Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,724
Chadema Diaspora
Kweli wizara ya fedha safari Hii imepata waziri na manaibu
1. Waziri degree yake inahojiwa ( ref Lipumba ) ..na uzoefu Hana
2. Naibu wa kwanza yupo busy na Siasa kuliko UCHUMI
3. Naibu wa Pili ..Huyu anaelezwa yupo busy na skirts...
Nilitegemea Mwigulu yupo USA ku push agenda Za Tanzania kwa taasis Za Breton Wood ...sio kupiga doomo ...Hiyo Ziara angemwachia NApe Sasa .

Last edited by a moderator: