Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,977
- 25,303
....
source plz vinginevyo ni uzushi mwigulu jembeeee
kidum chama
Ni upuuzi mtupu joto la jiwe liko wapi hapo? Ukiona huna la kusema ni jambo jema unyamaze kuliko kuongea vitu ambavyo havina mashiko mara kazomewa mara kapigiwa makofi mfululizo sasa tushike lipi ww yaya wa Junior Slaa?
Ndio, tulikuwa tunampa haki ya kusikilwa; lakini ikabidi tumkimbize kwa zomea zomea ya makofi
WAZIWAZISasa hawa siunaona wamejikusanya 3 baada ya kupiga bangi maana sura zao zinaonekana kwamba ni wafuasi wazuri wa fikra za mzee wa gongo+ bangi. halafu unakuja jukwaani na picha za wahuni bila aibu. bila shaka hawa watakuwa na vyeo ndani ya bavicha. yericko huyo rasta ana cheo gani maana anafanana sana na mgombea wenu mtarajiwa wa ubunge MOrogoro mjini hapo chini picha Afande sele. Inayofuata wavutaji wengine uko Marekani anayebisha aniambie tofauti ya sele na huyo wa katikati .
![]()
natamani kupiga ngimi mtu.
Usituchezee sisi UVCCM! Ok, sie vichwani hatuma kitu ila kwa mauno hamtuwezi. Akili sio lazima ziwe kichwani hata kiunoni ni ruksa. Wazee wetu huwa tunawaburudisha sana kama huamini muulize Paulo Makonda.
View attachment 154188
View attachment 154189
Sent from my iPad using JamiiForums
Hivi kuna tofauti gani kati ya makamanda hawa wa CHADEMA
Tanzania Mgombea wao Ubunge kama walivyowahi kutuhabalisha hapa janvini na picha nyingine ni vijana watatu walioandaliwa kumcharengi Mchemba uko amerika bila shaka hawa ndio majembe ndani ya chadema.
Sasa hawa makanda wana tofauti kiupeo na kama ndio hivi CHADEMA Mnataka nini juu ya nchi hii na kundi lenu la bangi hili.
![]()
![]()