Mwigulu: Aonja Joto ya jiwe Washington, D.C.

Mwigulu: Aonja Joto ya jiwe Washington, D.C.

Intarahamwe la kwanza lishafika kusaka liziki
Sasa hawa siunaona wamejikusanya 3 baada ya kupiga bangi maana sura zao zinaonekana kwamba ni wafuasi wazuri wa fikra za mzee wa gongo+ bangi. halafu unakuja jukwaani na picha za wahuni bila aibu. bila shaka hawa watakuwa na vyeo ndani ya bavicha. yericko huyo rasta ana cheo gani maana anafanana sana na mgombea wenu mtarajiwa wa ubunge MOrogoro mjini hapo chini picha Afande sele. Inayofuata wavutaji wengine uko Marekani anayebisha aniambie tofauti ya sele na huyo wa katikati .

  • afande_sele4.jpg

attachment.php
 
Jk kumpa mtu anae fanya kila kitu ni siasa Unaibu waziri tena kwa wizara nyeti kama ya Fedha ni kuwatusi watanganyika na wazanzibar!!!

uteuzi wake umelenga kukwapuwa pesa za uchaguzi mwaka 2015, hayuko pale kwa ajili ya mambo ya uchumi.
 
Hivi kuna tofauti gani kati ya makamanda hawa wa CHADEMA
Tanzania Mgombea wao Ubunge kama walivyowahi kutuhabalisha hapa janvini na picha nyingine ni vijana watatu walioandaliwa kumcharengi Mchemba uko amerika bila shaka hawa ndio majembe ndani ya chadema.
Sasa hawa makanda wana tofauti kiupeo na kama ndio hivi CHADEMA Mnataka nini juu ya nchi hii na kundi lenu la bangi hili.

attachment.php

afande_sele4.jpg
 
Kwani hakikuwepo kipindi cha maswali na majibu ya papo kwa pap0? Yaani ahutubia wasomi wa Washington DC, kama anavyohutubia wana kijiji wa Ikungi?! Poor Mwigulu

Mkuu Bobuk umekosea kutoa mfano wa Ikungi. Hako kamji kako katika jimbo la Tundu Lissu na watu wa hapo wameshazoeshwa na Lissu kuhoji na kudadisi nini kinaendelea katika mambo yao. Labda ungetolea mfano huko Kinampanda au Shelui.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Akihutubia jioni hii kwenye sherehe za muungano Mh. Nchemba amekuwa akiongea uongo na kujaribu kuwachomekea wapinzani. Amesema wapinzani tokea siku ya kwanza Bungeni walikuwa wanafanya mpango wa kutoka Bungeni.

Ameendelea kupotosha kuwa muungano unadumu na wameongeza mambo ya muungano kwa sababa Tanganyika ( ametumia neno Tanzania Bara) ina huruma zifuatazo; huruma za muungano;
- Zanzibar isimezwe
-Tanzania isibebe mzigo wa muungano na Tanganyika
- huruma ya utu na uzalendo

Baada ya speech yake kuonyesha ku bore watu walianza zomea zomea ya Kimarekani; ambapo watu kutoka nyuma ( back benchers) walianza kupiga makofi constant. Alipo kuwa slow alichelewa ku notice hilo, lakini baadaye akagundua na kumaliza.

Ammeiponda tume ya Katiba na kusema wengi ya waTanzania hawakuongelea muungano, kwa hiyo "ana assume" wanaunga mkono muondo wa muungano uliopo. Ametumia neno "assume" "kuhisi"

OUR TAKE: jamaa anatumia assumption ku draw conclusions badala ya FACTS. Pia ame onyesha dharau kwa Zanzibar kuwa ni huruma ya Tanganyika inayo wabeba.

Aliweza kuwambia kwa sasa nina anaye beba gharama za muungano?.
 
I really hate that guy!!
 
Akili za BAVICHA haziwezi kufanana na akili za vijana wa Interahamwe a.k.a Umoja wa Vichaa wa CCM.

Usituchezee sisi UVCCM! Ok, sie vichwani hatuma kitu ila kwa mauno hamtuwezi. Akili sio lazima ziwe kichwani hata kiunoni ni ruksa. Wazee wetu huwa tunawaburudisha sana kama huamini muulize Paulo Makonda.
ImageUploadedByJamiiForums1398588912.143585.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1398588956.010758.jpg

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ni upuuzi mtupu joto la jiwe liko wapi hapo? Ukiona huna la kusema ni jambo jema unyamaze kuliko kuongea vitu ambavyo havina mashiko mara kazomewa mara kapigiwa makofi mfululizo sasa tushike lipi ww yaya wa Junior Slaa?
 
Mkuu hebu fafanua wewe ilivyokuwa, maana mwenzako ameweka mpaka picha.
 
ni upuuzi mtupu joto la jiwe liko wapi hapo? Ukiona huna la kusema ni jambo jema unyamaze kuliko kuongea vitu ambavyo havina mashiko mara kazomewa mara kapigiwa makofi mfululizo sasa tushike lipi ww yaya wa junior slaa?

kijana upuuzi upi ambao unauongelea wewe?
Kusoma hujui na hata kwa picha bado huelewi tu!
Ama kweli ukiwa c.c.yem na akili una peleka marikiti kuzipiga bei ka mafungu ya mchicha.
 
Back
Top Bottom