanganyika, nimeanza shule Tanganyika, ghafla niaambiwa kuanzia leo wewe ni Mtanzania. Sikujuwa madhara yake mpaka miaka tulipoanza kupekleka askari na kuuwa wa Zanzibari kwa kuwa tu wnataka kuamuwa wakitakacho, kuanzia hapo sina hamu na huu Muungano wa Serikali mbili, kubwa kuimeza ndogo.

Nakubaliana kwa sasa na wale wanaotaka Serikali tatu, lakini si kwa kususa, labda hapo mbeleni nikiona kususa kwao kumeleta tija, ntasema aaah kumbe walichokifanya walikuwa sahihi. Kwa sasa nadhani wangebaki bungeni na kujadili hoja zao.

Hofu yangu kubwa kuwa hautakiwi Muungano wa Serikali tatu kwa kuwa Zanzibar itakuwa nchi ya Kiislaam, mimi na William Lukuvi na Nyerere hatuna tofauti katika hili nna uhakika na Mzee Mwanakijiji halikadhalika.

Lakini tofauti ya hofu zetu ni kuwa wao wanauogopa Uislaam, mimi hofu yangu ni kuwa Mfumo Kristo ndiyo unazuwia Serikali tatu na mwisho wake si mwema.

Huwezi kuzuwia Uhuru wa mtu kwa kisingizio cha dini, hakuna mwisho mwema kwa hilo.

Nikupe LIKE dada FF! Yaani kama ni kweli kupingwa kwa S3 ni kuogopa Uislam Zanzibar, naona hapo kuna shida tena kubwa sana!
 
Last edited by a moderator:
Wacha Lukuvi.
Mimi simuamin mwana CCM yeyote yule

Kumuamini mtu na kutokumuamini ni haki yako ya msingi na mimi wala siwezi kukuingiia kwa hilo.

Kama mimi ambavyo siwaamini viongozi wa chadema, hususan wale wakosa maadili. Huwa nnajiuliza, ikiwa viongozi wanakosa maadili namna hii hao wanaoongozwa wakoje? hapo sasa!
 
Sasa umenisoma. Unaweza kuerejea maandiko yangu ya siku za nyuma humuhumu JF kuhusu Muungano utayakuta.

Mara nyingi sana nimeililia na kuuliza Tanganyika yangu aliyoiuwa Nyerere iko wapi? naitamani.

Mimi nimezaliwa Tanganyika, nimeanza shule Tanganyika, ghafla niaambiwa kuanzia leo wewe ni Mtanzania. Sikujuwa madhara yake mpaka miaka tulipoanza kupekleka askari na kuuwa wa Zanzibari kwa kuwa tu wnataka kuamuwa wakitakacho, kuanzia hapo sina hamu na huu Muungano wa Serikali mbili, kubwa kuimeza ndogo.

Nakubaliana kwa sasa na wale wanaotaka Serikali tatu, lakini si kwa kususa, labda hapo mbeleni nikiona kususa kwao kumeleta tija, ntasema aaah kumbe walichokifanya walikuwa sahihi. Kwa sasa nadhani wangebaki bungeni na kujadili hoja zao.

Hofu yangu kubwa kuwa hautakiwi Muungano wa Serikali tatu kwa kuwa Zanzibar itakuwa nchi ya Kiislaam, mimi na William Lukuvi na Nyerere hatuna tofauti katika hili nna uhakika na Mzee Mwanakijiji halikadhalika.

Lakini tofauti ya hofu zetu ni kuwa wao wanauogopa Uislaam, mimi hofu yangu ni kuwa Mfumo Kristo ndiyo unazuwia Serikali tatu na mwisho wake si mwema.

Huwezi kuzuwia Uhuru wa mtu kwa kisingizio cha dini, hakuna mwisho mwema kwa hilo.

Dada Faiza, tuungane kuitokomeza ccm inayobana haki yetu ya utanganyika.
 
Last edited by a moderator:
Kumuamini mtu na kutokumuamini ni haki yako ya msingi na mimi wala siwezi kukuingiia kwa hilo.

Kama mimi ambavyo siwaamini viongozi wa chadema, hususan wale wakosa maadili. Huwa nnajiuliza, ikiwa viongozi wanakosa maadili namna hii hao wanaoongozwa wakoje? hapo sasa!

Kama Mbakaji Kapuya vile
 
Dada Faiza, tuungane kuitokomeza ccm inayobana haki yetu ya utanganyika.

CCM haizuwii mtu kufata alitakalo, sijaona hata mwana CCM akiniambia FaizaFoxy wacha kutaka Serikali tatu au taka serikali mbili au moja.

Nna uhakika jinsi nnavyoupinga muungano wa Nyerere na Karume, ningekuwa chadema saa hizi nimeshanyang'anywa uanachama.

Zitto Kabwe hajambo?
 
Mkuu Bobuk umekosea kutoa mfano wa Ikungi. Hako kamji kako katika jimbo la Tundu Lissu na watu wa hapo wameshazoeshwa na Lissu kuhoji na kudadisi nini kinaendelea katika mambo yao. Labda ungetolea mfano huko Kinampanda au Shelui.
Sent from my iPad using JamiiForums

Mkuu Chakaza ahsante kwa ufafanuzi nilimaanisha Shelui sio Ikungi! Wananchi wa Ikungi wanajitambua.
 
CCM haizuwii mtu kufata alitakalo, sijaona hata mwana CCM akiniambia FaizaFoxy wacha kutaka Serikali tatu au taka serikali mbili au moja.

Nna uhakika jinsi nnavyoupinga muungano wa Nyerere na Karume, ningekuwa chadema saa hizi nimeshanyang'anywa uanachama.

Zitto Kabwe hajambo?

Hata Aboud Jumbe na Yussuf Himid walikuwa CDM. KWELI hawa ma-CDM ni MAJEURI
 
Hao Wazanzibari wanachezeshwa kama vikaragosi tu anaegoma kuchezeshwa anatupwa. Na ndivyo tutakavyo, tuwe na vikaragosi vyetu vinavyotii amri.
 
Mwigulu Nchemba akikabidhiwa t-shirt yenye ujumbe "RUDI TANGANYIKA" TUME YA KATIBA IHESHIMIWE" "WAZANZIBAR NA WATANGANYIKA HATUBURUZWI TENA". Mh. Mwigulu aliikataa hiyo t-shirt akisitizia kuwa hakuna kitu kama Tanganyika na haiwezi kurudi; na kwa nini kupigania kitu ambacho hakiwezi kurudi tena. Hapa ilikuwa mchana nani ya Ubalozi wa Tanzania Washington DC. katikati ni balozi wa Tanzania nchini Marecan mama Mulamula
Ni kweli Tanganyika haipo au ndio tunaanza kuongozwa na watu wasiojua hata wanalolifanya ofisini!!!!?
Je, tunaweza kumwamini huyu bwana na kuwabeza watu walioitolea jasho nchi hii kama Mzee Warioba na Tume nzima maana hawa wote wameitaja Tanganyika kwa hoja zisizo tia mashaka.
Namshauri atunze hiyo kauli yake kama Mh. Lukuvi pale Kanisani na muda si mrefu watageuka kutoka 'washitak' hadi 'washitakiwa'.

CCM haizuwii mtu kufata alitakalo, sijaona hata mwana CCM akiniambia FaizaFoxy wacha kutaka Serikali tatu au taka serikali mbili au moja.

Nna uhakika jinsi nnavyoupinga muungano wa Nyerere na Karume, ningekuwa chadema saa hizi nimeshanyang'anywa uanachama.

Zitto Kabwe hajambo?

Huwa natofautiana na wewe kwa kuona kuwa Zitto kajifukuza CHADEMA kwa kuonewa! Kwanza kumbuka Zitto hajafukuzwa CHADEMA alinyang'anywa vyeo vyake na kuachiwa uwanachama wake, katiba inasema mambo ya chama yataamuliwa kwenye chama na si mahakamani yeye akamua kwenda mahakamani kinyume na katiba (akakiuka katiba). Kwa nini uone kuwa kafukuzwa ilhali aliamua kujifukuza mwenyewe kwa kwenda mahakamani?!

Kumbuka pale Serena Hotel alisema "...Nitafuata taratibu zote za ndani ya chama kutetea uwanachama wangu..", mbona hujiulizi kwa nini hakuzifuata na matokeo yake akakiuka hata kauli na ahadi aliyoiweka kwa kukimbilia mahakani?!

Turudi tu kwenye mada mkuu
 
Kitila vipi?
 
Umtoe mtu tonge mdomoni kwa kusema ukweli halafu akae angoje tena maamuzi mengine ya chama? wewe una matatizo ya kufikiri.
 
Kwani hakikuwepo kipindi cha maswali na majibu ya papo kwa pap0? Yaani ahutubia wasomi wa Washington DC, kama anavyohutubia wana kijiji wa Ikungi?! Poor Mwigulu

Jamaa hawezi maswali ya papo kwa papo. Uwezo wake ni mdogo sana.
Atatukana matusi ya nguoni.
 
Chadema Diaspora Kuna taarifa nimepewa na ndugu mmoja liyekuwa ukumbini anasema Balozi wa Tanzania nchini Marekani Bi Liberata Mulamula alishindwa kuhutubia kwa mpangilio kwa kuwa alikuwa amepakia Tungi (Amelewa) vibaya mno.
Daaah Mtoi wewe ni kiongozi wangu eti umesema nini eti madame alikuwa katundika dripu kinyama!Huo ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu na nia aibu kwa aliyemteua na Taifa kwa ujumla ,naendelea kufuatilia kwa karibu kama kweli basi mimi naanza maombolezo!Jambo jingine Migulu Machemba She is just like a fly sometimes land on the good,clean and white palce without knowing is the wrong place for her.Normaly inzi anapenda mazingira machafu napaokosa anatua popote kama yeye alivokwenda kwa wanazuoni kule Amerikani.
 
CCM haizuwii mtu kufata alitakalo, sijaona hata mwana CCM akiniambia FaizaFoxy wacha kutaka Serikali tatu au taka serikali mbili au moja.

Nna uhakika jinsi nnavyoupinga muungano wa Nyerere na Karume, ningekuwa chadema saa hizi nimeshanyang'anywa uanachama.

Zitto Kabwe hajambo?

Hahaha Zitto sijamsikia kitambo, mara ya mwisho lupata habari zake n awkati ana produce dvds za kufundisha nini sijui hata nimesha sahau...
 
Back
Top Bottom